HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mfwende sawadogo tumekumiss sana kwenye huu uzi wetu pendwa wa kutiana moyo huku pdf ikisubiriwa!
mkuu mimi nipo na na like nakusoma comments za wakuu wangu nyote hapa jf

ila kwa sasa niko ubalozini huku nafungua mageti .training ya SGA security guard imenichukua muda mwingi +nauli za hapa na pale ila sasa nipo mzigoni.

tunawasubir Psrs lakini vipi msosi tutautoa wapi bila kufanya kazi?

Jah akibless nikapata placement ama new call for interview nitashukuru.
 
Sasa hapo mtu anakuambia ukajitolee utamwelewa kweli?
 
mkuu ikowazi kupata nafasi za kujitolea serikalini asilimia kubwa ni connection nzito hasa kwenye hizi taasis nyeti na wizara. lakini tusife moyo tuendelee kuwa subra japo mtaa jua limewaka kinoma noma yanii

ukiscrow contacts za wana na ndugu wa karibu kwenye simu unakuta most wanakudai pesa,ama wamekukatia tamaa coz wanaona target zako hazikubali na umri unaendaa.

Tusimame na MUNGU, coz bongo bila kismart na connection utasota sana.
 
Wadau hivi kujitolea kuna limit kwa graduates wa 2014, 2015, 2016, 2017.? naomba ufafanuzi wa hili. Ninafanya biashara yenye passive income nataka nijiweke busy pia sehemu nyingine.
Kama tayari una biashara focus huko hufai kutumwa tumwa wakati umeshapata financial freedom, keep on investimg unless unataka ku-apply for jobs serikalini.
 
Niendelee kupata uzoefu tu na taaluma yangu
Field hukufanya?? Nyie mnajitolea ndio mnawaponza wanaotafuta ajira sababu mnasababisha ofisi kujiona Haina upungufu wakati kibarua yupo. Kafanye mishe zingine mtaani huku ukiapply kazi kwa wingi uwezavyo uitwe kwenye usahili na ulipwe kihalali

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii comment yako inaonesha kabisa chuki ya hadharani. unakataa wenzako wasijitolee, Je utawapa pesa hata ya kununua sabuni au dawa ya mswaki. Wanaojitolea sio watoto wa matajiri tu bali kuna watoto wa hali ya chini wanajitolea pia, wanapata sehemu ya kutoka asubuhi na kurudi jioni. TUACHENI ROHO ZA KWANINI, TUTAFIKA MBALI. mimi wanaojitolea sioni kama wananizibia riziki mana nao wanatafuta hata hela za kununua sabuni na mafuta. tujaribu kukua kimawazo.
 
No mi nilimanisha za kujikimu baada ya kupata kazi,lazima uambatanishe barua yako ya ajira ko kama hujapata kazi automatic haziwahusu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hapo sawa.

Hizi za kujikimu nazo zinategemeana na mwajiri, waajiri wengine wanazitoa fasta pindi wakipokea watumishi wao. Wengine ndio hivyo hadi ziandikiwe mabarua na makbrasha kibao
 
mkuu ikowazi kupata nafasi za kujitolea serikalini asilimia kubwa ni connection nzito hasa kwenye hizi taasis nyeti na wizara. lakini tusife moyo tuendelee kuwa subra japo mtaa jua limewaka kinoma noma yanii

ukiscrow contacts za wana na ndugu wa karibu kwenye simu unakuta most wanakudai pesa,ama wamekukatia tamaa coz wanaona target zako hazikubali na umri unaendaa.

Tusimame na MUNGU, coz bongo bila kismart na connection utasota sana.
Ni kweli mkuu.... kuna funzo kubwa sana tunalipata....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Field hukufanya?? Nyie mnajitolea ndio mnawaponza wanaotafuta ajira sababu mnasababisha ofisi kujiona Haina upungufu wakati kibarua yupo. Kafanye mishe zingine mtaani huku ukiapply kazi kwa wingi uwezavyo uitwe kwenye usahili na ulipwe kihalali

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu, hii nchi inataka kutengenezewa matabaka ndani ya serikali. Yani wewe ukajitolee buree halafu wenzako ndani ya mwezi mmoja wakunje 4M. Hapana aiseee Mungu aliyeumba Jua tangu liwepo hadi leo hii atatuonekania kila mmoja kwa namna yake. Tutazidi kudharauliana sana. Kama viongozi wetu wameshindwa kutoa ajira kupitia serikali basi watumie rasilimali za nchi kunufaisha wananchi wake kama ilivyo kwa baadhi ya nchi nyingine. Mbona Libya waliwahi kufanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwe na usawa Tu, kanuni, taratibu na Sheria zifwate tangazo litolewa watu watume maombi, haijalishi unajitolea au la! chujio lipite kwa wote, hii itasaidia kuondoa urasimu,
 
Back
Top Bottom