HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haya mambo ya kujitolea haya sio kabisa, unajitolea muda wote na hujui utaajiriwa lini.

Na mbaya zaidi wa kujitolea wanapokuwa wengi serikali ni kama inaona haina upungufu wa watumishi hivyo kuajiri inakuwa ngumu.

Huu ni utumwa mbaya sana kwa sisi graduates jamaa wanatutengenezea.
Kabisa ,ni uduwanzi sana na tatizo jingine ni kwamba hata hizo nafasi za kujitolea kuzipata tu ,
Dah !
Hii nchi haifai kabisa mazee ,ni kuangalia utaratibu wa kukimbia mbele huko
 
Kabisa ,ni uduwanzi sana na tatizo jingine ni kwamba hata hizo nafasi za kujitolea kuzipata tu ni mziki mnene ,

Ni siku nyingine ya kusubiri kwa matumaini! Mungu atabaki kuwa mwema, ndiye atupaye pumzi na uzima. Kama angetuwekea luku ya hewa sidhani kama kuna mtu angeweza kulipa hiyo bili! Hilo linatufanya kumshukuru katika hali zote!
Leo hakuna pdf mkuu tuzidi kuomba mungu next week panapo majaaliwa...ni mwendo wa mchakatoo unakaa mpka unaota sugu kusurbia placement
 
Ukiona mkubwa anapigia debe "kujitolea" ujue tayari keshapenyeza mtoto wake kwenye kujitolea kwenye taasisi anayovizia ajira, na anataka upendeleo!! Huwezi kuamini kuwa kuna watoto wa wakubwa tayari huko BOT, NSSF, TRA nk eti "wanajitolea". Mimi ninaomba orodha ya "wanaojitolea" huko BOT, TRA, NSSF, nk iwekwe wazi hadharani!! Bila shaka itatokea taharuki ya kitaifa!!
 
Kwanza kujitolea inasababisha serikali wasitoe ajira za kutosha na ndipo hapo wanatafuta suluhisho sababu ya uhaba wa wafanyakazi. Imagine huna kila kitu unaambiwa ujitolee bills zangu nalipa vipi ikiwa nimetokea kijijin na sina pakukaa.
Alafu kujitolea ni kupoteza muda na haina maana mana unaweza kujitolea kama customer service alaf kazi unakuja kupata ya registration officer mfano asa hapo experience inaendana vp na kazi uliyopata

Mfano tu Kuna dada alikua anajitolea halmashaur X zilivokuja Kaz za postcode na sensa hakupata hata moja hadi akaacha kujitolea maana alijitolea for 2 years
Kuna kijana pia alijitolea ualimu kwa takriban miaka miwili. Wakamwambia tutapeleka taarifa zako wizarani!! hajapata ajira hadi leo!! Wajitoleaji wa michongo ndio wanaolengwa kubebwa!! Mwenzangu na mimi utajitolea hadi uzeeke!! TUKATAE!!
 
Yote hayo mbona mwaka jana budget 2022/2023 hawajazungumza.. Hii Mawaziri na Wabunge wanazungumza inamaana kuna pdf zito litashushwa....Cha msingi wawe na maamuzi mazuri yanayojenga tija kwa taifa na vijana pia kwa ajira 6000+ kujaza nafasi za wazi...
Mama(rais) anaupendo na vijana wake
Mungu awatangulie kwenye vikao vyao
 
Kila siku kz kutoa figure tu tutaajri tutaajir ajira zenyewe mpaka mwaka wa fedha unaisha hazitimii kwani zile elf 32 walizosema zimeishilia wapi?
 
Kinachoshangaza ni kwamba kuna taasisi zingine za serikali ni vigumu kusikia wakitangaza kazi. Taasisi kama BOT ina maana kwenyewe watu hawastaafu au? Nadhani huko ndiko kuna watu lukuki wa wakubwa wakidai "wanajitolea" huku wakilipwa posho kibao na kupeana ajira kinyemela!!
 
JamiiForums

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?​

First Prev1642 of 1642
Jump to newUnwatch
•••
L

lucky inc​

New Member​

Ujobless ni Hali ngumu mno

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Dbaba
M

mesew​

Member​

I know I can be wanna wanna be.nan anaijua hii ngoma

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Mnajimu nyota
[IMG alt="Mwanamaji"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/137/137530.jpg?1587541778[/IMG]

Mwanamaji​

JF-Expert Member​

I know I can be wanna wanna be.nan anaijua hii ngoma
Mimi hapa.

Msanii: Nas
Wiimbo: I Can

Thanks Quote Reply
Report
U

Usalama barabarani​

JF-Expert Member​

Uchakachuzi/ madili upigaji mwingi!

Thanks Quote Reply
Report
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Ni siku nyingine ya kusubiri kwa matumaini! Mungu atabaki kuwa mwema, ndiye atupaye pumzi na uzima. Kama angetuwekea luku ya hewa sidhani kama kuna mtu angeweza kulipa hiyo bili! Hilo linatufanya kumshukuru katika hali zote!

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Mwifwa, Kaparo and busanji2003
K

kihasa​

Member​

Ni siku nyingine ya kusubiri kwa matumaini! Mungu atabaki kuwa mwema, ndiye atupaye pumzi na uzima. Kama angetuwekea luku ya hewa sidhani kama kuna mtu angeweza kulipa hiyo bili! Hilo linatufanya kumshukuru katika hali zote!
Amen

Thanks Quote Reply
Report
K

Kimbukiko​

JF-Expert Member​

Haya mambo ya kujitolea haya sio kabisa, unajitolea muda wote na hujui utaajiriwa lini.

Na mbaya zaidi wa kujitolea wanapokuwa wengi serikali ni kama inaona haina upungufu wa watumishi hivyo kuajiri inakuwa ngumu.

Huu ni utumwa mbaya sana kwa sisi graduates jamaa wanatutengenezea.
Click to expand...
Kabisa ,ni uduwanzi sana na tatizo jingine ni kwamba hata hizo nafasi za kujitolea kuzipata tu ,
Dah !
Hii nchi haifai kabisa mazee ,ni kuangalia utaratibu wa kukimbia mbele huko

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:mesew
K

Kimbukiko​

JF-Expert Member​

Haya mambo ya kujitolea haya sio kabisa, unajitolea muda wote na hujui utaajiriwa lini.

Na mbaya zaidi wa kujitolea wanapokuwa wengi serikali ni kama inaona haina upungufu wa watumishi hivyo kuajiri inakuwa ngumu.

Huu ni utumwa mbaya sana kwa sisi graduates jamaa wanatutengenezea.
Click to expand...
Kabisa ,ni uduwanzi sana na tatizo jingine ni kwamba hata hizo nafasi za kujitolea kuzipata tu ni mziki mnene ,
Dah !
Hii nchi haifai kabisa mazee ,ni kuangalia utaratibu wa kukimbia mbele huko

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="abeche"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/660/660698.jpg?1672638703[/IMG]

abeche​

JF-Expert Member​

Ni siku nyingine ya kusubiri kwa matumaini! Mungu atabaki kuwa mwema, ndiye atupaye pumzi na uzima. Kama angetuwekea luku ya hewa sidhani kama kuna mtu angeweza kulipa hiyo bili! Hilo linatufanya kumshukuru katika hali zote!
Leo hakuna pdf mkuu tuzidi kuomba mungu next week panapo majaaliwa...ni mwendo wa mchakatoo unakaa mpka unaota sugu kusurbia placement

Thanks Quote Reply
Report
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Kabisa ,ni uduwanzi sana na tatizo jingine ni kwamba hata hizo nafasi za kujitolea kuzipata tu ,
Dah !
Hii nchi haifai kabisa mazee ,ni kuangalia utaratibu wa kukimbia mbele huko
Ukiona mkubwa anapigia debe "kujitolea" ujue tayari keshapenyeza mtoto wake kwenye kujitolea kwenye taasisi anayovizia ajira, na anataka upendeleo!! Huwezi kuamini kuwa kuna watoto wa wakubwa tayari huko BOT, NSSF, TRA nk eti "wanajitolea". Mimi ninaomba orodha ya "wanaojitolea" huko BOT, TRA, NSSF, nk iwekwe wazi hadharani!! Bila shaka itatokea taharuki ya kitaifa!!

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Mwifwa
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Leo hakuna pdf mkuu tuzidi kuomba mungu next week panapo majaaliwa...ni mwendo wa mchakatoo unakaa mpka unaota sugu kusurbia placement
Halafu wakati unapata shida hivi kuna mtu anataka eti ujitolee!!

Thanks Quote Reply
Report
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Kwanza kujitolea inasababisha serikali wasitoe ajira za kutosha na ndipo hapo wanatafuta suluhisho sababu ya uhaba wa wafanyakazi. Imagine huna kila kitu unaambiwa ujitolee bills zangu nalipa vipi ikiwa nimetokea kijijin na sina pakukaa.
Alafu kujitolea ni kupoteza muda na haina maana mana unaweza kujitolea kama customer service alaf kazi unakuja kupata ya registration officer mfano asa hapo experience inaendana vp na kazi uliyopata

Mfano tu Kuna dada alikua anajitolea halmashaur X zilivokuja Kaz za postcode na sensa hakupata hata moja hadi akaacha kujitolea maana alijitolea for 2 years
Click to expand...
Kuna kijana pia alijitolea ualimu kwa takriban miaka miwili. Wakamwambia tutapeleka taarifa zako wizarani!! hajapata ajira hadi leo!! Wajitoleaji wa michongo ndio wanaolengwa kubebwa!! Mwenzangu na mimi utajitolea hadi uzeeke!! TUKATAE!!

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:Kaparo
[IMG alt="busanji2003"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/374/374205.jpg?1681189030[/IMG]

busanji2003​

JF-Expert Member​

Kuna kijana pia alijitolea ualimu kwa takriban miaka miwili. Wakamwambia tutapeleka taarifa zako wizarani!! hajapata ajira hadi leo!! Wajitoleaji wa michongo ndio wanaolengwa kubebwa!! Mwenzangu na mimi utajitolea hadi uzeeke!! TUKATAE!!
Yote hayo mbona mwaka jana budget 2022/2023 hawajazungumza.. Hii Mawaziri na Wabunge wanazungumza inamaana kuna pdf zito litashushwa....Cha msingi wawe na maamuzi mazuri yanayojenga tija kwa taifa na vijana pia kwa ajira 6000+ kujaza nafasi za wazi...
Mama(rais) anaupendo na vijana wake
Mungu awatangulie kwenye vikao vyao

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="abeche"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/660/660698.jpg?1672638703[/IMG]

abeche​

JF-Expert Member​

Yote hayo mbona mwaka jana budget 2022/2023 hawajazungumza.. Hii Mawaziri na Wabunge wanazungumza inamaana kuna pdf zito litashushwa....Cha msingi wawe na maamuzi mazuri yanayojenga tija kwa taifa na vijana pia kwa ajira 6000+ kujaza nafasi za wazi...
Mama(rais) anaupendo na vijana wake
Mungu awatangulie kwenye vikao vyao
Click to expand...
Kila siku kz kutoa figure tu tutaajri tutaajir ajira zenyewe mpaka mwaka wa fedha unaisha hazitimii kwani zile elf 32 walizosema zimeishilia wapi?

Thanks Quote Reply
Report
V

vfma​

Member​

Ni siku nyingine ya kusubiri kwa matumaini! Mungu atabaki kuwa mwema, ndiye atupaye pumzi na uzima. Kama angetuwekea luku ya hewa sidhani kama kuna mtu angeweza kulipa hiyo bili! Hilo linatufanya kumshukuru katika hali zote!
Amina atukuzwe Mungu milele kwa matendo yake mema yasiyo koma kwetu.

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="abeche"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/660/660698.jpg?1672638703[/IMG]

abeche​

JF-Expert Member​

Siamini kama zilitimia mpka leo

Thanks Quote Reply
Report
M

mbingunikwetu​

JF-Expert Member​

Kinachoshangaza ni kwamba kuna taasisi zingine za serikali ni vigumu kusikia wakitangaza kazi. Taasisi kama BOT ina maana kwenyewe watu hawastaafu au? Nadhani huko ndiko kuna watu lukuki wa wakubwa wakidai "wanajitolea" huku wakilipwa posho kibao na kupeana ajira kinyemela!!

Thanks Quote Reply
Report
  • Thanks
Reactions:mesew
[IMG alt="_saul"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/699/699906.jpg?1676884554[/IMG]

_saul​

JF-Expert Member​

Kinachoshangaza ni kwamba kuna taasisi zingine za serikali ni vigumu kusikia wakitangaza kazi. Taasisi kama BOT ina maana kwenyewe watu hawastaafu au? Nadhani huko ndiko kuna watu lukuki wa wakubwa wakidai "wanajitolea" huku wakilipwa posho kibao na kupeana ajira kinyemela!!
BOT walitangaza kazi mwaka jana, tena kigezo ilikua GPA kama kazi za ukufunzi.
Ila wabunge na mawaziri wangefanya la maana kama kazi zote za permanent & temporary ziwe chini ya psrs na wangewaongezea watendaji wakutosha na bajeti pia alafu kazi ya psrs iwe kusaaply waajiriwa kwenye taasisi zote za serikali na database ingewekwa wazi matokeo na wasambaze jobless pasipo taasis kuchagua sijui nataka nn kwa sabab database itakua imebeba watu wa kila aina.
Na kungekua na database aina mbili za waliofaulu usahili wa kazi za permanent na huku za temporary na wawapangie kulingana na ulifanya usahili upande upi.
Alafu psrs kukawa na crosscheck and balance let say wawe wanakaguliwa na independent organ ambayo haina interest naona jobless wengi wangepata haki.

Na kama mtu anajitolea iwe sawa na anayeenda field pasipo posho yoyote kulipwa wala kuwa na hopes za kupata ajira iwe ni unaongeza ujuzi wako tu.
 
Back
Top Bottom