Hakuna mfumo maalum wa maswali cha msingi unatakiwa kujua contemporary issues tu za accountingMsaada jaman aliyewahi kufanya usahili mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kada ya Accountant assistant maswali yake yanabase wapi katika written na oral
- Accounting concepts
- Types of ledgers
- Accounting nature of items eg Debit and credit ( purchase, sales etc)
- components of financial statements
- Elements of financial statements
- Bank reconciliation in general
- Vouching system
- Trial balance
- Book keeping vs Accounting ( differences)
- Accounting errors