Naona vimulimilu vyote vimezima kasoro 1 so nahisi itakuwa dalili ya kuingia mzigo mpyanitazidi kusema wiki hii imekaa ki pdf sana.
vp wakuu sasa tumekubaliana lile neno "FINAL" halikua na maana yoyote??
Tuwe na subra mkuuNaona vimulimilu vyote vimezima kasoro 1 so nahisi itakuwa dalili ya kuingia mzigo mpya
Kawaida mkuu endlea kusubiriHumu hakuna wadau waliofanya oral DUCE January? Mwezi wa 5 Sasa unaenda hakuna kitu, semeni neno au mmeshaitwa kimya kimya
daaaah hawa jamaaa badoHumu hakuna wadau waliofanya oral DUCE January? Mwezi wa 5 Sasa unaenda hakuna kitu, semeni neno au mmeshaitwa kimya kimya
walifanya siku moja muce, udsm, muhas, must na duce.Humu hakuna wadau waliofanya oral DUCE January? Mwezi wa 5 Sasa unaenda hakuna kitu, semeni neno au mmeshaitwa kimya kimya
saizi multi-placement zimekoma. mkuu kama umepangiwa halmashauri ya mbwinde we nenda mambo yatajiseti mbeleniHabari...
Mdogo wenu nauliza. Kuna ambaye alishaitwa kwenye placements mbili tofauti? Yaan ulifanya oral mbili zilizofuatana tarehe na kenywe placement zote jina lako likatokea.
Shukran
Bila shaka inatolewa na taasisi husika mkuu.Kwani hela ya kujikimu inatolewa na taasisi husika au inakuaje?
Nadhani inategemana na taasisi, ila kwa vyuo vya kati ni Sh. 150,000/- kwa siku × siku 7,Kwani kwa kawaida pesa ya kujikimu inacheza kati ya bei gani
Aaaah kumbe kibosi Sana bhasi Acha tuvumilie tuuuu inawezekana mungu akafanya miujiza yake na sisi tukalamba asaliNadhani inategemana na taasisi, ila kwa vyuo vya kati ni Sh. 150,000/- kwa siku × siku 7,
Hivyo jumla ni 1,050,000/-.
Wapo wanaopata placements mbili.Habari...
Mdogo wenu nauliza. Kuna ambaye alishaitwa kwenye placements mbili tofauti? Yaan ulifanya oral mbili zilizofuatana tarehe na kenywe placement zote jina lako likatokea.
Shukran
Hii ilikua zamani, sasa hivi nahisi wana mfumo wa kuzuia hiliWapo wanaopata placements mbili.
Na hivyo wenyewe huchagua ni wapi waende.
Kumbe!!!Hii ilikua zamani, sasa hivi nahisi wana mfumo wa kuzuia hili
Mh hii taarifa una uhakika nayo mkuu?Hii ilikua zamani, sasa hivi nahisi wana mfumo wa kuzuia hili
Sina uhakika ila sikuhizi hakuna cases za double placement, nahisi wametatua hiyo changamoto.Mh hii taarifa una uhakika nayo mkuu?
Ni siku mpya tena Bwana ameifanya machoni petu kwa sifa na utukufu wake, hatuna budi kumshukuru kwa kutuamsha salama, yeye ni mwema , mwaminifu na anatupenda tuzidi kumuomba katika hitaji letu hili la Ajira
naye atafanya kwa kila mmoja wetu humu ndani, pia tuzidi kuombeana sisi kwa sisi katika swala hili la Ajira ili kila mmoja wetu aweze kuja kuushuhudia wema wa Bwana mahali hapa kwa kumpatia neema ya Ajira. Bwana awabariki ninyi nyote humu ndani.