HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakisema wawape priority wanaojitolea sio sawa most wanaojitolea ni connection mi kuna sehemu nimewahi kujitolea nikiingia kwa mgongo wa mamdogo na wote waliokua wanajitolea walikua ndugu ndugu wa watumishi mule ofisini ambae hana ndugu mle mkataba ilikua mwisho miezi 3.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Duuu!!!! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge ndiye ameuliza swali akiitaka serikali ione umuhimu wa kuajiri waliojitolea kwanza!! Bila shaka wote tutakubliana kuwa MTOTO WA MBUNGE huyu anaweza kujitolea bila stress!! Analala bure, anakula bure, anavalishwa bure na anaweza kujitolea hata miaka 5 na baba yake akaendelea kumhudumia. Lakini je mtoto wa mlala hoi ambaye alikuwa analazimika hata kutumia boom lake kuchangia kusomesha wadogo zake atawezaje kujitolea huku kuna watu wanamtegemea!! Kila siku anafanya biashara ndogondogo ili ajikimu na wadogo zake halafu leo unamtaka ili aajiriwe ajitolee kwanza!! HAPANA!! Uwanja wa kupambania ajira hautakuwa sawa!!
 
Mtu mwenyewe anayetaka kusimamia uwekaji wa utaratibu wa kutoa kipaumbele kwa waliojitolea kupata ajira ni Riz-1 Kik*ete!! Hapo jiandaeni kupigwa na kitu kizito kichwani!!
Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Hapa inaonyesha Mama(rais)kawapa vibari 6,000+ sasa wanapanga watumie vp kupitisha watoto zao kwa kigezo cha kujitolea....
 
Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Hapa inaonyesha mama(rais)kawapa vibari 6,000+ sasa wanapanga watumie vp kupitisha watoto zao kwa kigezo cha kujitolea....
kwaiyo hakuna usaili kwa ambao wanajitolea wanachomekwa tu au ? basi hapo ata wakifanya usaili na washindwa fanya vzur oral basi watachomekwa kwa kigezo cha kujitolea. naona sasa kuna haja sasa yakuweka matokeo ya oral wazi..maana tunapoelekea kutakua na kupeana chance kwa upendeleo kwa kigezo cha kujitolea.

Ukiisikiliza Waziri Mh.mhagama kwa kauli yake aliyosema data base ni dhahiri Mh.Mhagama anahuruma na vijana nenda rudi nenda rudi ya oral Dodoma hapendi 1700+...
Pale unapoongezewa dau la 1700+ na mwenye nchi kauli hizi lazima ziwepo...
Mungu awasimamie katika maamuzi yao...ila kitaa sio Poa
 
90% ya wanaojitolea wameingia kwa connection
Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Hapa inaonyesha Mama(rais)kawapa vibari 6,000+ sasa wanapanga watumie vp kupitisha watoto zao kwa kigezo cha kujitolea..
 
Ukiisikiliza Waziri Mh.mhagama kwa kauli yake aliyosema data base ni dhahiri Mh.Mhagama anahuruma na vijana nenda rudi nenda rudi ya oral Dodoma hapendi 1700+...
Pale unapoongezewa dau la 1700+ na mwenye nchi kauli hizi lazima ziwepo...
Mungu awasimamie katika maamuzi yao...ila kitaa sio Poa
Vijana tungekua na msimamo na kauli moja tukadai kanzidata iwekwe wazi na matokeo ya oral interview yatolewe wazi
Huku tukidai database la mhagama 1769 lilipoishia ingesaidia wengi na hayo mambo ya kujitolea wasingeyasema. Imagine humjui mtu yoyote unaweza kupata nafasi ya kujitolea mfano brela?
 
90% ya wanaojitolea wameingia kwa connection
Kwanza kujitolea inasababisha serikali wasitoe ajira za kutosha na ndipo hapo wanatafuta suluhisho sababu ya uhaba wa wafanyakazi. Imagine huna kila kitu unaambiwa ujitolee bills zangu nalipa vipi ikiwa nimetokea kijijin na sina pakukaa.
Alafu kujitolea ni kupoteza muda na haina maana mana unaweza kujitolea kama customer service alaf kazi unakuja kupata ya registration officer mfano asa hapo experience inaendana vp na kazi uliyopata

Mfano tu Kuna dada alikua anajitolea halmashaur X zilivokuja Kaz za postcode na sensa hakupata hata moja hadi akaacha kujitolea maana alijitolea for 2 years
 
Simply ni kwamba, vijana wanaojitolea ndiyo wanaosababisha serikali isitangaze ajira za kutosha kwa vijana kwasababu uwepo wao ofisini unaficha uhalisia wa upungufu wa Watumishi maofisini maana kila takwa la kiutumishi linakamilishwa na hao vijana wanaoitwa wa kujitolea, serikali haiwezi na haitaweza kuuona huo upungufu kiurahisi.
 
Hivi wakuu naomba kuuliza inawezekana barua ya kuitwa kazini ikafika ofisi za KAZI mda mrefu Hadi ikafika mda ofisini wakakupigia kuwa unahitajika kazini kabla ya psrs kutoa jina lako placement
Naomba msaada kwa anaeelewa hiyo ishu
 
Yeah inawezekana kwa zile taasisi zinazozalisha pesa na kujitegemea mfano mwaka Jana waliofanya interview za mocu waliitwa kazini moja kwa moja bila kwenda kuchukua barua dodoma baada ya siku kadhaa psrs ndio wakatoa placement.
Ila tembelea website ya taasis uliyoomba kazi huwa wanapost pia
pia
 
Kwaiyoo unaweza ukaripoti bila ya kuwa na barua ya kazi
 
Back
Top Bottom