HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kama mtu hujaridhika na placement uliyopata unaweza kuendelea kuomba ajira nyingine ili mradi barua ya ajira uipitishie kwa mwajiri wako wa sasa!! Ukipata placement nyingine unafuata utaratibu wa kuhama toka mwajiri mmoja kwenda kwa mwingine. Wengi wanafanya hivyo!! Halafu kufanya oral huku ukiwa na ajira unakuwa na confidence zaidi!! Confidence na personality ndo kila kitu kwenye oral interview!
Well said bro. Ni njia nzuri ila changamoto unakuta mtu hajamaliza hata miaka 2 toka ameajiriwa halafu umpelekee Mwajiri barua ya application akusainie na kugonga muhuri duuh sio shughuli nyepesi. Kibaya ni ikitokea hujapata hiyo kazi na mwajiri ameshajua kwamba huyu mtu kumbe hatupo nae anawazia sehemu nyingine kitu ambacho kinaweza kuleta changamoto kazini kwa namna moja au nyingine.

Alternatively, ni bora ukapige interview ukitoboa na kupata kazi then ndio uende kumpigia magoti mwajiri akufanyie approval ya kuhama. Japo napo ni issue maana utaulizwa kwa nn hukutoa notification mapema kwa maana ya kupeleka barua isainiwe na mwajiri kwanza!
 
Wenye uelewa kidogo kuhusu hili naomba msaada wenu wa kimawazo
 
Ila Mimi naona
Ama kwa kweli kila hatua ina changamoto zake, japo makali ya hizo changamoto yanaweza kutofautiana!!
1. Changamoto moto kwenye hatua ya application:
*Mtandao kusumbua wakati deadline ya application imekaribia
*Application kugoma kwenda kwa kigezo kuwa huna sifa, wakati sifa zako ni hizo hizo zinazotakiwa
kwa hiyo nafasi. Mfumo unakuletea meseji ifuatayo:

Job Application FAILED​

Sorry! You can not apply for the job post, kindly Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post

Please read and understand carefuly Job post qualification requirements before applying

Thank You.
*Kusubiri kwa muda mrefu ukiwa kwenye "received" status kabla ya kuitwa kwenye written interview wakati waombaji wa nafasi zingine wakitwa mara kwa mara kwenye usaili.

2. Changamoto kwenye hatua ya written interview:
*Kuitwa kwenye written interview lakini huna pesa ya nauli, malazi na chakula za kukuwezesha kuhudhuria usaili huo! Kwa mfano uko mwanza lakini unatakiwa uhudhurie usaili Dodoma au Dar!
* kusubiria matokeo ya written interview hadi usiku wa manane!
* Kuitwa kwenye usaili lakini haujui uanzie wapi kujiandaa kwa maana ya eneo husika ambalo maswali yanaweza kutoka, nk

3. Changamoto kwenye hatua ya oral interview:
* Kusubiria tarehe ya oral interview wakati pesa imekuishia lakini unatakiwa usubiri pengine siku moja zaidi baada ya writtewn interview!
* Kutokuwa na uzoefu kabisa kwenye oral interview!

4. Changamoto kwenye hatua ya placent!!
* Kusubiri placement wakati hujui hata ulipata marks ngapi kwenye oral exam!!
*Kusubiri placement wakati hujui kama ulifaulu au ulifeli oral interview maana huwa hawatoi matokeo!
* Kusubiri kwa muda mrefu utokaji wa pdf maana ndio njia pekee ya kujua kama ulifaulu au vinginevyo!
* Kusubiri placement kutoka kwenye data base japo huna uhakika kama kweli jina lako liko kwenye data base maana data base hiyo haijawahi kuwekwa wazi!!

5. Changamoto baada ya kulamba asali (kuitwa kazini) na jina lako kutokea kwenye pdf
* Kuamua je uifuate barua byako dodoma au usubiri baada ya wiki moja barua itumwe kwenye anwani yako ulioweka kwenye akaunti yako ? Upande mmoja unasema niifuate lakini tatizo ni nauli!! Upande mmoja unasema watanitumia lakini ikiwa misplaced na siku 14 zikapita itakuwaje? Wengi (karibuni wote) huamua kufuata barua zao dodoma hata kama itabidi wakope kwa riba!!

6. Changamoto baada ya kuripoti kituo cha kazi alichopangiwa:
* Kijana anaripoti akiwa na vyeti vyote original vinaangaliwa, anajaza form za taarifa binafsi nk. Kisha anaambiwa rudi nyumbani hadi tutakapokuita kwa simu!! Hapo kijana hata pesa ya kujikimu kwa siku moja tu hana na nauli nyenyewe alikopa!!, hana mwenyeji ambapo anaweza kujibanza wakati anasubiria huo wito kwa simu!! Afisa utumishi hapo keshamalizana na wewe na kukutaka umpishe ofisini ili mtu mwingine anayetaka huduma yake aingie!! Hakuna cha posho wala baba yake na posho! Kwa vijana wa kiume, wengine wanakomaa tu na kulala stendi za mabasi nk. Kwa mabinti sitaki kuwaza wanafanyaje maana kwao ni risk kubwa sana! Kuna baadhi ya waajiriwa wapya wanasubiria hadi mwezi mpaka kuitwa, wengine wiki moja, wengine wiki mbili na hakuna formula! Mimi naona hii ni changamoto kubwa zaidi japo matumaini ya uhakika yanawabeba kiasi fulani!

7. Changamoto baada ya kupigiwa simu na kutakiwa kuripoti kuanza utumishi wao!
* Wengi hawajui hata haki na stahiki zao!!
* Changamoto ya kupata mahali pa kuishi (kwa baadhi ya sehemu), hapo watalazimika kuingia kwenye 18 za madali. Baadaye kro ya mama mwenye nyumba na kero ya wapangaji wenzao!!
* Mwisho wa siku ni changamoto ya kuona mshahara hautoshi, ni mdogo sana hasa baada ya makato ya bodi ya mikopo kuanza!!

Inabidi watu wajue tu kuwa, changamoto katika maisha huwa haziishi japo makali ya changamoto hutofautiana. Je wewe uko kwenye changamoto ya hatua ipi?

"
Ila psrs wanaweza wakarekebisha mambo na wakafanya kazi kwa target mfano ningekuwa karibu au na nafasi ya kufanya maamuz ningeweza kupanga kama ifuatavyo:

1 kuhusu advertisement ningetoa mara moja tu ndani ya miezi 4 Yani naandaa tangazo moja linalojumuisha Kada mbalimbali ambazo zinahitajika in general kwa taasis mbalimbali na waajiriwa wafanye application ndani ya wiki 2.
2. Kuhusu call for interview, baada ya wiki 2 za kufanya application usahili ufanyike ndani ya week 6 (written practical and oral) tu kikanda na haitakua na limitation ya address ilimradi una no za mitihani utaruhusiwa kufanya kwenya kanda yoyote ile.
3 Baada ya hizo week sita natumia week 4 kutoa placement baada ya kupata respond kwa waajiri na kufanya process. Na baada ya waajiriwa kuripoti ndani ya mwezi mmoja wawe tayari mchakato wa ajira umefika mwisho.

Ufafanuzi sasa
Kuhusu advertisement nitaangalia Kada zinazohitajika kwa hiko kipind cha miezi 4 na idadi ni ngapi mfano wanahitajika wahasibu 100 ___ hvy hvy Kada zingine alafu kwenye tangazo naandika nafasi 50 wanakuja kufanya interview nachuja hadi oral wanabaki 150 kwa ratio ya nafasi moja watu watatu washindane then mmoja anapita direct placement wapili anaingia database watatu amefeli hvy hvy kwa Kada zote ikija kwenye placement wale 50 wa mwanzo nawapangia kwenye zile taasisi zilizoanishwa kwenye advirtesement alafu wale 50 wengine watapangwa kwenye taasisi ambazo hazijatajwa kwenye advirtesement.
NB kuhusu matokeo ya oral interview kutakua na notification kwamba mtu kapita au ametemwa na ndani ya miez 4 ikipita automatic atajua alifeli na hata watakaobakia database hawawez kuwa wengi tena sababu nimezuia multiple advertisement

Kuhusu usahili napanga labda Kada 5 au ngapi kulingana na uhitaji wafanye ndani ya wiki hii inayofuata wengine hvy hvy ndani ya wiki 6 zoezi limeishia na najumuisha expert wa interview na kila kitu kama kawaida

Baada ya hapo ndio wiki 4 za mwisho ndio nashugulikia habar za placement na kutoa majina na kuwasiliana na waajiri hvy placement zinakua 2 tu moja ya waliopata direct na nyingine ya database (ambayo naweza kuitoa baada ya mwezi 1 toka kipind waliopata direct wamesharipoti kwa mwajiri) yaani sifanyi multiple placement.
Sasa hapo kwa mwaka nitakua na vipindi 3 au mara 3 tu kutoa advertisement, call for interview and placement na naamini itapunguza kero kwa waajiri na waajiriwa, itaokoa muda kwa sababu kila kitu ndani ya miez 4 kimeisha
Na hata jobless akihudhuria interview mara 3 kwa mwaka sio mbaya na hawezi lalamika kwani utajua siku na mitihani na utajiandaa vilivyo sababu ratiba ipo na wao psrs watajiandaa vizuri...

Nimesema sana sijui ndio ujobless
 
Sawa kabisa!! Na mimi sikumaanisha jina lako kama wewe bali jina lake yule anayesubiria kutoka kwenye database!! Tatizo orodha ya database imefanywa siri bila sababu ya msingi na marks za kwenye oral zimefanywa siri bila sababu ya msingi!! Kwa mfano tu, nasema kwa mfano tu, kama mtu akipewa ajira ambaye hata hakuwahi kufanya usaili na ikadaiwa ametoka database ni nani atakayelijua hilo? Database ni kizungumkuti!! Nitakuwa wa kwanza kuipigia debe database kama orodha yake ikiwekwa wazi.
Hili neno Mh.waziri (Mhagama) alilosema Tunawapangia watu kutoka database kazi "kupunguza nenda rudi nenda rudi dodoma"linaukakasi mkubwa ....oral result lazima iwe giza nene !!!!
Kama mwalimu ametoka database "Tamisemi" na mwanafunzi anafaulu !!!kwann huku inakuwa ngumu kwa mwajiri akatae....
Mungu awasimamie PSRS kwa changamoto wanazopitia!!!!!
 
Mi nazani utumishi wangeweka wazi matokeo ya oral. Matokeo ya oral nayo yangekuwa yanatolewa kwa namba na marks kama ya written. Wale waliofaulu ungepigwa mstari mwekundu kumaanisha wanasubili placements. Ambao watakuwa chini ya mstari watakuwa huru kujua kuwa hawakufaulu. Hii ingesaidia kuondoa ukakasi wa hizi mambo.
 
Sasa hivi nikifanikiwa kutimba oral tena ninamaswali mengi ntawauliza utumisha maana wanatoaga nafasi ya kutoa maoni kabla oral haijaanza.

Haiwezekani tunaingia oral kila interview alafu database haifanyi kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua kada yako mkuu ina compettion kubwa....mbona watu wanapata placement kutok database sema speed ni ndogo mnoo
 
Kiini cha tatizo nililoona psrs ni multiple advertisement, call for interview and placement. Wangejitahid kuorganize mambo kwa uchache wangefanya kazi kwa ufanisi na utendaji mkubwa hata malalamiko yasingekuwepo.
Waweke seasonal interview itawasaidia kuwa na organized advirtesement and placement itatatua kero zote
 
Itakua kada yako mkuu ina compettion kubwa....mbona watu wanapata placement kutok database sema speed ni ndogo mnoo
Kwa hizi multiple advertisement za psrs database yao imezidiwa na hakika Kuna watu wanaoingia database lakini wanakosa nafasi baada ya muda kuexpire
 
Mi nazani utumishi wangeweka wazi matokeo ya oral. Matokeo ya oral nayo yangekuwa yanatolewa kwa namba na marks kama ya written. Wale waliofaulu ungepigwa mstari mwekundu kumaanisha wanasubili placements. Ambao watakuwa chini ya mstari watakuwa huru kujua kuwa hawakufaulu. Hii ingesaidia kuondoa ukakasi wa hizi mambo.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100!!
 
[emoji16][emoji23] sasa kama hazitaki basi serekali irudishe mamamlaka kwa taasisi ziajiri zenyewe na kuendesha saili zenyewe kama zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila taasisi ikiruhusiwa kufanyisha usaili na kuajiri kama zamani hali itakuwa mbaya sana! upendeleo na rushwa zitashamiri! Na kila mwajiri atajiwekea utaratibu wake!! Usitake turudi tulikotoka!!
 
Kama mtu hujaridhika na placement uliyopata unaweza kuendelea kuomba ajira nyingine ili mradi barua ya ajira uipitishie kwa mwajiri wako wa sasa!! Ukipata placement nyingine unafuata utaratibu wa kuhama toka mwajiri mmoja kwenda kwa mwingine. Wengi wanafanya hivyo!! Halafu kufanya oral huku ukiwa na ajira unakuwa na confidence zaidi!! Confidence na personality ndo kila kitu kwenye oral interview!
Kuna placement nmepata sjaridhika nayo, ila kuna zingine, mbili super zaid nilifanya vizuri ila hawajatoa placement na nahisi zitatoka soon. Sa nawaza nikaripoti au ningoje?
 
Kuna placement nmepata sjaridhika nayo, ila kuna zingine, mbili super zaid nilifanya vizuri ila hawajatoa placement na nahisi zitatoka soon. Sa nawaza nikaripoti au ningoje?
Nenda kazini, usije ukachelewesha placements za wengine ohooo! Utaikumbuka hiyo nafasi....najua umepangwa halmashauri unajishauri kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tatizo lilipo la psrs multiple advertisement wakat wangeweza wakatumia tangazo moja let say hizi post za MDA & LGA kupata watu wakajaza nafasi mbalimbali kwenye taasisi.
Hii ingepunguza gharama muda kwao wenyewe na jobless tungepumua imagine labda kweny post za LGA wapate accountant 200 na Kada zingine hvy hvy then wanasupply kwa waajiri hakuna cha sijui hatutak watu wa database na hii ingesaidia kulimit watu wanaoingia database na wanaopata kazi hapo ingeenda vizur na hakika kusingekua na uhaba wa nafasi.
Ni kweli, kuna pahala wanamapungufu. Mfn, mm nimefanya saili 5, ajabu nilifaulu tangu usaili wa kwanza. Lakini sikujua maana hawatoi matokeo ya oral.

Nimetumia gharama zaidi kufanya saili nyingine 4.

Saivi nmeitwa job kwa ile saili ya kwanza, ambayo naiona sio dili bcoz saili zingine zilikuwa nono na nilifanya poa zaid.

Nifanyaje hapo
 
Watu mna bahati
 
Back
Top Bottom