Yataisha tuPsrs ni jipu la kukata na kisu.
Yataisha tuPsrs ni jipu la kukata na kisu.
Usijali mwamba ,Mungu atabless tusaiz mada kubwa humu ni upandaji wa madaraja,marupurupu na mbinu za kuhama taasisi.
Hii ni ishara kuwa wana wengi wamelamba asali sasa wanafikiria pakwenda penye asali nene zaidi,hongereni sana.
dalili nyingine nayoiiona nikwamba tumebaki wakongwe wachache sana bado tunapakua ukoko aiseeh, nasisi pia JAH atukumbuke safari hii.
Akiamua kulima asikate tamaa kama mambo yasipoenda vizuri msimu mmoja. Lazima kuna msimu atatoboa na kufukia mashimo yote huko nyuma. Kilimo kinalipa. Tena usikodi, nunua kabisa mashamba!!Hapa ndipo maisha magumu yanapoanza. Maana wengi hukopa ili wapate Hela ya kukodi shamba na pembejeo. Sasa usiombe msimu uende vibaya utaongea peke Yako njiani. Huku benki wanakata, Heslb wanakata na maisha yanakata
Nimekutumia ujumbe PM mkuu, ukipata nafasi naomba uupitie ili tupeane mwongozo.Akiamua kulima asikate tamaa kama mambo yasipoenda vizuri msimu mmoja. Lazima kuna msimu atatoboa na kufukia mashimo yote huko nyuma. Kilimo kinalipa. Tena usikodi, nunua kabisa mashamba!!
Basi nitaanza KubetiHapa ndipo maisha magumu yanapoanza. Maana wengi hukopa ili wapate Hela ya kukodi shamba na pembejeo. Sasa usiombe msimu uende vibaya utaongea peke Yako njiani. Huku benki wanakata, Heslb wanakata na maisha yanakata
Beti mkuu Tena weka 1,000/= mechi 30 ukitoboa hukosi 150MBasi nitaanza Kubeti
Usiombe addiction ya betting! Hata ukitumwa pesa ya kununua sanda utajikuta unaipeleka kwenye betting!! Ukiwa huna pesa uta-bett kwa jero na buku buku, ukipata pesa unaongeza dau!! Hakuna aliyetajirika kwa betting!! Lakini wako maelfu waliofilisika kwa ajili ya betting!!Basi nitaanza Kubeti
Fact mdauUsiombe addiction ya betting! Hata ukitumwa pesa ya kununua sanda utajikuta unaipeleka kwenye betting!! Ukiwa huna pesa uta-bett kwa jero na buku buku, ukipata pesa unaongeza dau!! Hakuna aliyetajirika kwa betting!! Lakini wako maelfu waliofilisika kwa ajili ya betting!!
Fanya kazi yoyote halali na Mungu ataibariki na maisha yatakwenda!!
mkuu sikizia ramli yangu ya jana kama itafeliiLeo psrs vipi? Kinaelewwka au kutapita kimya Bila new placements? Mtatuua jamani mtaani kugumu toeni majina tu tuone.
Speed ya placement haiwahusu psrs bali inawahusu waajiri, bali speed ya advertisent (wakishapewa go ahead), speed ya kuita wasailiwa na speed ya kutoa matokeo ya written inawahusu psrs. Kiukweli psrs huwa hawatoi matokeo ya oral interview bali hutoa selection to placement based on oral interview results. Kasi ya waajiri kuwa tayari kuwapokea waajiriwa wapya ndo mchawi!! Waajiri nao wanategemea kuwezeshwa na serikali kwa maana ya pesa za mishahara, na posho za kujikimu kwa watumishi wapya.Ila psrs kiboko yaan hata speed ya kinyonga afadhali
Hapa nakuwa tofauti na wewe,sinanujuzi sana lakini kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa,anayeanza kuomba wafanyakazi ni taasisi husika wanaomba kupitia kwa KMK,then yeye ataangalia uhitaji kulingana na bajeti na position thats why wanaweza kuomba 10 wakapewa 5,KMK yeye anaadress kwenda kwa psrs ambao ndio wanawasiliana na taasisi iwaandalie tangazo kulingana na sifa walizotarget wao(hapa ndio unakuta boss anasimamia finance wakati alisona marketing na hivyo kuweka uhalali wa yeye kuwa pale post ya finace anaweka sifa za marketing)tangazo likirudi wao psrs watatangaza na kuaonza kupokea maombi,watakapomaliza uchambuzi wa waombaji watamtaarifu muhitaji kuleta watu atleast watatu kwa ajili ya kushiriki zoezi la usaili(hapo ni endapo kwa sifa walizotaka hakuna watu kanzidata wenye sifa walizozitarget wao).Speed ya placement haiwahusu psrs bali inawahusu waajiri, bali speed ya advertisent (wakishapewa go ahead), speed ya kuita wasailiwa na speed ya kutoa matokeo ya written inawahusu psrs. Kiukweli psrs huwa hawatoi matokeo ya oral interview bali hutoa selection to placement based on oral interview results. Kasi ya waajiri kuwa tayari kuwapokea waajiriwa wapya ndo mchawi!! Waajiri nao wanategemea kuwezeshwa na serikali kwa maana ya pesa za mishahara, na posho za kujikimu kwa watumishi wapya. Ndiyo maana barua za kuitwa kwenye ajira huwa zimeshaandikwa mapema tu, na kusubiri waajiri wawe tayari kuwapokea. Kwa mfano walioitwa kwenye ajira katikati ya April barua zao ziliandikwa toka katikati ya March!, lakini walifanya oral interview mwanzoni kabisa mwa mwezi wa pili!!
Hapa nakuwa tofauti na wewe,sinanujuzi sana lakini kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa,anayeanza kuomba wafanyakazi ni taasisi husika wanaomba kupitia kwa KMK,then yeye ataangalia uhitaji kulingana na bajeti na position thats why wanaweza kuomba 10 wakapewa 5,KMK yeye anaadress kwenda kwa psrs ambao ndio wanawasiliana na taasisi iwaandalie tangazo kulingana na sifa walizotarget wao(hapa ndio unakuta boss anasimamia finance wakati alisona marketing na hivyo kuweka uhalali wa yeye kuwa pale post ya finace anaweka sifa za marketing)tangazo likirudi wao psrs watatangaza na kuaonza kupokea maombi,watakapomaliza uchambuzi wa waombaji watamtaarifu muhitaji kuleta watu atleast watatu kwa ajili ya kushiriki zoezi la usaili(hapo ni endapo kwa sifa walizotaka hakuna watu kanzidata wenye sifa walizozitarget wao).
Kuna kitu wanasema bodi ya sekratieti nadhani hawa ndio wa kubeba lawama zote maana bila kikao cha hawa kupitisha watu ni kuwa hamna placements inayotoka na hawa kwa muongozo wao ni kuwa wanakaa mara nne tu kwa mwaka.
Hao waajiri wenyewe hawana shida maana mara nyingi tu tumeona kama bajeti bado utaripoti ila utaambiwa subiri mpaka wakutaarifu means wakamilishe mahitaji yako kama mwajiriwa mpya.
Hili la psrs kushikilia placement then tuseme kuwa ni waajiri hawana bajeti how sasa baada ya placement unasubiri fungu why usilikute lipo tyr.
Kuna uzembe upo kwa watendaji wakubwa ila tunaufichia kwenye kigezo cha uvumilivu kama hawawezi waweke muongozo mpya wa interval kutoka usaili hadi placement uwepo kwenye maandishi maana mpaka hapa unakuta mtu ana haki na unaweza kuwapa mashataka ni vile tu wanatulia,kiuhalisia waseme watu wamefeli waumie waendelee na ratiba nyingine lakini sio kuhold matokeo ya watu 1000 na kuwapa stress wakati uhitaji wenu watu 150,maumivimu ya hao 850 ni makubwa kuliko furaha ya 150,waweke matokeo au mfumo uwe unaweka matokeo ya oral mtu akiona anajua hapa hamna kitu,sio hivi wanavyofanya maana kuna watu wakilala wakiamka wao ni kupitia web tu huenda wakaambulia chochote lkn wanakuta hola wakati wao wanaisgi kwa kodi zetu ambazo tunaletewa mpaka task force kutudai kwenye vijiwe vyetu vya jusukumia maisha.
Siku vijana wakijua maumivu haya wakafanya kama wale jamaa wa k koo kuna watu itakuwa mwisho wa udhalimu wa kufanya psrs kama kijiwe cha kifamilia.
Psrs ndo wanazingua coz kuna jamaa yangu alisha report alikopangiwa miongoni mwa maswali aliyowauliza Hrs wake ni kuhusu ucheleweshwaj wa placement walidai psrs ndo jipu.Speed ya placement haiwahusu psrs bali inawahusu waajiri, bali speed ya advertisent (wakishapewa go ahead), speed ya kuita wasailiwa na speed ya kutoa matokeo ya written inawahusu psrs. Kiukweli psrs huwa hawatoi matokeo ya oral interview bali hutoa selection to placement based on oral interview results. Kasi ya waajiri kuwa tayari kuwapokea waajiriwa wapya ndo mchawi!! Waajiri nao wanategemea kuwezeshwa na serikali kwa maana ya pesa za mishahara, na posho za kujikimu kwa watumishi wapya. Ndiyo maana barua za kuitwa kwenye ajira huwa zimeshaandikwa mapema tu, na kusubiri waajiri wawe tayari kuwapokea. Kwa mfano walioitwa kwenye ajira katikati ya April barua zao ziliandikwa toka katikati ya March!, lakini walifanya oral interview mwanzoni kabisa mwa mwezi wa pili!!
Watu wanaporipoti kuambiwa kasubiri mpaka tukupigie simu si kwa sababu bajeti bado, hapana!! bali kwa sababu ya kutoa nafasi ya kuhakiki vyeti kutoka kwenye mamlaka iliyotoa vyeti hivyo, na pia ili kusubiri mchakato wa kuwapatia waajiriwa wapya check number na kuwaingiza kwenye mfumo wa malipo ya mishahara.Hao waajiri wenyewe hawana shida maana mara nyingi tu tumeona kama bajeti bado utaripoti ila utaambiwa subiri mpaka wakutaarifu means wakamilishe mahitaji yako kama mwajiriwa mpya.
Hili la psrs kushikilia placement then tuseme kuwa ni waajiri hawana bajeti how sasa baada ya placement unasubiri fungu why usilikute lipo tyr.
Alipewa majibu rahisi kwa maswali magumu!! Alijibiwa kama mtoto mdogo ambaye hawezi kuustahimili ukweli halisi. Ni kama kina mama wengine wakijifungua mtoto halafu wakaulizwa na watoto wao wadogo je huyu mtoto mchanga ametoka wapi?. Huwajibu kuwa ametoka hospitalini!! Wengine husema tumemnunua mjini tulikoenda!!Psrs ndo wanazingua coz kuna jamaa yangu alisha report alikopangiwa miongoni mwa maswali aliyowauliza Hrs wake ni kuhusu ucheleweshwaj wa placement walidai psrs ndo jipu.