Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Mkeka umepostiwa mkuu?Post zilikuwa mchanganyiko
Mkeka umepostiwa mkuu?Post zilikuwa mchanganyiko
Mm nimeangalia kwenye timetable nikaona wamepanga venue imefunguka hadi no 5200 bado kushuka chini hvy ni nyomi la watu.Mkeka umepostiwa mkuu?
Upo sahihi mdau, Mungu anajua namna ya kututunza bila ajira na tukipata nayo heri, jambo la msingi kila mtu amtumainie Mungu muumba mbingu na nchi, anayefanya njia pasipo na njia. ( Fikiria hbr ya Musa n.k).VIJANA TUNA WAKATI MGUMU SANA
Mliobahatika kupata ajira mnabidi mshukuru Mungu sana amewatoa kwenye shimo lenye giza totoro ambalo wengi tupo hatujui lini tutaona mwangaza.
Ukiangalia ulipambana na shule miaka mingi wazazi wamewekeza kwako kila kitu wakabaki mikono mitupu wanakuangalia wewe ufanikiwe uwasaidie inaumiza.
Nasemea tuliotoka familia duni ukiangalia nyuma huna msingi au daraja la kukubeba zaidi ya elimu uliyopata ukisema uachane na suala la kutafuta ajira huna pa kukimbilia mtaji haupo wakukushika mkono hayupo biashara kwa sasa ni ngumu kama huna mtaji mzuri.
Ukisema utumie maarifa uliyopata chuoni utengeneze kipato ni mpaka uajiriwe au ufungue kampuni uwezo huo haupo lakini unasikia wanasisitiza vijana tujiari ilihali elimu tuliyopata inategemea tuajiriwe.
Ukirudi kilimo hata cha jembe la mkono mvua hazitabiriki na hali ya hewa imebadilikia.
Nimejaribu kutafakari Hali ya vijana wa kitanzania kadri miaka ya mbeleni itavyozidi kuwa mbaya naelewa na najua serikali haiwezi tena kutuajiri wote na sekta binafsi ni ngumu kuaminika na swali unamjua nani akusaidie.
Mwisho ukipata nafasi ya ajira jitahidi usifanye makosa yoyote linda ajira yako na umuombe Mungu akupe maarifa nguvu na uwezo wa kuendelea na utumishi uliopata.
compliance officer-11 post hvii, sio poa mkuu🙄 mbona wameita watu 5200 kwan post zilikua ngapi?
Ni hatari sana,,,afu one year contract [emoji119]compliance officer-11 post hvii, sio poa mkuu
Sidhani sana usahihi wa hii habari, kuna hamashauri nyingi sana hazijapelekewa watumishi.Habarini za asubuhi.
Wapambanaji wenzangu kuna za ndaani zinasema huenda MDA &LGA ikawa ngoma imeisha tyr.most ya majina ambayo hayajaonekana kwenye pdf wamepigiwa simu japo kuna baadhi wamepata changamoto unafika kituo ulichopangiwa unakuta kuna mwingine tena kesharipoti,hii imemtokea jamaa kama wawili wameenda kuripoti wakakuta kuna watu wameripoti kama wiki nyuma kwa nafasi zilezile.
Pia barua karibu zote placement ya MDA & LGA ziliandikwa tangu march so za ndaani zinasema kwa sasa nikutoa matumaini na kusubili nafasi mpya.
hzo ni assumptions tu,pdf bdo zinazid kutokaHabarini za asubuhi.
Wapambanaji wenzangu kuna za ndaani zinasema huenda MDA &LGA ikawa ngoma imeisha tyr.most ya majina ambayo hayajaonekana kwenye pdf wamepigiwa simu japo kuna baadhi wamepata changamoto unafika kituo ulichopangiwa unakuta kuna mwingine tena kesharipoti,hii imemtokea jamaa kama wawili wameenda kuripoti wakakuta kuna watu wameripoti kama wiki nyuma kwa nafasi zilezile.
Pia barua karibu zote placement ya MDA & LGA ziliandikwa tangu march so za ndaani zinasema kwa sasa nikutoa matumaini na kusubili nafasi mpya.
Lakin kuepusha haya yote psrs wangetoa PDF 1 kama tangazo la kazi lilivyoonyesha idadi ya post kama kipindi cha nyuma walikua wanatoa placement vizuri kuliko kutoa nusunusu ndio inaleta matatizo haya yote na kuongeza attention kubwa kwa jobless + torture.Habarini za asubuhi.
Wapambanaji wenzangu kuna za ndaani zinasema huenda MDA &LGA ikawa ngoma imeisha tyr.most ya majina ambayo hayajaonekana kwenye pdf wamepigiwa simu japo kuna baadhi wamepata changamoto unafika kituo ulichopangiwa unakuta kuna mwingine tena kesharipoti,hii imemtokea jamaa kama wawili wameenda kuripoti wakakuta kuna watu wameripoti kama wiki nyuma kwa nafasi zilezile.
Pia barua karibu zote placement ya MDA & LGA ziliandikwa tangu march so za ndaani zinasema kwa sasa nikutoa matumaini na kusubili nafasi mpya.
Utajuaje ilihali watu wanaripoti bila psrs kutoa placement na pia wanavyotoa majina kidogo kidogo utajua vp na sio kila halmashaur inapelekewa watumishi angalia kwenye placement utaona halmashaur nyingine wanapata watumishi wapya Kada chache wengine nying hvy hvyhzo ni assumptions tu,pdf bdo zinazid kutoka
Wasahiliwa hawajaisha kumbuka, tusijitie stress wadau.Utajuaje ilihali watu wanaripoti bila psrs kutoa placement na pia wanavyotoa majina kidogo kidogo utajua vp na sio kila halmashaur inapelekewa watumishi angalia kwenye placement utaona halmashaur nyingine wanapata watumishi wapya Kada chache wengine nying hvy hvy
Huenda placement za LGA & MDA zimeisha ndio maana wakatoa tangazo lingine na kuanza mchakato wa usahili
Kwa sababu ukifikiria hizi kazi mchakato umechukua mda mrefu hvy wasingeweza kutoa majina polepole hivi hapo kwa wanasubiria placement wahesabu tu zimeisha wajiandae na usahili mwingine na kupambana na mambo mengine mana psrs watazid kutuchelewesha
Sasa kama watu wanaripoti kazini bila psrs kutoa placement unafikiri hazijaisha tu na wanavyotoa nusunusu utajuaje idadi imetimia au imeisha ukute watu wamesharipoti kama wanavyoelezaWasahiliwa hawajaisha kumbuka, tusijitie stress wadau.
Mfano; Fisheries officer II walitakiwa 100 mpaka sasa wameita 38.
Na halmashauri kibao hazijapelekewa watumishi.
Pdf bado sana mzee, utaziona next week before Friday lazima itoke/zitoke.
Amina ndugu ni ujumbe mzuri sana, yaani tunawaombea sana ndugu zetu , Mungu mwenye huruma na fadhili awakumbuke sana katika jambo hili tuzidi kumtegemea Mungu kwa wakati na majira yake atawapatia ridhiki hii, wala pasitokee mtu wa kukata tamaa maana Neno lake limesema, " Imetupasa kumuomba Mungu siku zote bila kukata tamaa, rejea Injili ya Luka, kile kisa cha Mwanamke mjane na kadhi dhalimu, au Injili ya Mathayo kile kisa cha Bwana Yesu na mwanamke mkananayo. MUNGU daima ni mwema, mwingi wa fadhila na amejaa Huruma tele.VIJANA TUNA WAKATI MGUMU SANA
Mliobahatika kupata ajira mnabidi mshukuru Mungu sana amewatoa kwenye shimo lenye giza totoro ambalo wengi tupo hatujui lini tutaona mwangaza.
Ukiangalia ulipambana na shule miaka mingi wazazi wamewekeza kwako kila kitu wakabaki mikono mitupu wanakuangalia wewe ufanikiwe uwasaidie inaumiza.
Nasemea tuliotoka familia duni ukiangalia nyuma huna msingi au daraja la kukubeba zaidi ya elimu uliyopata ukisema uachane na suala la kutafuta ajira huna pa kukimbilia mtaji haupo wakukushika mkono hayupo biashara kwa sasa ni ngumu kama huna mtaji mzuri.
Ukisema utumie maarifa uliyopata chuoni utengeneze kipato ni mpaka uajiriwe au ufungue kampuni uwezo huo haupo lakini unasikia wanasisitiza vijana tujiari ilihali elimu tuliyopata inategemea tuajiriwe.
Ukirudi kilimo hata cha jembe la mkono mvua hazitabiriki na hali ya hewa imebadilikia.
Nimejaribu kutafakari Hali ya vijana wa kitanzania kadri miaka ya mbeleni itavyozidi kuwa mbaya naelewa na najua serikali haiwezi tena kutuajiri wote na sekta binafsi ni ngumu kuaminika na swali unamjua nani akusaidie.
Mwisho ukipata nafasi ya ajira jitahidi usifanye makosa yoyote linda ajira yako na umuombe Mungu akupe maarifa nguvu na uwezo wa kuendelea na utumishi uliopata.
Database kwa academicians ipo ila tatizo kwenye usahili wengi hawafiki 70% ili uweze kuajiriwa ndo maana nyingi zinakuwa re-advertised.Wakuu naomba kuuliza hivi hizi kazi za tutorial assistant na assistant lecturer huwa ukifaulu unatunzwa kwenye kanzidata ya waliofaulu usahili wakakosa nafasi au hazina database.
Mbona naona psrs kila mara wanarudia kuzitangaza na watu wamefanya usahili mara nying mfano udsm, udom mocu ardhi mzumbe iaa nit tia muhas kcmc irdp naona zinatangazwa many times.
Naomba ufafanuzi
Kingine barua zote zimeandikwa mwezi wa tatu,mtu atakaa kusubiri aitwe kupitia placement wakati wenzie wanapigiwa simu na kazini wanaripoti hapo ndio atabali kuchanganya idadi ya watu kwa kuhesabu kupitia pdf,Sasa kama watu wanaripoti kazini bila psrs kutoa placement unafikiri hazijaisha tu na wanavyotoa nusunusu utajuaje idadi imetimia au imeisha ukute watu wamesharipoti kama wanavyoeleza