HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa upendo kabisa napendekeza uombe kazi zilizotangazwa na jeshi la magereza zinazohusu wataala wa kada mbalimbali ikiwamo za afya na ufundi mbalimbali. Jeshi la magereza kwa wataalam ni mahali pazuri sana, japo wengi huwa hawajui. Nakuahidi ukipata nafasi huko hutajuta!!
https://magereza.go.tz/images/AJIRA/AJIRA2023_0001.pdf

Mkuu natamani kuapply ila naona wengine wanadiscourage sana kuapply kwenye baadhi ya fani tofauti na Afya, madereva na ushonaji.

Kwamba MT sio sehemu nzuri kwa kada tofauti na hizo unaweza kujuta baadae.

Naomba unitoe ukungu niliowekewa kwa hilo.

Nawasilisha.
 
Kuna sehemu nzuri sana nchi hii zimefichama!! mojawapo ni kwenye jeshi la magereza, hasa ukiwa ngazi ya afisa!! Kwa wenye fani zao hasa ngazi ya digrii hao huko magereza ni wafalme!! Kwa ujumla ukiwa na fani yoyote kwa ngazi yoyote utafurahia kuifanyia kazi ukiwa magereza kuliko ukiwa popote pale kwa fani hiyo hiyo!. Ila uamuzi wa mwisho ni wako!!
 
Mwajiriwa X na mwajiriwa Y wameajiriwa kwa pamoja kwenye taasisi Z. Wote wawili wameajiriwa kwenye kada moja ambayo qualifications zake ni bachelor degree level. Muajiriwa X ana masters na mwajiriwa Y ana degree, ikumbukwe mwajiriwa X alitumia qualification ya degree kuingia kazini japokuwa alikuwa na masters degree ambayo aliisoma hapo kabla. Baada ya kufanya Kazi kwa miezi kadhaa, mwajiriwa X akasubmit cheti Cha masters kwa mwajiri wake yaani taasisi Z. Je, kitu Gani kitamtenganisha au kumtofautisha mwajiriwa X na Mwajiriwa Y hususani kwenye upande wa salary scale na remunerations nyingine?
Masters yenye mshahara tofauti ni fani ya Medicine na Lectures tu. Huko kwengine mtakula salary sawa na degree
 
Umejibu sawa!! Lakini pia kwenye research institutions pia masters inapandisha ngazi!! Huko kwingine masters ukiipata unapata tu nyongeza mbili za mshahara. Lakini kama ulikuwa nayo na ukawasilisha cheti hakuna effect kwenye mshahara!! Ila kama ulikuwa huna na ukaipata ukiwa kazini unapewa nyongeza mbili!!
 
Kuna sehemu nzuri sana nchi hii zimefichama!! mojawapo ni kwenye jeshi la magereza, hasa ukiwa ngazi ya afisa!! Kwa wenye fani zao hasa ngazi ya digrii hao huko magereza ni wafalme!! Kwa ujumla ukiwa na fani yoyote kwa ngazi yoyote utafurahia kuifanyia kazi ukiwa magereza kuliko ukiwa popote pale kwa fani hiyo hiyo!. Ila uamuzi wa mwisho ni wako!!

Asante sana kwa ufafanizi na ushauri pia.
Umentia moyo maana nilianza kuwaza na kada yangu hii ya kilimo isije nikapelekwa ndichi huko af nikakutana na ukiritimba ninaousikia.

Ila hapo mkuu naamini umezungumzia uzuri wa MT kwa wenye fani katika suala la mazingira ya ufanyaji kazi, ukimaanisha watu wa fani sio watu wakidili sana na wafungwa na sio suala la maslahi
 
Umejibu sawa!! Lakini pia kwenye research institutions pia masters inapandisha ngazi!! Huko kwingine masters ukiipata unapata tu nyongeza mbili za mshahara. Lakini kama ulikuwa nayo na ukawasilisha cheti hakuna effect kwenye mshahara!! Ila kama ulikuwa huna na ukaipata ukiwa kazini unapewa nyongeza mbili!!
Respect sana kiongozi kwa ufafanuzi mzuri. Appreciate
 
Asante sana kwa ufafanizi na ushauri pia.
Umentia moyo maana nilianza kuwaza na kada yangu hii ya kilimo isije nikapelekwa ndichi huko af nikakutana na ukiritimba ninaousikia.

Ila hapo mkuu naamini umezungumzia uzuri wa MT kwa wenye fani katika suala la mazingira ya ufanyaji kazi, ukimaanisha watu wa fani sio watu wakidili sana na wafungwa na sio suala la maslahi
Mtu mwenye fani huhusika na fani yake, tofauti na ,mwingine ambaye yeye kila kukicha anahusika na wafungwa tu moja kwa moja. Suala la maslahi kwa maana ya mshahara hakuna tofauti na sehemu zingine. Lakini kwa suala la benefits zingine kama kwa upande wako mtaalam wa kilimo, unaweza kujikuta unaishi kama kisiwani na hujui ugumu wa maisha ukoje!
 
Kwema huku? Iv kama salary slip portal inaonekana mshahara shida account ilikuwa dormant na baada ya kuactivate Hela haionekan shida nn msaada please
 
Iko hivi: Huwa kuna makato kila mwezi kwa ajili ya kuhudumia akaunti yako (service charges). Kwa hiyo ili maadam hiyo akaunti hujaifunga rasmi makato huendelea kila mwezi. Kama huna pesa wakikata inasoma negative balance. Sasa ukija ku-activate akaunti yako na kuingiza pesa utakuta kuna negative/deni kubwa na pesa unayoingiza itatumika kulipa hilo. Kwa hiyo kama akaunti ilikuwa dormant muda mrefu labda tangu pesa ya boom ilipokata, na baada ya miaka mingi unapata ajira, hapo mshahara wote utaishia kulipa malimbikizo ya service charges tu. Wengi wenye uelewa huwa wanatelekeza akaunti zao zilizo dormant na kufungua akaunti mpya.
 
Mtu mwenye fani huhusika na fani yake, tofauti na ,mwingine ambaye yeye kila kukicha anahusika na wafungwa tu moja kwa moja. Suala la maslahi kwa maana ya mshahara hakuna tofauti na sehemu zingine. Lakini kwa suala la benefits zingine kama kwa upande wako mtaalam wa kilimo, unaweza kujikuta unaishi kama kisiwani na hujui ugumu wa maisha ukoje!

Nashukuru Mkuu kwa kutupa mwanga, hapa nimepata nguvu ya kuendelea na application.

Kwa uliyoyasema nimebaki nafurahi na kushangaa pia, Ipi ni sababu kubwa ya watu kuchukulia poa hili jeshi la magereza na kuwaona kama silolote kumbe watu wanaishi good life tu, au ndo siri ya mtungi.
 
Back
Top Bottom