Hahaaa Blender kapotelea wapi ,kimya sana leo ๐๐๐๐๐๐,overthinking
stresss
depression
ndio mshikaji wa jobless alie kubuhu
Hahaaa Blender kapotelea wapi ,kimya sana leo ๐๐๐๐๐๐,overthinking
stresss
depression
ndio mshikaji wa jobless alie kubuhu
Umeongea point mkuu nakusapoti ktk hiliNiseme tu bado tuna safari ndefu sana kufika Tuendako. Kwa hali hii kama ionekanavyo tutegemee tu kuona madudu makubwa zaid ya haya tuyaonayo saiz.
Imagine kuna mtu ana amin kelele hazina msaada wowote kwenye kuwawajibisha viongozi, at the same time mwingne tena anatafsiri haya tunayo discuss humu jinsi ya kuwaafikishia kero zetu wenye mamlaka ni politics.
Hii sio sawa ndugu zangu, kuna mifano mingi sana kam marejereo ya ku prove the logic kwamba kelele zinasaidia sana.
Hatulilii kuajiriwa serikalini. Tunataka wafanyie kazi Haya malalamiko yetu. Ivo tu. Muwe na siku njema
Dah ! Ila man life la ujobless sio mazee ,omba yasikukute ,nyiee utumishiii mtuonee huruma Jobless WA nchi hii twafaaaaa , majitu yana roho ngumu hayaoverthinking
stresss
depression
ndio mshikaji wa jobless alie kubuhu
atarudi yupo kusotea bando na msosiHahaaa Blender kapotelea wapi ,kimya sana leo ๐๐๐๐๐๐,
prove kiongozi aliewajibishwa kwa kelele na prove hio logic yako kwamba inasaidia. Nimekaa paleee....Niseme tu bado tuna safari ndefu sana kufika Tuendako. Kwa hali hii kama ionekanavyo tutegemee tu kuona madudu makubwa zaid ya haya tuyaonayo saiz.
Imagine kuna mtu ana amin kelele hazina msaada wowote kwenye kuwawajibisha viongozi, at the same time mwingne tena anatafsiri haya tunayo discuss humu jinsi ya kuwaafikishia kero zetu wenye mamlaka ni politics.
Hii sio sawa ndugu zangu, kuna mifano mingi sana kam marejereo ya ku prove the logic kwamba kelele zinasaidia sana.
Hatulilii kuajiriwa serikalini. Tunataka wafanyie kazi Haya malalamiko yetu. Ivo tu. Muwe na siku njema
Vijana wanajaza huku malalamiko, wanaacha kwenda kwenye zile nyuzi kujaza replies na tags kwa Rais na N/WaziriKwa mliopo twitter kuna jamaa anaitwa Lubasha jr anasaidia sna kupush agenda ya database na kuchelewesha kwa placements, kama ingekua vzuri mngeenda kumsupport kwa upande ule kuna ujumbe unafika kwa viongozi husika kama upepo.
Tukipata retweets na replies 10k mbona faster wanatoa mkeka wa databaseVijana wanajaza huku malalamiko, wanaacha kwenda kwenye zile nyuzi kujaza replies na tags kwa Rais na N/Waziri
Bro acha tu kuna watu hapa duniani wana roho kama mawe hayahrumii wengine kbsaa yaniDah ! Ila man life la ujobless sio mazee ,omba yasikukute ,nyiee utumishiii mtuonee huruma Jobless WA nchi hii twafaaaaa , majitu yana roho ngumu haya
Wafanye hivyo maana sio powaTuangalie leo sijui wenye nchi wtaachia pdf
Ramli inasemaje mpaka sasa hvTuangalie leo sijui wenye nchi wtaachia pdf
Ushauri murua kabisa huu.Mtapata kazi ndugu zangu ila msifikirie political move kama itawabeba cha muhimu ni subra tuu, wakitangaza nafasi turudini ulingoni tena tukapambane.
Mbona kelele hizi Jamii forum zimewatoa Waziri,N/W na Katibu mkuu Utumishi mpk Mama(rais) anakiri anatembelea J/forum...prove kiongozi aliewajibishwa kwa kelele na prove hio logic yako kwamba inasaidia. Nimekaa paleee....
Kuna mwanasiasa amepush twitter kule malalamiko ya ubaguzi TRA kwa kupitia video ya mbunge aliyoongea uwazi na usawa uwepo kwenye kuajiri watu ...Tukipata retweets na replies 10k mbona faster wanatoa mkeka wa database