Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
Hili linawezekana ni kweli kabisa.Utumishi siyo kwamba wanashindwa kutoa hayo majina yote 1700 ila wanatoa kidogo kidogo kwa benefits zao za kupata pesa za extra duty au overtime. Kama ushawahi kufanya kazi za kujitolea serikalini utanielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app