HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tarehe 19 na 20 ni bajeti ya wizara ya OR menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora...naomba nipige ramli kama ndugu mfwende sawadogo asemavyo adhani kesho au keshokutwa watakuja na mpdf zimamoto na nadhan ndio ilikuwa target yao...maana najua kabisa watakutana na maswali kuhusu bajeti ya ajira mpya iliyopitishwa mwaka jana imetumika vipi wakati haijafikia malengo.

Note tena kwa msisitizo:
Wale wenye namba za wabunge wetu naomba tuwasisitize juu ya hili,kabla hawajapitisha hiyo bajeti ombwa inabidi wahoji juu ya bajeti iliyopita maana kila mwaka watakuwa wanapitisha data za kupikwa.

Mjuzi wa uandishi mzuri wa sms aidraft kila mmoja amtumie mbunge wake au anayemfahamu.
ishu nyeti hii mkuu
muhimu tufanye hvo
 
Kama ulifanya usaili na ulifanya vizuri ila ulikosa nafasi kutokana na uchache wa nafasi Jipige kifua sema huu mwaka wetu na umebarikiwa sana sasa ni saa 11:10 nitarudiiiiiiiiiii Kabla ya Eid Fitriiii au Baada inshallah
Amen
 
Tarehe 19 na 20 ni bajeti ya wizara ya OR menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora...naomba nipige ramli kama ndugu mfwende sawadogo asemavyo adhani kesho au keshokutwa watakuja na mpdf zimamoto na nadhan ndio ilikuwa target yao...maana najua kabisa watakutana na maswali kuhusu bajeti ya ajira mpya iliyopitishwa mwaka jana imetumika vipi wakati haijafikia malengo.

Note tena kwa msisitizo:
Wale wenye namba za wabunge wetu naomba tuwasisitize juu ya hili,kabla hawajapitisha hiyo bajeti ombwa inabidi wahoji juu ya bajeti iliyopita maana kila mwaka watakuwa wanapitisha data za kupikwa.

Mjuzi wa uandishi mzuri wa sms aidraft kila mmoja amtumie mbunge wake au anayemfahamu.
hvi Bunge hili lina rushwa live muda gani na media ipi ili nisikilize siku iyoo?
 
Dah vijana wenzangu kuna mahala mna shida sana , nahisi swala la uelewa bado ni tatizo kwa baadhi yetu, kwa maana mnacho ongelea ni irrelevant na kinachojadiliwa, sasa mifano ya kazi za ubakaji na PSRS na kupangiwa kazi Halmashauri vina uhusiano gani ? Kwa mfano PSRS wakikupangia kazi Halmashauri wanakuwa wametenda kosa gani au wamekubakaje hapo ili hali nafasi ndio zinakuwa zimepatikana huko, muda mwingine ni kuwa tu na mioyo ya shukrani inatosha sana kumshukuru Mungu pale utakapokuwa umepangiwa ndipo ridhiki yako inapokuwa imepangwa kwa wakati huo? . Maandiko matakatifu yanasema hapa chini

"Nani awezaye kusema nalo likatendeka kama Bwana hajaamuru? " Maombolezo 3:37.
PSRS inapokupangia kituo Cha kazi, huwa tunasema ni PSRS Ndio wame panga au Mungu Ndio kapanga?

Ikiwa Mungu kanipangia halmashauri basi naenda haraka sana,
Ila kama ni PSRS wamenipangia basi siendi ng'oo
 
Ebwana eeeh sijakuelewa hata kidogo Mungu akupangie kituo kwani ulifanya usaili mbinguni. Ukipangiwa halmashauri weka kwenye mzani compare na hali yako ya sasa na mahala ulipo fanya maamuzi.
 
Hahaha low thinking capacity kwa kijana msomi.
 
Ebwana eeeh sijakuelewa hata kidogo Mungu akupangie kituo kwani ulifanya usaili mbinguni. Ukipangiwa halmashauri weka kwenye mzani compare na hali yako ya sasa na mahala ulipo fanya maamuzi.
Haaha low thinking capacity kwa kijana msomi
 
PSRS inapokupangia kituo Cha kazi, huwa tunasema ni PSRS Ndio wame panga au Mungu Ndio kapanga?

Ikiwa Mungu kanipangia halmashauri basi naenda haraka sana,
Ila kama ni PSRS wamenipangia basi siendi ng'oo
Ndugu Zangu Wasomi wenzangu,Huyu kijana mwenzetu sio mtu wa kumshabikia Kwa lolote.Imagine mtu Huyu anachafua taswira ya PSRS mitandaoni kisa tu yeye ana ndugu zake Wakubwa kwenye Mashirika huko au kukosa kwake kazi kupitia PSRS basi anawaona Wabaya......

Mimi nakasirishwa sana na Huyu kijana,nadhani mnajua mpaka kaanzisha Uzi wa kupiga kura eti anawakataa PSRS mpaka anadiriki kufungua Accounts nyingi Kwa ajili ya kuonekana wazo lake ni la msingi sana.

Lakini kiufupi Mimi sikubaliani nae hata kidogo kutokana na Tabia yake hii ya Ovyo...Kama ndugu Zangu mnaweza kumuonya au kama Kuna mtu anamjua uhalisia wake natamani sana amuonye aaache Tabia hii sio nzuri kabisa...

Ikumbukwe kila wakati Sisi tunapanga lakini Mungu anapanga pia.Kama mtu uliweza kufika oral au kama hukufika ni kujipanga Kwa saili zijazo pia Ili uweze kufanikiwa kuingia Oral.Na kama umefanya oral na PDF la Placements limetoka hujabahatika na mwaka haujaisha Kikubwa ni kuzidisha Dua na Kusubiri Kutoka kwenye Databases...

Tuishi humo vijana wenzangu,Ila tusikate Tamaa,Mimi Mazaga One nikija kuleta historia ya saili Zangu kupitia PSRS basi ningekuwa nimekata tamaa muda mrefu,ila Niliamini ya kuwa Haki,uwazi na kutokuwepo Upendeleo vipo PSRS na ndio maana nasema tuzidi kuwatia moyo watumishi wote wa PSRS ziku zote kwa kutenda Haki....
 
Ndugu Zangu Wasomi wenzangu,Huyu kijana mwenzetu sio mtu wa kumshabikia Kwa lolote.Imagine mtu Huyu anachafua taswira ya PSRS mitandaoni kisa tu yeye ana ndugu zake Wakubwa kwenye Mashirika huko au kukosa kwake kazi kupitia PSRS basi anawaona Wabaya......
Mimi nakasirishwa sana na Huyu kijana,nadhani mnajua mpaka kaanzisha Uzi wa kupiga kura eti anawakataa PSRS mpaka anadiriki kufungua Accounts nyingi Kwa ajili ya kuonekana wazo lake ni la msingi sana....Lakini kiufupi Mimi sikubaliani nae hata kidogo kutokana na Tabia yake hii ya Ovyo...Kama ndugu Zangu mnaweza kumuonya au kama Kuna mtu anamjua uhalisia wake natamani sana amuonye aaache Tabia hii sio nzuri kabisa...
Ikumbukwe kila wakati Sisi tunapanga lakini Mungu anapanga pia.Kama mtu uliweza kufika oral au kama hukufika ni kujipanga Kwa saili zijazo pia Ili uweze kufanikiwa kuingia Oral.Na kama umefanya oral na PDF la Placements limetoka hujabahatika na mwaka haujaisha Kikubwa ni kuzidisha Dua na Kusubiri Kutoka kwenye Databases...

Tuishi humo vijana wenzangu,Ila tusikate Tamaa,Mimi Mazaga One nikija kuleta historia ya saili Zangu kupitia PSRS basi ningekuwa nimekata tamaa muda mrefu,ila Niliamini ya kuwa Haki,uwazi na kutokuwepo Upendeleo vipo PSRS na ndio maana nasema tuzidi kuwatia moyo watumishi wote wa PSRS ziku zote kwa kutenda Haki....
Kweli kabisa jamaa ana account tofaut tofaut halaf mwandiko ni ule ule, unaweza kuta kapoteza sifa za kuajiriwa kupitia psrs au ana God father kwenye taasisi fulan. In short swala la taasisi kuajiri zenyewe sio mchakato mwepesi kama watu wanavyodhani. Hao ndo wanaopataga zero kwenye written za psrs
 
Back
Top Bottom