HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Inamaana bado ajira 27,000 kwa mwaka budget 2022/2023 ambao June unaisha...
+Tamko Pdf (data base) Mh.Mhagama 1,700+ (kiporo) kwa budget ya mwaka 2021/2022..
Tuje kwenye hoja:
Kuna mamber humu kwenye thread wanasema Data base Mhagama inatoka kidogo kidogo Hakuna ushaidi(fumbo)kumbe tunaakiba nyingi ya watu Wanahitajika....
Huku Waziri Mh.mhagama anasema feb tunawapangia Bestlooser vituo vya kazi Nako Fumbo mpk sasa....[emoji25][emoji25][emoji25]
Bestlooser tunapita kwenye sintofahamu kubwa sana....Tuzidi kumuombea Mama(rais) labda Fumbo atalifumbua
Mungu amsimamie !!!!
Sekretarieti ya Ajira
 
Hilo jina limeibuliwa hapa kati wakati lawama kuhusu PSRS zilipopamba moto, tena baada ya ishu za status kuyeyuka.

Hata sisi tuliopata nafasi tulipachikwa kuwa ni Mawakala wa PSRS, wengi wanaopachika haya majina ya utani ni wale ambao bado kwa sababu wengi wanaopata nafasi huondoka humu au kukaa kimya.
Eti majina ya utani , isije ikawa ni kweli
 
Swala jingine kama inavyofahamika mtu kuingia oral interview ni Mark 50 na kuendelea ukiondoa lecturers, tutorials n.k

Tunahitaji baada ya oral interview matokeo yatolewe kwa uwazi na walioingia kwenye kanzi data wafahamu kwa sababu ni haki yao isiwe jambo la ramli chonganishi

Maswala ya wasaka ajira kukaa wanahisi wako kanzi data ama la! hayana tija, vitu viwe wazi kila mshiriki ajue alichovuna na ajue atapata nafasi pale zitakapo jitokeza ama ajipange upya!
 
Eti majina ya utani , isije ikawa ni kweli
Best looser si jina sahihi ndio maana huwezi kuona komenti yangu ikitaja hilo jina hata kama liwe la utani.

Tunajua kuwa mkiwa 5 oral, halafu nafasi zipo 2. Wataanza kuchukuliwa wale waliofaulu zaidi kutokna na idadi hizo nafasi 2.

Watakaobaki sio best looser, ni watu waliofaulu ila nafasi zimekosekana, hawa ndio huwa wanawekwa kanzi data.

Sasa iweje umuite mtu best looser? ilihali kafaulu ila nafasi hazikutosha na bahati nzuri kapewa nafasi ya kubakishwa akiba endapo nafasi ikipatikana anaipewa.

Pia endapo wangekuwa wanaitwa watu kwenye oral idadi sawa na nafasi zilizopo kungekuwa hapakaliki kwa lawama. Ili kuondoa hilo na kuweka uwanja sawa, pakawepo na ratio ya watu vs nafasi.

Utani ni mzuri na pia ni mbaya/haufai, utakuwa mzuri kulingana na hali/mazingira na utakuwa mbaya kulingana na hali/mazingira. Tujitahidi kutambua ni mazingira yapi tutumie utani na mazingira yapi haipaswi kutumia utani.
 
Well said kanzidata ni ya watu waliofaulu lakin nafasi zilikua chache mfano oral mmeingia wanne, wakwanza kapata 89, wapili 87, watatu 85 na wanne 80, nafasi ni moja so atachukuliwa aliepata 89, hao watatu waliobaki hauwez waita best losers ni watu waliofaulu wakakosa nafasi kwa wakati huo. Na data base ipogo maeneo mengi sio psrs tu, hata kwenye big4 audit firms wanao huo utaratibu.

Tuangalie maneno ya utani, kuna kauli nyingine huwa zinageuka kua laana, sasa unajiita best loser then unategemea siku ulambe asali
 
Swala jingine kama inavyofahamika mtu kuingia oral interview ni Mark 50 na kuendelea ukiondoa lecturers, tutorials n.k

Tunahitaji baada ya oral interview matokeo yatolewe kwa uwazi na walioingia kwenye kanzi data wafahamu kwa sababu ni haki yao isiwe jambo la ramli chonganishi

Maswala ya wasaka ajira kukaa wanahisi wako kanzi data ama la! hayana tija, vitu viwe wazi kila mshiriki ajue alichovuna na ajue atapata nafasi pale zitakapo jitokeza ama ajipange upya!
Kuna baadhi ya kada zilikuwa hazihitaji kutangaza, matangazo kila siku tuone kama kuna kazi kumbe nafasi ze yewe hamna au ni chache.

Mwakajana kila wilaya almost wametanfanya usaili madereva,katibu mahsusi, record management officers, wapishi, watendaji wa mtaa hao ndo kila tangazo wanawataka. Sasa kwanini PSRS msitumie data zenu kuwapa hao kazi au mnatupa majina usaili ukiisha mmeshapata watu wawili majina mnatupa yaliyo baki mnakiuka sheria ya kaznzj data?

Na waziri aliwaambia mpeleke mpaka mwaka mmoja kutoka six months, mnajua mtatangaza tena vijana watakuja watake wasitake maana wana NJAA Daah na hawana namna, NJAA MBAYA SANA JAMANI ,hii sio sawa.

Hili suala tunataka wabunge na viongozi wanao simamia sheria walizungumze kwa ukali lifike Kwa Mkuu wa Nchi huenda hajui yanayo tokea, madereva nao wanafanya mpaka practical wanafaulu ila kwakuwa wakati huo nafasi ni chache tunzeni majina yao na yatangazwe kwamba alifaulu ili tujue.Kukaa kimya na majibu sisi hatuelewi manweka watu wengine, mzidi kuwekana hamtosheki, kila mtu hapo anamtu kampa kazi bado kazi mmefanya mtaji wa kupatia kipato sisi tuna Muachia Mungu atasema na nyie tunajua kuna mambo hatuna uwezo wa kuwa wajibisha moja kwa moja ila ipo siku, ipo siku tutaimba wimbo mmoja.

Mtu unatangaza nafasi na mwakajana oral pekee umeita watu kibao hatujui wote walifeli oral hawakupata 50 au mmepandisha passmark? wekeni wazi kwasheria ipi? au kwautashi wenu? ,kwa utaratibu upi?, tunataka majibu ya oral ya wekwe wazi kama written.

Mkitaka punguzeni ratio ili wanao baki wachukuliwe sio mnaleta story eti taasisi imekataa watu wa kanzi data, yaani taasisi ikatae mtu anaqualifications zote na nyie mmekasimishwa kusaili mkapewa power, mandate kufanya placement na kurecommend nani hafuati utaratibu achukiwe hatua halafu mkurugenzi mmoja na taasisi yake kisa anataka aweke watu wake eti anakataa watu aisee tunaona hamtumii madaraka tuliyo wapa. Halafu mpo chini ya Ofisi ya Rais nitaasisi kubwa yenye power ila nguvu zenu hatuzioni.

Naona sikuhizi kila mtu kama anataka kuleta taratibu zake, kunawengine hawapendi PSRS waajili maana wamenyang'any'wa tonge wana resist kwa mambo kama hayo, mkurugenzi ambae haeleweki nikutoa tu ameteuliwa ana Raisi wetu tuelie mchagua hawezi kuwa juu ya Boss wake ni kutii sheria.

Anzeni kufuata sheria za Kanzi Data isiwe siasa.Data base iwe na mkeka wake sio kutu ambia na wengine ni wakanzi data sasa hapo mtu atafuatilia vipi? ukichomeka mtu tutamjuaje? Hamuoni kama kuna utata hapo, Nawengine baadhi yao,akina nani, baadhi ni wa kanzi data huu ni uhuni, wengine ni wepi?,walifanya lini, wangapi, walifaulu vipi, kada ipi, na walio baki wapo wapi? Umetumia kigezo gani kuwaita hawa ukaacha hawa, hayo mambo tunataka majibu ya Oral yawe wazi. Kwanza mtu akijua marks zake anajua siku nyingine aje au asije afanye mambo yake maana mtu unacho jibu anakijua, uwezo wako unaujua umepita kote kwenye oral ndo ufeli hamana kuna giza hapa?

KANZI DATA IWEKWE WAZI, MSITUMIE MIEZI MINGI KUITA WATU KAZINI . Mtu yupo mtaani 3,4,5,6 years hana mchongo ww leo unatumia mda mwingi tena kumuita kazini ni unyanyasaji huo!! Tunakataa.

Halafu mjue kama mtu hafuati utaratibu ambao umewekwa wazi huyo ni mhuni, au dicteta au msanii au ana interest zake maana utaratibu umepitishwa kulinda haki za watu kwanini usifuate, mbona sisi tunafuata utaratibu mnao tuwekea kwanini nyie? Au kwa vile mpo karibu na buyu la asali, mnatupiga mateke hamjui baridi la huku nje mngejua msinge fanya hayo.
 
Well said kanzidata ni ya watu waliofaulu lakin nafasi zilikua chache mfano oral mmeingia wanne, wakwanza kapata 89, wapili 87, watatu 85 na wanne 80, nafasi ni moja so atachukuliwa aliepata 89, hao watatu waliobaki hauwez waita best losers ni watu waliofaulu wakakosa nafasi kwa wakati huo. Na data base ipogo maeneo mengi sio psrs tu, hata kwenye big4 audit firms wanao huo utaratibu. Tuangalie maneno ya utani, kuna kauli nyingine huwa zinageuka kua laana, sasa unajiita best loser then unategemea siku ulambe asali
Shida ilipoazia hilo neno ni kati ya waliolamba Asali alilete tena kwa kebehi!

Watu Tukasema Mtu akishalamba asali hakumbuki alipotoka alipitia maneno yapi mpaka kapata, mwisho wa siku Tukasema watuite Majina yote lengo letu ni PDF la Mhagama database litoke lote!!
 
Swala jingine kama inavyofahamika mtu kuingia oral interview ni Mark 50 na kuendelea ukiondoa lecturers, tutorials n.k

Tunahitaji baada ya oral interview matokeo yatolewe kwa uwazi na walioingia kwenye kanzi data wafahamu kwa sababu ni haki yao isiwe jambo la ramli chonganishi

Maswala ya wasaka ajira kukaa wanahisi wako kanzi data ama la! hayana tija, vitu viwe wazi kila mshiriki ajue alichovuna na ajue atapata nafasi pale zitakapo jitokeza ama ajipange upya!
Na tuwe wakweli wanao feli Oral ni wachache sana ila inakuja tayari nafasi chache watu wana majina yao, nafasi 4 vimemo 15 ,watoto wa wakulima 30 wanacho fanya ni kuleta maswali ya kukutoa kwenye laini hawana huruma, ili ufeli, upotee kwenye ramani, maswali mengine mtu anakuuliza ili ufeli kukukomoa na lugha shida basi unapotea mazima.

Kuna mambo meusi mengi mwaka jana kuna usaili wa taasisi fulani sita taja jina ila kulikuwa na matokeo waliposti wahuni na huku wao PSRS wanayo ya kwao wakaja kukanusha eeh hayo sio matokeo rasmi ss tujiulize ni nani anapenda kupoteza muda wake awachafue, haogopi yeye kuchukuliwa hatua, mnazingua nyie michezo yenu mkiona taasisi ina sali nzuri basi vimemo vinafanya kazi watu wana katwa majina kila malalmiko yana hoja ya msingi ukifuatilia, punguzeni magumashi yenu.
 
Best looser si jina sahihi ndio maana huwezi kuona komenti yangu ikitaja hilo jina hata kama liwe la utani.

Tunajua kuwa mkiwa 5 oral, halafu nafasi zipo 2. Wataanza kuchukuliwa wale waliofaulu zaidi kutokna na idadi hizo nafasi 2.

Watakaobaki sio best looser, ni watu waliofaulu ila nafasi zimekosekana, hawa ndio huwa wanawekwa kanzi data.

Sasa iweje umuite mtu best looser? ilihali kafaulu ila nafasi hazikutosha na bahati nzuri kapewa nafasi ya kubakishwa akiba endapo nafasi ikipatikana anaipewa.

Pia endapo wangekuwa wanaitwa watu kwenye oral idadi sawa na nafasi zilizopo kungekuwa hapakaliki kwa lawama. Ili kuondoa hilo na kuweka uwanja sawa, pakawepo na ratio ya watu vs nafasi.

Utani ni mzuri na pia ni mbaya/haufai, utakuwa mzuri kulingana na hali/mazingira na utakuwa mbaya kulingana na hali/mazingira. Tujitahidi kutambua ni mazingira yapi tutumie utani na mazingira yapi haipaswi kutumia utani.
Na vile vile nimeshuhudia watu wakipata shavu kubwa kutokea kwenye database kuliko hata wale waliopata kutoka kwenye first selection
 
Tatizo letu ngozi nyeusi kila kitu tunapenda kukichukulia serious ata kama kina maana ya kawaida. Kwanza inabidi tuelewe maana ya looser(huyu ni mtu aliyepoteza kitu au nafasi fulani).Nimeona watu wanalia lia kuitwa best looser. Hilo neno halina maana mbaya hata kidogo, tungeitwa bad looser ndio tungepaswa kulia lia. Mwaka 2016 if am not wrong Ureno alikuwa best looser kwa group lake lakini alienda kushinda kombe la EURO.

If someone is a Best looser, it means they accept that they have lost a game or something without complaining. But If someone is a bad loser, it means they hate losing and complain about it.

TRUTH BE TOLD.
 
Kwa kifupi best looser ni mtu aliyepoteza nafasi kwa uzuri/kufaulu jambo flani ila kutokana mazingira nje ya uwezo wake amekossa nafasi.
Best looser neno zuri tu kwa sisi tuliopo database.!
 
Tatizo letu ngozi nyeusi kila kitu tunapenda kukichukulia serious ata kama kina maana ya kawaida. Kwanza inabidi tuelewe maana ya looser(huyu ni mtu aliyepoteza kitu au nafasi fulani).Nimeona watu wanalia lia kuitwa best looser. Hilo neno halina maana mbaya hata kidogo, tungeitwa bad looser ndio tungepaswa kulia lia. Mwaka 2016 if am not wrong Ureno alikuwa best looser kwa group lake lakini alienda kushinda kombe la EURO.

If someone is a Best looser, it means they accept that they have lost a game or something without complaining. But If someone is a bad loser, it means they hate losing and complain about it.

TRUTH BE TOLD.
Kiingereza kingi lakini mantinki hakuna, umerukia Ureno mara wapi na vile. Majina hayo yanaashiria ubaguzi na ndio kilio cha vijana humu.
 
Mkuu umeandika vitu muhimu sana niseme kanzi data (data base) ni jambo la kufikirika tu,
Binafsi ni mmoja wa vijana tuliofanya interview nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii II mwaka jana 2022

Sekretarieti ya ajira ilitoa tangazo la nafasi moja (1) ya Afisa Maendeleo Wilaya ya Mwanga, written interview tuliitwa watu 200+, oral interview tukaingia watu 40 akapatika mtu mmoja

Sitaki kuamini hawa watu 39 waliofanya oral interview na kunisaidia nafasi kwa wakati huo wote hawakufanya vizuri kiasi kwamba hakuna hata mmoja alieingia kwenye kanzi data(data base)

Kama wapo waliofanya vizuri kwanini hawajapewa nafasi za kazi kabla ya kutangaza nafasi mpya?

tunashukuru 18/04/2023 wanetoa nafasi 800 za Afisa Maendeleo wa Jamii II lakini kwanini sekretarieti ya ajira haitaki kuwapa kazi watu waliofanya vizuri kabla ya kutangaza nafasi zingine?

Vijana wanatafuta nafasi kwa shida sana asilimia kubwa wanatoka mikoa ya mbali mwisho wanaambulia patupu kwa janja janja ya data base, itoshe kusema hakuna data base na hii sekretarieti ina changamoto nyingi sana itazamwe upya!
Pole sanaa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oral interview yenyewe tulifanya kwa tabu hadi saa tatu usiku jua baridi vikatupiga ila mwisho mambo hayaeleweki

Kimsingi hii sekretarieti ya ajira inahitaji maboresho makubwa sana
Tuzidi kuwaombea watabadilika ipo siku ....Ila lawama zote zinaelekea kwa Baba mwenye mji Utumishi!!!Huku ndo kunawafanya PSRS wafanye wanavyotaka ..Mfano Baba mwenye mji mlevi wa pombe(vimemo vingi) kupindukia kweli watoto watamtii kwel?
 
Kiingereza kingi lakini mantinki hakuna, umerukia Ureno mara wapi na vile. Majina hayo yanaashiria ubaguzi na ndio kilio cha vijana humu.
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, Best looser is not a racist word. Nimeelezea kwa mifano ya ureno ili nieleweke vizuri. If u call me a best looser am not upset with that word coz nothing change.
 
Back
Top Bottom