HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Walimu na watu wa afya usishangae kuona wanaingia kazini wakati watu wa lga, mda na database n.k bado hawatambui hatma yao.
Sijui psrs wanakwama wapi, na bado wanaporomosha jengo la gorafa 4 lenye sehemu ya jimu ndani.!!!
Aiseee utumishi watakuwa wametisha sana doh, hapa kwenyewe tunajikongoja tumeshakaa mtaaani hadi miguu imeota sugu dah!!!!
 
Kwanza tufahamu, PSRS hawaajiri hadi wapewe kibali, sasa kama kibali cha ajira 1700 hawajapewa wataajiri nini? kauli zingine ni siasa tu
CAG: Kanuni Na. D.7 (1) na (4) za Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma za mwaka 2009 zinazoelezea kuwa ni jukumu la Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kujaza nafasi zilizoachwa wazi kwa kuajiri watumishi wapya na kusimamia zoezi la ajira

tafsiri yake nini
 
Yani kama zile za MDAs mwezi ujao mchakato unatimiza mwaka tangu kutangazwa
Yes, mwez ujao zinatimiza mwaka, sijui wahusika huwa wanawaza nini maana hadi tangazo linatoka maana yake vibali vya ajira vinakua tayari, sasa mtu anasubiri majibu miez na miez, mi tarehe 23 natimiza miez mi5 tangu nifanye oral kwenye kada yetu nafasi zilikua80 ila had sasa walioitwa hawazid25
 
Utumishi siyo kwamba wanashindwa kutoa hayo majina yote 1700 ila wanatoa kidogo kidogo kwa benefits zao za kupata pesa za extra duty au overtime. Kama ushawahi kufanya kazi za kujitolea serikalini utanielewa.
100k perdm + mbususu 😋
 
hii secretariat ya Ajira sidhani kama bajeti ijayo itapewa mamlaka ya kuajiri kama awali, na uhakika bajetii hii wao watakua thirdparty tu kwenye mchakato ,kiburi chao kwisha. pdf ya watu 1700 kwao imekua ishu na ndio itakayo wachimbia kaburi lazima waelewe kila taasis inafanyiwa auditing madhaifu yao hayawezi vumilika.
Screenshot_20230412-231253.jpg

Kiteng€ akiwa anasoma madudu yake aliopewa na CAG
 
Mi nilimwambiaga wife kua walitoa nikakosa, maana kila siku tangu mwez wa12 alikua anaulizia namwambia bado, kuepusha kuonekana mwongo ikabid nimwambie nilikosa wakati naendea kusikilizia kimya kimya
Hahahaha maisha hya jmn
 
Back
Top Bottom