Mmmh! kwa kada ya uchumi kama ninavyoifahamu hadi watangaze tena nafasi ni majaaliwa. mana safari hii wametangaza nyingi sana, nafasi 65.katika hizi post mpya sijaona kada zangu
mchumi na kilimo
vp wazee means database inawatu hawa sana ,ama safari hii imetosha ??
Vipi kada ya uvuviMmmh! kwa kada ya uchumi kama ninavyoifahamu hadi watangaze tena nafasi ni majaaliwa. mana safari hii wametangaza nyingi sana, nafasi 65.
mi nazan utumishi wangeamua kuweka namna ya mtu kujijua kama yupo database au lah!. I know wanahofia lawama za watu endapo zisipopatikana nafasi za kazi kwa kipindi ambacho watakuwa database. But Truth be told wangeweka ishara ya mtu kujijua kama yupo database au hayupo.Database haipo kama ipo ni nani yumo humo. Au ndo mambo ya Rose Muhando (Nibebe) ama ni Secret Agenda!
Bado ni fumbo.
Nafasi 65 unasema n nying Sana, vp kuhusu Halmashauri zote nchini ziko ngapMmmh! kwa kada ya uchumi kama ninavyoifahamu hadi watangaze tena nafasi ni majaaliwa. mana safari hii wametangaza nyingi sana, nafasi 65.
Dah! hii nayo nafasi zake kutangazwa dah! ni kisanga mana ukiachana na zile za mwanzo za MDAs & LGA, sikuwahi kusikia post za uvuvi zikitangazwa apo awali kama sitakuwa wrong. Faida ya watu waliosoma uchumi ni hii anaweza kuomba kazi post mbali mbali kama vile ECONOMIST II, TAX OFFICER II, CUSTOM OFFICER II, LOAN OFFICER II, CUSTOMER CARE OFFICER II, REGISTRATION OFFICER II, FOREIGN SERVICER OFFICER II.Vipi kada ya uvuvi
Ni nyingi nikilinganisha na nafasi ambazo huwa zinatangazwa kwenye post ya uchumi. huko nyuma walikuwa wanatangaza post 1 au 2 za mchumi II.Nafasi 65 unasema n nying Sana, vp kuhusu Halmashauri zote nchini ziko ngap
ajira ngumu tumeifikia kenya na Nigeria kwenye ishu za msoto wa ajira kwa vijanaNafasi 65 unasema n nying Sana, vp kuhusu Halmashauri zote nchini ziko ngap
True, Ajira imekuwa ngumu sana, sio kwa ubaya but ile kukaa miaka minne bila kutangaza ajira imechangia vijana wa kuanzia mwaka 2015-2020 kurundikana wengi kitaa. Simsemi mtu kwa ubaya but najua ushafahamu nini namaanisha.ajira ngumu tumeifikia kenya na Nigeria kwenye ishu za msoto wa ajira kwa vijana
Na kwa kipind chote icho sitaki kuamin kama kulikuwa hakuna watumishi waliopungua kwa sababu yeyote ile, siwez Amin kama hakuna magap vileTrue, Ajira imekuwa ngumu sana, sio kwa ubaya but ile kukaa miaka minne bila kutangaza ajira imechangia vijana wa kuanzia mwaka 2015-2020 kurundikana wengi kitaa. Simsemi mtu kwa ubaya but najua ushafahamu nini namaanisha.
Ni kweli boss ila ndo tunarudi kulekule kwa mfano msaidizi wa uvuvi walitangaza nafasi 42 ila hadi sasa wameita watu 20 kazini sasa sjui ina maana ganiDah! hii nayo nafasi zake kutangazwa dah! ni kisanga mana ukiachana na zile za mwanzo za MDAs & LGA, sikuwahi kusikia post za uvuvi zikitangazwa apo awali kama sitakuwa wrong. Faida ya watu waliosoma uchumi ni hii anaweza kuomba kazi post mbali mbali kama vile ECONOMIST II, TAX OFFICER II, CUSTOM OFFICER II, LOAN OFFICER II, CUSTOMER CARE OFFICER II, REGISTRATION OFFICER II, FOREIGN SERVICER
Kamkubwa aliamini zaidi kuijenga nchi, akajenga madaraja, akajenga viwanda, akajenga barabara, akasahau kundi kubwa la vijana lenye vyeti halali na sifa kibao za kuingia utumishini.Na kwa kipind chote icho sitaki kuamin kama kulikuwa hakuna watumishi waliopungua kwa sababu yeyote ile, siwez Amin kama hakuna magap vile
wanaita mdogo mdogo, kikubwa kupiga hesabu ya idadi, ikifika idadi ya 42 jina halipo basi tena tunakuwa tunaishi kwa matumainiNi kweli boss ila ndo tunarudi kulekule kwa mfano msaidizi wa uvuvi walitangaza nafasi 42 ila hadi sasa wameita watu 20 kazini sasa sjui ina maana gani
Sitaki kumlaumu sana sababu kila mmoja anakuwa falsafa yake, pengine alitaka kutengeneza mizinga ya nyuki Kwanza ili asali ije kuwa nyingi zaidKamkubwa aliamini zaidi kuijenga nchi, akajenga madaraja, akajenga viwanda, akajenga barabara, akasahau kundi kubwa la vijana lenye vyeti halali na sifa kibao za kuingia utumishini.
Pamoja sana bosswanaita mdogo mdogo, kikubwa kupiga hesabu ya idadi, ikifika idadi ya 42 jina halipo basi tena tunakuwa tunaishi kwa matumaini
poa poaPamoja sana boss
Amini nakuambia watumishi 23000 wa tamisemi kufikia July na Aug wote watakuwa wopo vituo vya kazi ila wakwo wao sasa hata kuitwa usaili watakuwa bado, hesabu siku siwatanfaza leo MDA na LGA hao ni mwakani mwezi kam huu ndio watalamba asali si tupo, tuombe uzima mtaniambia kwamba hawa jamaa wana speed ya kinyonga, tena kinyonga bora anamwendo....
Huo siku hizi nn uchochoro wa kuweka watu wao maana hamna anae jua chochote kila kitu ni siri ndio maana wabunge wameongea sana leo, mchakato ninsiri, data base ni siri na hata kuitwa kazini ni siri vilevileDatabase haipo kama ipo ni nani yumo humo. Au ndo mambo ya Rose Muhando (Nibebe) ama ni Secret Agenda!
Bado ni fumbo.
Mungu aliamua aingilie kati.True, Ajira imekuwa ngumu sana, sio kwa ubaya but ile kukaa miaka minne bila kutangaza ajira imechangia vijana wa kuanzia mwaka 2015-2020 kurundikana wengi kitaa. Simsemi mtu kwa ubaya but najua ushafahamu nini namaanisha.
kuitwa kazini sio siriHuo siku hizi nn uchochoro wa kuweka watu wao maana hamna anae jua chochote kila kitu ni siri ndio maana wabunge wameongea sana leo, mchakato ninsiri, data base ni siri na hata kuitwa kazini ni siri vilevile