HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndugu Zangu Wasomi wenzangu,Huyu kijana mwenzetu sio mtu wa kumshabikia Kwa lolote.Imagine mtu Huyu anachafua taswira ya PSRS mitandaoni kisa tu yeye ana ndugu zake Wakubwa kwenye Mashirika huko au kukosa kwake kazi kupitia PSRS basi anawaona Wabaya......
Mimi nakasirishwa sana na Huyu kijana,nadhani mnajua mpaka kaanzisha Uzi wa kupiga kura eti anawakataa PSRS mpaka anadiriki kufungua Accounts nyingi Kwa ajili ya kuonekana wazo lake ni la msingi sana....Lakini kiufupi Mimi sikubaliani nae hata kidogo kutokana na Tabia yake hii ya Ovyo...Kama ndugu Zangu mnaweza kumuonya au kama Kuna mtu anamjua uhalisia wake natamani sana amuonye aaache Tabia hii sio nzuri kabisa...
Ikumbukwe kila wakati Sisi tunapanga lakini Mungu anapanga pia.Kama mtu uliweza kufika oral au kama hukufika ni kujipanga Kwa saili zijazo pia Ili uweze kufanikiwa kuingia Oral.Na kama umefanya oral na PDF la Placements limetoka hujabahatika na mwaka haujaisha Kikubwa ni kuzidisha Dua na Kusubiri Kutoka kwenye Databases...

Tuishi humo vijana wenzangu,Ila tusikate Tamaa,Mimi Mazaga One nikija kuleta historia ya saili Zangu kupitia PSRS basi ningekuwa nimekata tamaa muda mrefu,ila Niliamini ya kuwa Haki,uwazi na kutokuwepo Upendeleo vipo PSRS na ndio maana nasema tuzidi kuwatia moyo watumishi wote wa PSRS ziku zote kwa kutenda Haki....
Jamaa sijui psrs walimfanya nini, maana hizo ni chuki zake binafsi, kila siku nasemaga at least utumishi pamoja na mapungufu yao but wapo fair.
 
Ndugu Zangu Wasomi wenzangu,Huyu kijana mwenzetu sio mtu wa kumshabikia Kwa lolote.Imagine mtu Huyu anachafua taswira ya PSRS mitandaoni kisa tu yeye ana ndugu zake Wakubwa kwenye Mashirika huko au kukosa kwake kazi kupitia PSRS basi anawaona Wabaya......
Mimi nakasirishwa sana na Huyu kijana,nadhani mnajua mpaka kaanzisha Uzi wa kupiga kura eti anawakataa PSRS mpaka anadiriki kufungua Accounts nyingi Kwa ajili ya kuonekana wazo lake ni la msingi sana....Lakini kiufupi Mimi sikubaliani nae hata kidogo kutokana na Tabia yake hii ya Ovyo...Kama ndugu Zangu mnaweza kumuonya au kama Kuna mtu anamjua uhalisia wake natamani sana amuonye aaache Tabia hii sio nzuri kabisa...
Ikumbukwe kila wakati Sisi tunapanga lakini Mungu anapanga pia.Kama mtu uliweza kufika oral au kama hukufika ni kujipanga Kwa saili zijazo pia Ili uweze kufanikiwa kuingia Oral.Na kama umefanya oral na PDF la Placements limetoka hujabahatika na mwaka haujaisha Kikubwa ni kuzidisha Dua na Kusubiri Kutoka kwenye Databases...

Tuishi humo vijana wenzangu,Ila tusikate Tamaa,Mimi Mazaga One nikija kuleta historia ya saili Zangu kupitia PSRS basi ningekuwa nimekata tamaa muda mrefu,ila Niliamini ya kuwa Haki,uwazi na kutokuwepo Upendeleo vipo PSRS na ndio maana nasema tuzidi kuwatia moyo watumishi wote wa PSRS ziku zote kwa kutenda Haki....
Mazaga 1 anajua mm ni hater wa PSRS 😂, PSRS Hacheni kutumia kivuli Cha dini Kuficha uzembe wenu
Hahaha low thinking capacity kwa kijana msomi.
Ebwana eeeh sijakuelewa hata kidogo Mungu akupangie kituo kwani ulifanya usaili mbinguni. Ukipangiwa halmashauri weka kwenye mzani compare na hali yako ya sasa na mahala ulipo fanya maamuzi.
👆 Oya nyie mawakala lengo langu mm sio kuichafua hii taasisi
Ila tunataka Haki itendeke kwenye usaili, WatU WaiTWe KaZINi Haraka
Lengo la huu uzi tunalijua sote.

Nasio Nyie kazi kukuñja perdm TU

So na nyie PSRS mnabidi mbadilike muache kufanya kazi kwa mazoea, ,

Acheni kutumia dini kufiçha uzembe , uovu wenu , SS sio watu wajinga
 
Mazaga 1 anajua mm ni hater wa PSRS 😂, PSRS Hacheni kutumia kivuli Cha dini Kuficha uzembe wenu

👆 Oya nyie mawakala lengo langu mm sio kuichafua hii taasisi
Ila tunataka Haki itendeke kwenye usaili, WatU WaiTWe KaZINi Haraka
Lengo la huu uzi tunalijua sote.

Nasio Nyie kazi kukuñja perdm TU

So na nyie PSRS mnabidi mbadilike muache kufanya kazi kwa mazoea, ,

Acheni kutumia dini kufiçha uzembe , uovu wenu , SS sio watu wajinga
Sasa dini inaingiaje hapa jaman
 
Kweli kabisa jamaa ana account tofaut tofaut halaf mwandiko ni ule ule, unaweza kuta kapoteza sifa za kuajiriwa kupitia psrs au ana God father kwenye taasisi fulan. In short swala la taasisi kuajiri zenyewe sio mchakato mwepesi kama watu wanavyodhani. Hao ndo wanaopataga zero kwenye written za psrs
Sio mm TU, watu wengi wame kata tamaa na Nyie, Sema sio wote wanaweza kuja huku kulalamika
 
Start TV wanarusha kwa sisi tuliogoma kulipa vufurushi tunasikilizia hapaa bure bure,

Sema nauliza Wizara ya Kilimo bajeti yao inasomwa linii?? Msaada wakuu..
sawa bestlooser mwenzangu
hvi kwa wale tuliopiga Agro officers-Tume ya umwagiliaji kuna agronomist hajapata post mpaka sasa??
 
Mazaga 1 anajua mm ni hater wa PSRS 😂, PSRS Hacheni kutumia kivuli Cha dini Kuficha uzembe wenu

👆 Oya nyie mawakala lengo langu mm sio kuichafua hii taasisi
Ila tunataka Haki itendeke kwenye usaili, WatU WaiTWe KaZINi Haraka
Lengo la huu uzi tunalijua sote.

Nasio Nyie kazi kukuñja perdm TU

So na nyie PSRS mnabidi mbadilike muache kufanya kazi kwa mazoea, ,

Acheni kutumia dini kufiçha uzembe , uovu wenu , SS sio watu wajinga
Sasa ule Uzi wako mwingine Kule wa Nini???...Kama sio ujinga wako kama Msomi...
Sisi sio mawakala wa PSRS Wala hatuna ndugu huko,ila tunaongea ukweli na uhalisia uliopo kwenye Mtaa kuhusu Ajira na jinsi PSRS walivyosaidia kupunguza mambo ya kujuana na kutenda haki Kwa Wasailiwa wote...

Zamani mtu ulikuwa ukimaliza chuo unaulizwa utapata kazi kijana? Una connection?? Lakini Sasa PSRS wanakupa uhakika wa Ajira ukienda kwenye Usaili na Kufaulu...
 
Sio mm TU, watu wengi wame kata tamaa na Nyie, Sema sio wote wanaweza kuja huku kulalamika
Watu wengi kina nani? Hakuna aliekata tamaa zaid yako, na wewe inaonekana hakuna unachosubiri kutoka utumishi, sio database wala fresh placement. Sijui psrs walikufanya nini? Au God father wako kwenye taasisi x anakaribia kustafu wakat hajakuweka kitengo
 
Kweli kabisa jamaa ana account tofaut tofaut halaf mwandiko ni ule ule, unaweza kuta kapoteza sifa za kuajiriwa kupitia psrs au ana God father kwenye taasisi fulan. In short swala la taasisi kuajiri zenyewe sio mchakato mwepesi kama watu wanavyodhani. Hao ndo wanaopataga zero kwenye written za psrs
Huyo ni mtu muhimu mno humu ndani wakuu ana washinikiza PSRS kutosahau majukumu yao, mkumbuke na madam President aliwajia juu PSRS kuhusu placement .

tayari ushaanza kumkataa baada ya kulamba asali??

kikubwa tumshauri atumie lugha ya staha coz PSRS ndio tegemeo letu wengi humu ili itutoe mtaani ila nao wana madhaifu mengi kiasi kwamba wengi wanagazibika na mchakato/urasimu ulio kithiri
 
Sasa ule Uzi wako mwingine Kule wa Nini???...Kama sio ujinga wako kama Msomi...
Sisi sio mawakala wa PSRS Wala hatuna ndugu huko,ila tunaongea ukweli na uhalisia uliopo kwenye Mtaa kuhusu Ajira na jinsi PSRS walivyosaidia kupunguza mambo ya kujuana na kutenda haki Kwa Wasailiwa wote...

Zamani mtu ulikuwa ukimaliza chuo unaulizwa utapata kazi kijana? Una connection?? Lakini Sasa PSRS wanakupa uhakika wa Ajira ukienda kwenye Usaili na Kufaulu...
Huyu jamaa atakua kuna kitu psrs walimfanya akakosa sifa za kufanya hata interview, unaweza kuta ndo wale waliokutwa wanafanyiana mitihan, Au kasoma nje kwenye vyuo vya uchochoroni karud bongo TCU wakamwambia hicho chuo hakitambuliki
 
Huyo ni mtu muhimu mno humu ndani wakuu ana washinikiza PSRS kutosahau majukumu yao, mkumbuke na madam President aliwajia juu PSRS kuhusu placement .

tayari ushaanza kumkataa baada ya kulamba asali??

kikubwa tumshauri atumie lugha ya staha coz PSRS ndio tegemeo letu wengi humu ili itutoe mtaani ila nao wana madhaifu mengi kiasi kwamba wengi wanagazibika na mchakato/urasimu ulio kithiri
Yeye hataki kabisa psrs wafanyishe sahili, anataka mchakato urudishwe kwenye taasisi. Weakness ya psrs ni ucheleweshwaj wa mchakato tu
 
Tarehe 19 na 20 ni bajeti ya wizara ya OR menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora...naomba nipige ramli kama ndugu mfwende sawadogo asemavyo adhani kesho au keshokutwa watakuja na mpdf zimamoto na nadhan ndio ilikuwa target yao...maana najua kabisa watakutana na maswali kuhusu bajeti ya ajira mpya iliyopitishwa mwaka jana imetumika vipi wakati haijafikia malengo.

Note tena kwa msisitizo:
Wale wenye namba za wabunge wetu naomba tuwasisitize juu ya hili,kabla hawajapitisha hiyo bajeti ombwa inabidi wahoji juu ya bajeti iliyopita maana kila mwaka watakuwa wanapitisha data za kupikwa.

Mjuzi wa uandishi mzuri wa sms aidraft kila mmoja amtumie mbunge wake au anayemfahamu.
👆Hizo tarehe apo juu ,
Kun PDF za halmashauri zitatoka , wanafanya hivi Kwa Target maalumu kabisa, Ili kupunguza kelele za wabunge kuhusu 👉 PSRS isionekane ni taasisi ya hovyo.

Baada yapo tuesabie maamivu makali🤣
 
Sasa ule Uzi wako mwingine Kule wa Nini???...Kama sio ujinga wako kama Msomi...
Sisi sio mawakala wa PSRS Wala hatuna ndugu huko,ila tunaongea ukweli na uhalisia uliopo kwenye Mtaa kuhusu Ajira na jinsi PSRS walivyosaidia kupunguza mambo ya kujuana na kutenda haki Kwa Wasailiwa wote...

Zamani mtu ulikuwa ukimaliza chuo unaulizwa utapata kazi kijana? Una connection?? Lakini Sasa PSRS wanakupa uhakika wa Ajira ukienda kwenye Usaili na Kufaulu...
Ivi kweli Kwa Lile mbugi la PSRS ukitoboa, utakuja humu kuwasifia? Kwamba wanafanya kazi nzuri sana,?

Kwa kweli HAta nyuma hugeuki
 
👆Hizo tarehe apo juu ,
Kun PDF za halmashauri zitatoka , wanafanya hivi Kwa Target maalumu kabisa, Ili kupunguza kelele za wabunge kuhusu 👉 PSRS isionekane ni taasisi ya hovyo.

Baada yapo tuesabie maamivu makali🤣
Daaaa, haunaga jema
 
Ivi kweli Kwa Lile mbugi la PSRS ukitoboa, utakuja humu kuwasifia? Kwamba wanafanya kazi nzuri sana,?

Kwa kweli HAta nyuma hugeuki
Labda wewe ndo hugeuki, sasa wewe ulitaka upate vipi ajira?
Ebu tuelezee kidogo.
Kelele zetu ni kuchelewesha placement na si vinginevyo full stop.
 
Mimi ninayo namba ya mbunge wa ...., naweza kumuandikia msg ila naomba mwenye figure halisi za bajeti iloyipita utumishi na idadi ya watumishi waliopaswa kuajiliwa na uhalisia wake mi nimuandikie ujumbe sasa hivi hapa.
 
Back
Top Bottom