HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Huwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Inafikilisha sana aisee
 
Yaani kwamba mmewekwa chemba ikitokea nafasi mnaibuliwa kwahiyo sasa kuna database 2 , wale wanaosubiri placement after oral na wale waliofaulu lakini hawakupata placement. Any way bora sasa kuliko miaka ya Jiwe. Watu tumemaliza vyuo tumepata watoto na wajukuu hatukuwahi kuingia Oral ya utumishi tunafungia vyeti na kupambania kombe. soon tutaanza kufungia maandazi Transcripts.
 
Ila
Ila hali haikutakiwa kabisa kuwa hivi ,Dah ! Mungu amlaani milele aliyesababisha hii hali na iwe funzo ,mtu mmoja kwa maamuzi yake ya kukurupuka anaweza sababisha matatizo ambayo yanadumu vizazi na vizazi ,ndio kama hili suala , vijana wanalipia kwa ugumu wa ajira
Jaman tunajua tumepitia kwenye karai la mateso ila tunabidi tusahau na tuwe na positive mindset Ili tufanikiwe Kwa sababu Mungu ni mjuzi wa Kila kitu.

Hopefully ni Kwa Raisi Samia naona ana njia njema sana na sisi vijana.
Kwakeli SS kama vijana tunaona akitoa makufuli yaliyofungwa na awamu iliyopita .

Sema bado Kuna Viongozi Wana mental za kidikteta za jiwe
 
Factor ya msingi ndio nini ,we unafurahia kinachoendelea mtaani au na wewe ni kibaraka wa mfumo ? ,Alaaniwe aliyehusika na kuharibu mfumo wa ajira nchi hii ,tena apigwe laana ya ukoma kabisa
 
Yaani kwamba mmewekwa chemba ikitokea nafasi mnaibuliwa kwahiyo sasa kuna database 2 , wale wanaosubiri placement after oral na wale waliofaulu lakini hawakupata placement. Any way bora sasa kuliko miaka ya Jiwe. Watu tumemaliza vyuo tumepata watoto na wajukuu hatukuwahi kuingia Oral ya utumishi tunafungia vyeti na kupambania kombe. soon tutaanza kufungia maandazi Transcripts.
Database mwisho miezi 6 Mzee
 
Jaman tunajua tumepitia kwenye karai la mateso ila tunabidi tusahau na tuwe na positive mindset Ili tufanikiwe Kwa sababu Mungu ni mjuzi wa Kila kitu.

Hopefully ni Kwa Raisi Samia naona ana njia njema sana na sisi vijana.
Kwakeli SS kama vijana tunaona akitoa makufuli yaliyofungwa na awamu iliyopita .

Sema bado Kuna Viongozi Wana mental za kidikteta za jiwe
Ndio bado Kuna masalia ya jiwe, Hawa wote wapewe ubalozi wa Zimbabwe
 
Yaani kwamba mmewekwa chemba ikitokea nafasi mnaibuliwa kwahiyo sasa kuna database 2 , wale wanaosubiri placement after oral na wale waliofaulu lakini hawakupata placement. Any way bora sasa kuliko miaka ya Jiwe. Watu tumemaliza vyuo tumepata watoto na wajukuu hatukuwahi kuingia Oral ya utumishi tunafungia vyeti na kupambania kombe. soon tutaanza kufungia maandazi Transcripts.
Kwa style hii unaweza kuta ikapita miezi 6 mingine
 
Kwa mwendo wanoutumia psrs unaweza kuta mtu tangazo la kazi lilitolewa akiwa na miaka 44 na miezi kadhaa placement inatoka anamiaka 46 hivyo anakua kakosa sifa ya kuingia kwenye mfumo ramsi wa ajira za serikali.
Na Ndio maana tunamsisitiza taasisi na mashirika wafanye saili wenyewe Ili kupunguza majukumu na bureaucracy ya PSRS, la sivyo vijana watazeekea kwenye Ajira portal
 
Huwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Bureaucracy
Bablai
Rejea post no 29560 nilishauliza hili swali.
 
Huwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Kosa lilipoazia Mama(rais)kumtoa Bashungwa Tamisemi .....Hiyo wizara kuiongoza inahitaji Maombi ya hali ya juu
 
Huwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
Ni fikira tunduiizi , lakin si dhan psrs wanaweza kutangaza Post ambazo wahajaombwa labda kama k/M awe ni mwehu,
 
Back
Top Bottom