OkayLolote linaweza kutokea Kuna chuo jamaa alipiga oral interview peke yake na kazi hakupata post ikawa re-advirtise tena written aliitwa peke yake. Hivyo kua makini na sijui kama post za tutorial assistant zina database if ukifaulu.
Fanya kama nilivyokushaur chukua barua sikilizia had karibu na deadline if hawajatoa placement peleka barua kwa mwajiri wako
Take my word!! Kuna siku utakuja kuikumbuka hii post kama utaipoteza ambayo Mungu amekupa na unaidengulia!!Mkuu sitapenda kutaja jina, nadhani sio poa. Ila hii placement imeniweka pabaya
Unajua humu kuna watu walihitimu toka 2015 mwaka ambao ajira kwenye utumishi wa umma zilisimama kwa kiasi kikubwa sana. Na wapo waliohitimu 2021 na 2022 ambao wamekuta mama amefungulia tena ajira!! huyu aliyehitimu hivi karibuni hajui joto la kusaka ajira kwa muda mrefu na sitashangaa kama akipata ajira halafu akaidengulia!!Take my word!! Kuna siku utakuja kuikumbuka hii post kama utaipoteza ambayo Mungu amekupa na unaidengulia!!
kikubwa sikilizia wasipotoa placement nenda karipoti kazini ukiwa na check no kuhama inawezekana Kuna watu walikua halmashaur now wapo kwenye dimbwi la asali nenda kijana usikatae witoUnajua humu kuna watu walihitimu toka 2015 mwaka ambao ajira kwenye utumishi wa umma zilisimama kwa kiasi kikubwa sana. Na wapo waliohitimu 2021 na 2022 ambao wamekuta mama amefungulia tena ajira!! huyu aliyehitimu hivi karibuni hajui joto la kusaka ajira kwa muda mrefu na sitashangaa kama akipata ajira halafu akaidengulia!!
Pole sanaa aisee!Mkuu sitapenda kutaja jina, nadhani sio poa. Ila hii placement imeniweka pabaya
Mungu atatusaidiaSiku nyingine tena mapambano yaendelee, naimani siku ya leo haitapita ivi ivi ni swala la muda tu.
AminaMungu atatusaidia
Ikishatokea sana kipindi cha nyuma, hata mwaka jana tu. Kuna baadhi ya watu waliitwa mara mbili kwenye taasisi tofauti.Habari...
Mdogo wenu nauliza. Kuna ambaye alishaitwa kwenye placements mbili tofauti? Yaan ulifanya oral mbili zilizofuatana tarehe na kenywe placement zote jina lako likatokea.
Shukran
Pole sana mkuu subira huvuta heri...nchi yetu ngumu tuendlee tu kua wavumilivu..database inatoka japo kidgo kidgo sana huenda mpka mwaka ukapinduka na muda wa kuexist kweny database ukapitaNaona kuna kitu kinaendelea,last time advertisement za halmashauri waliziondoa zote kwenye web ila naona zinaendelea kutoka na hawaziweki kwenye web.
Na new advertisement hazipo sijui ndio wanatekeleza agizo la kutoa kanzidata??yote kwa yote vijana washakata tamaa,mwenyewe nimesinya mmoja tena kwa mchina maana utumishi naona kiza kinene.
makofia360 nae katukimbia hatupi za ndaaani tena.
mfwende sawadogo naye amekata tamaa uvumilivu umemshinda
Tutumaini kuwa ijumaa haitapita bila pdf kutoka. Mungu aendelee kuwapa moyo mkuu wa matumaini ili kuwa na nguvu ya kusuburi. Cha msingi je wakati unasubiri unajishughulisha na nini? Lazima kila mmoja awaze cha kufanya ili kujiingizia kipato chochote hata kama ni kidogo. Pia kujijengea tabia ya kuweka akiba hata kama ni 500/= kwa siku. Fahamu kuwa kujiwekea akiba haimaanishi una kipato kikubwa, bali ni tabia uliyojijengea na utaratibu uliojiwekea. Bila kujijengea tabia ya kujiwekea akiba na bila kujiwekea utaratibu wa kujiwekea akiba, hautakaa uweze kuweka akiba hata kama ukija kufanikiwa kupata kipato kikubwa. Na ukweli ni kwamba tabia ya kujiwekea akiba hujengwa kabla mtu hajaweza kuwa na kipato kikubwa.Naona kuna kitu kinaendelea,last time advertisement za halmashauri waliziondoa zote kwenye web ila naona zinaendelea kutoka na hawaziweki kwenye web.
Na new advertisement hazipo sijui ndio wanatekeleza agizo la kutoa kanzidata??yote kwa yote vijana washakata tamaa,mwenyewe nimesinya mmoja tena kwa mchina maana utumishi naona kiza kinene.
makofia360 nae katukimbia hatupi za ndaaani tena.
mfwende sawadogo naye amekata tamaa uvumilivu umemshinda
Uhakika Kaka?Leo kabla ya saa sita usiku kuna watu watalamba asali sehemu za heshima wakuu kuna dude kubwa linapikwaa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pamoja man Acha tuzidishe maombi
Na iwe hivyo[emoji120]Leo kabla ya saa sita usiku kuna watu watalamba asali sehemu za heshima wakuu kuna dude kubwa linapikwaa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Amen.!Leo kabla ya saa sita usiku kuna watu watalamba asali sehemu za heshima wakuu kuna dude kubwa linapikwaa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app