HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kinachoshangaza ni kwamba kuna taasisi zingine za serikali ni vigumu kusikia wakitangaza kazi. Taasisi kama BOT ina maana kwenyewe watu hawastaafu au? Nadhani huko ndiko kuna watu lukuki wa wakubwa wakidai "wanajitolea" huku wakilipwa posho kibao na kupeana ajira kinyemela!!
Kuna jamaa tukisoma naye Olever kama masihara kuna nafasi walitangaza mwaka jana mwanzoni alitoboa sa hivi yuko bot mtwara

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nakubali
JamiiForums

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?​

First Prev1642 of 1642
Jump to newUnwatch
•••
L

lucky inc​

New Member​

Ujobless ni Hali ngumu mno

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Dbaba
M

mesew​

Member​

I know I can be wanna wanna be.nan anaijua hii ngoma

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Mnajimu nyota
[IMG alt="Mwanamaji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/137/137530.jpg?1587541778[/IMG]

Mwanamaji​

JF-Expert Member​

Mimi hapa.

Msanii: Nas
Wiimbo: I Can

Thanks Quote Reply
Report
U

Usalama barabarani​

JF-Expert Member​

Uchakachuzi/ madili upigaji mwingi!

Thanks Quote Reply
Report
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Ni siku nyingine ya kusubiri kwa matumaini! Mungu atabaki kuwa mwema, ndiye atupaye pumzi na uzima. Kama angetuwekea luku ya hewa sidhani kama kuna mtu angeweza kulipa hiyo bili! Hilo linatufanya kumshukuru katika hali zote!

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Mwifwa, Kaparo and busanji2003
K

kihasa​

Member​

Amen

Thanks Quote Reply
Report
K

Kimbukiko​

JF-Expert Member​

Kabisa ,ni uduwanzi sana na tatizo jingine ni kwamba hata hizo nafasi za kujitolea kuzipata tu ,
Dah !
Hii nchi haifai kabisa mazee ,ni kuangalia utaratibu wa kukimbia mbele huko

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:mesew
K

Kimbukiko​

JF-Expert Member​

Kabisa ,ni uduwanzi sana na tatizo jingine ni kwamba hata hizo nafasi za kujitolea kuzipata tu ni mziki mnene ,
Dah !
Hii nchi haifai kabisa mazee ,ni kuangalia utaratibu wa kukimbia mbele huko

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="abeche"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/660/660698.jpg?1672638703[/IMG]

abeche​

JF-Expert Member​

Leo hakuna pdf mkuu tuzidi kuomba mungu next week panapo majaaliwa...ni mwendo wa mchakatoo unakaa mpka unaota sugu kusurbia placement

Thanks Quote Reply
Report
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Ukiona mkubwa anapigia debe "kujitolea" ujue tayari keshapenyeza mtoto wake kwenye kujitolea kwenye taasisi anayovizia ajira, na anataka upendeleo!! Huwezi kuamini kuwa kuna watoto wa wakubwa tayari huko BOT, NSSF, TRA nk eti "wanajitolea". Mimi ninaomba orodha ya "wanaojitolea" huko BOT, TRA, NSSF, nk iwekwe wazi hadharani!! Bila shaka itatokea taharuki ya kitaifa!!

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Mwifwa
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Halafu wakati unapata shida hivi kuna mtu anataka eti ujitolee!!

Thanks Quote Reply
Report
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Kuna kijana pia alijitolea ualimu kwa takriban miaka miwili. Wakamwambia tutapeleka taarifa zako wizarani!! hajapata ajira hadi leo!! Wajitoleaji wa michongo ndio wanaolengwa kubebwa!! Mwenzangu na mimi utajitolea hadi uzeeke!! TUKATAE!!

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Kaparo
[IMG alt="busanji2003"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/374/374205.jpg?1681189030[/IMG]

busanji2003​

JF-Expert Member​

Yote hayo mbona mwaka jana budget 2022/2023 hawajazungumza.. Hii Mawaziri na Wabunge wanazungumza inamaana kuna pdf zito litashushwa....Cha msingi wawe na maamuzi mazuri yanayojenga tija kwa taifa na vijana pia kwa ajira 6000+ kujaza nafasi za wazi...
Mama(rais) anaupendo na vijana wake
Mungu awatangulie kwenye vikao vyao

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="abeche"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/660/660698.jpg?1672638703[/IMG]

abeche​

JF-Expert Member​

Kila siku kz kutoa figure tu tutaajri tutaajir ajira zenyewe mpaka mwaka wa fedha unaisha hazitimii kwani zile elf 32 walizosema zimeishilia wapi?

Thanks Quote Reply
Report
V

vfma​

Member​

Amina atukuzwe Mungu milele kwa matendo yake mema yasiyo koma kwetu.

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="abeche"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/660/660698.jpg?1672638703[/IMG]

abeche​

JF-Expert Member​

Siamini kama zilitimia mpka leo

Thanks Quote Reply
Report
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Kinachoshangaza ni kwamba kuna taasisi zingine za serikali ni vigumu kusikia wakitangaza kazi. Taasisi kama BOT ina maana kwenyewe watu hawastaafu au? Nadhani huko ndiko kuna watu lukuki wa wakubwa wakidai "wanajitolea" huku wakilipwa posho kibao na kupeana ajira kinyemela!!

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:mesew
[IMG alt="_saul"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/699/699906.jpg?1676884554[/IMG]

_saul​

JF-Expert Member​

BOT walitangaza kazi mwaka jana, tena kigezo ilikua GPA kama kazi za ukufunzi.
Ila wabunge na mawaziri wangefanya la maana kama kazi zote za permanent & temporary ziwe chini ya psrs na wangewaongezea watendaji wakutosha na bajeti pia alafu kazi ya psrs iwe kusaaply waajiriwa kwenye taasisi zote za serikali na database ingewekwa wazi matokeo na wasambaze jobless pasipo taasis kuchagua sijui nataka nn kwa sabab database itakua imebeba watu wa kila aina.
Na kungekua na database aina mbili za waliofaulu usahili wa kazi za permanent na huku za temporary na wawapangie kulingana na ulifanya usahili upande upi.
Alafu psrs kukawa na crosscheck and balance let say wawe wanakaguliwa na independent organ ambayo haina interest naona jobless wengi wangepata haki.

Na kama mtu anajitolea iwe sawa na anayeenda field pasipo posho yoyote kulipwa wala kuwa na hopes za kupata ajira iwe ni unaongeza ujuzi wako tu.
Nakubaliana na wewe kabisa!
 
Kinachoshangaza ni kwamba kuna taasisi zingine za serikali ni vigumu kusikia wakitangaza kazi. Taasisi kama BOT ina maana kwenyewe watu hawastaafu au? Nadhani huko ndiko kuna watu lukuki wa wakubwa wakidai "wanajitolea" huku wakilipwa posho kibao na kupeana ajira kinyemela!!
Mmh mwaka jana mbona wmaetangaza nafasi kibao kama roudn 3 hivi
 
Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
WAPUUUZI SANA HAPO NMB...TENA WAPUUZI MNOOOO NA NI MAFALAAAAAAAAA.
 
Mimi binafsi nin mida mrefu sijaona tangazo la ajira kwa mifumo ya jamii kama NSSF na PSSF na sijui wanapataje watumishi,ata za mkataba sizioni kabisa
Psssf ilikuja baada ya mifuko kadhaa kuunganishwa hivyo kukawa na wafanyakazi wengi Hadi wengine wakaanza kupelekwa taasisi nyinginge ikiwemo nssf.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Enzi zile ukiitwa kwenye usaili unagharimiwa kila kitu kwa habari ya usafiri malazi na chakula!! Yaani wanakurudishia nauli uliyotumia mara mbili ili uweze kurudi, kisha wanakupa posho ya kujikimu kwenye kituo cha usaili siku 2, na posho ya njiani kama safari inazidi masaa 6. Ilikuwa raha sana!! Sasa hivi hicho hakiwezekani kwa sababu ya wingi wa wasailiwa!!
 
Wanatoa bado mkuu sema uwa zinachelewa ila pesa ya kujikimu na nauli zipo labda ushindwe kufatilia.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wanatoa bado mkuu sema uwa zinachelewa ila pesa ya kujikimu na nauli zipo labda ushindwe kufatilia.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Naona hamjaelewana kwenye mada, @ Mbinguni kwetu anazungumzia pesa ya kujikimu kwenye usaili na siyo ya kuripoti kazini, ambapo anasema zamani wasailiwa walikuwa wana garamiwa na taasisi inayo wafanyia usaili, ambapo kwa sasa hicho kitu hakipo kutokana na uwingi wa wasailiwa ndicho alichokuwa ana maanisha kama sijakosea.
 
Uko sahihi!
 
Back
Top Bottom