HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Psrs wanabana kutoa placements as if wameambiwa watoe figo zao.!
Ni kama zinawauma sana placements akati Total database, lga na mda sidhani hata candidate 1800 Wanafika, je mngepewa muajiri hao walimu na matabibu 22,000 Mchakato si mngeumaliza baada ya miaka 9 nyie.??
Sekretarieti ya Ajira
 
Hadi Rais anaondoka madarakani walimu na watu wa afya inawezekana wangekua hawajaitwa kazini, kama nafasi 1900+ zinachukua mwaka, 22000 zitatumia mda gan?
 
Back
Top Bottom