Baba ni baba
Senior Member
- Dec 19, 2014
- 118
- 54
Mimi ni miongoni mwao
Vita ya uchumiJust imagin kuna watu wamefanya interview ya posta na kesho wanatakiwa wafanye oral lakini mpaka sasa matokeo bado hayajulikani
Uyo bado sana atulie, za mwaka Jana zilitoka mwezi wa 5/2022 interview watu wakaitwa mwezi wa 1 na 2/2023Mkuu mbona mapema sana...watu walikaa miezi 6 ndio wakaitwa interview na mpaka leo hawajui kama walifaulu au walifeli imebaki kupiga ramli tu
Ila utumishi ni taasis ya hovyo Sana yaani kesho MTU akapige oral matokeo hajui Hadi SASA kuna wale waliogeuza dar baada written itakuwaje ataweza kuwahi ,aliyebaki na akafeli Naye itakuwaje unamuweka dodoma MTU siku mbili Kwa gharama zake afu mwisho wa siku placement humpiJust imagin kuna watu wamefanya interview ya posta na kesho wanatakiwa wafanye oral lakini mpaka sasa matokeo bado hayajulikani
ndio maana wana wakilamba asali wanakua wapiga madili tu , coz akikusimulia alivo pambania,alivopanda malori na kuhonga huto aminiIla utumishi ni taasis ya hovyo Sana yaani kesho MTU akapige oral matokeo hajui Hadi SASA kuna wale waliogeuza dar baada written itakuwaje ataweza kuwahi ,aliyebaki na akafeli Naye itakuwaje unamuweka dodoma MTU siku mbili Kwa gharama zake afu mwisho wa siku placement humpi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu ww ni mgeni wa saili za utumishi?hiyo ngoma inaeza toka saa 5 usiku na kesho mnatakiwa oral...kifupi hyo mallmiko yko hua hayana nafasi kwaoIla utumishi ni taasis ya hovyo Sana yaani kesho MTU akapige oral matokeo hajui Hadi SASA kuna wale waliogeuza dar baada written itakuwaje ataweza kuwahi ,aliyebaki na akafeli Naye itakuwaje unamuweka dodoma MTU siku mbili Kwa gharama zake afu mwisho wa siku placement humpi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
postal clerks walinikataa- not shortlisted coz u overqualified nchi ngumu hiiJust imagin kuna watu wamefanya interview ya posta na kesho wanatakiwa wafanye oral lakini mpaka sasa matokeo bado hayajulikani
Siyo mgeni but is not fairMkuu ww ni mgeni wa saili za utumishi?hiyo ngoma inaeza toka saa 5 usiku na kesho mnatakiwa oral...kifupi hyo mallmiko yko hua hayana nafasi kwao
Mkuu post gan, kama mwandishi wa taarifa rasmi za bunge me nna abcWakuu habarini! Ninatarajia kufanya pepa ya Bunge wiki hii. mwenye ABC's tafadhali naomba afanye kushare hapa.
Utumishi mi hua nawaita "wababe" sanaa
Kuna lile nyomi la WCF nao wanasubiri matokeo na mpaka sasa bado na oral ni kesho ,sometime hawa wanawapa watu pressure tuJust imagin kuna watu wamefanya interview ya posta na kesho wanatakiwa wafanye oral lakini mpaka sasa matokeo bado hayajulikani
Walitaka tu form four tena hata zile zle four four watu wameitwa so kama ulikuwa na mavyeti mengine lazma wale kichwapostal clerks walinikataa- not shortlisted coz u overqualified nchi ngumu hii
Yametoka tyrKuna lile nyomi la WCF nao wanasubiri matokeo na mpaka sasa bado na oral ni kesho ,sometime hawa wanawapa watu pressure tu
Kwa scenario hiyo, ukiwasilisha masters yako watakupa nyongeza mbili za mshahara. Ila hutazipata hapo hapo kwa sababu hazipo kwenye bajeti iliyopo. Watakachofanya ni kwamba watakapokuwa wanaandaa bajeti ijayo wataweka na nyongeza zako mbili.asante kwa maelezo mazuri.
mfano tuseme uliajiriwa na kuripoti kazini mwezi wa pili position ya civil engineer ukiwa na bachelor degree ya civil engineering, lakini kabla ya kuajiriwa ulikuwa unasoma masters ya civil engineering hiohio, na graduation tuseme umefanya mwezi wa tano.. hii degree mpya ya masters unaireport vip kwa mwajiri wako au tuseme process za kuireport zikoje na faida (promotion or salary increase) zake utazipata mda gani?..kuna maneno nilitaka kuyaweka na nimekosa namna lkn nadhan umeelewa