HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...

Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.

Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.

It aint over until IT'S OVER si ndio?....
 
Pole sana bibie ur time is comming soon
 
Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...

Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.

Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.

It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Kada gani dada, uchumi daraja la pili au.?
 
Hiyo data base ni mlango wa nyuma wa kupitishia watu!! Watu walioko "database" ni siri kali! Ndio maana hizo marks za oral inabakia ni siri kali!! Wewe haujiulizi kwa nini watu huwa hawapewi wakaona marks zao za oral? Kama haujawahi kuziona marks zako za oral una uhakika gani na hiyo "data base"?

Sijasema data base haipo, ninachosema ni kuwa hakuna ajuaye kama jina lake liko kwenye data base kwa hiyo hakuna namna ya kudai haki yoyote kwa kigezo cha data base. Pia hakuna ajuaye kuwa yuko kwenye data base kwa kuwa hakuna ajuaye kama alifaulu au alifeli oral interview kwa kuwa marks huwa hazitolewi!! Hapo kwenye usiri wa matokeo ya oral exam ndo uchawi uko hapo!! Kwa nini orodha ya kwenye data base isiwekwe wazi na marks zao??
Mambo ganaenda ovyo sana tofauti na tunavyo dhani, wangekuwa systematic kilakitu kingewekwa wazi kuanzia sikubya oral, ubagu unaanza kwenye kuomba ajira, mara sytem zibague bila logic bado utumbo wa kanzi data vurugu hapo ndo vijana wanapata hasira, nibora wasikuite kabisa kwenye usaili kuliko mauza uza ya saizi kwanza hujui ume score ngapi, walio itwa huwa jui, wana leta kwenye placementbmajina tofahti na walio fanya usaili, tungekuwa tunaona tungeshangaa kiukweri pesa ndo inaongea kule ujanja mwingi vijana tuje kudai mabadiliko ya sheria za utumishi hizi za saizi ni ulaji kwa PSRS
 
Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...

Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.

Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.

It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Ni suala la mda tu Madam, na wewe utalamba Asali [emoji120]
 
Wakuu kwema.. hatimae nimepangiwa kazi SIDO from Database. Sijawah kufanya interview SIDO. MUNGU NI MWEMA SANA. MSICHOKE KUMUOMBA MUNGU.

Vip SIDO kuko vizur? Posho zipo?
Hongera kaka TPDC uliomba kazi kada gan , na oral mliingia wangap..?
 
Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...

Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.

Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.

It aint over until IT'S OVER si ndio?....
Yaah Para ya mwisho ndo yenyewe hiyo! Ts not yet over, mapambano yaendelee mpaka pale kitakapoeleweka..
 
Back
Top Bottom