HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni mwendo wa kuishi kwa matumaini
Hatuna jinsi +report ya Cag tunaishi kama tupo DRC ...
Ila wakumbuke Maisha ya Vijana yapo mikononi mwao(wanasiasa) ........
Wajibu wa PSRS ni kutekeleza Agizo la mhagama 1700+ vijana hawatahoji wala nn zaidi watakuwa na matumain kauli zao!!!
Mungu awasimamie katika majukumu yao ya Kazi

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
RAIS SAMIA ATOA AJIRA 21,200 ZA ELIMU NA AFYA

OR- TAMISEMI

“Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya. Idadi ya Watumishi watakaoajiriwa katika Kada za Ualimu ni 13,130 ambao watafundisha katika shule za Msingi na Sekondari. Aidha idadi ya watumishi watakaoajiriwa katika kada za Afya ni 8,070 ambao watafanya kazi katika Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati”.

Angellah Kairuki
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI
12.04.2023
 
MITANO TENA
 
Mama(Raisi)Anaupendo/huruma sana na vijana wake ....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mtangulizi wake alkuwa mtetezi wa wanyonge kweli kweli[emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]

Wanyonge wenyewe sasa ndo hao walirundikwa bila kuajiriwa
Gafla maisha yakachange upepo ukaelekea kwa vijana[emoji3578].....
Mungu azidi kumuinua Mama kama yy anavyopenda vijana wake na watendaji wake waende hvy...

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Shida sio mama kutoa ajira..hapo anajitahidi shida ni mchakato usioisha...hizo 21k kuna uzi utafunguliwa tu wanalalamika kama sio kujoin humu!!

Tuendelee kunywa mchuzi nyama zipo chini maana kwa tangazo hilo ripoti ya sieiji tumeifunika tyr.
kazi iendelee
 
RAIS SAMIA ATOA AJIRA 21,200 ZA ELIMU NA AFYA

OR- TAMISEMI

“Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya. Idadi ya Watumishi watakaoajiriwa katika Kada za Ualimu ni 13,130 ambao watafundisha katika shule za Msingi na Sekondari. Aidha idadi ya watumishi watakaoajiriwa katika kada za Afya ni 8,070 ambao watafanya kazi katika Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati”.

Angellah Kairuki
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI
12.04.2023
yaani cha kushangaza tamisemi hio pdf itatoka kwa wakati mmoja ikiwa imejaaa, wakati huku cc PSRS bestlooser ya 1700 tu imekua stori hadi sasa
 
Back
Top Bottom