Inaonekana haumfahamu Samba Mapangala, eti kijana!?Utumishi modern taarab!
Inaonekana haumfahamu Samba Mapangala, eti kijana!?Utumishi modern taarab!
Au acha nisitie neno nisije nikaongea vibayaMh.Waziri na N/w + Mh.Katabu (Psrs) kuweni kitu kimoja Kumpa Mama(rais) matumain anayoyataka kwa vijana wake kupata ajira!!!
Mngebonyeza buttorn la PDF data base(Mhagama alilotaka kuleta matumain kwa vijana kupata ajira) ata iwe tunaingia job mwenzi wa saba sawa ila tuishi kwa matumain kama tunaviongozi wenye hofu ya Mungu....
Eehhh Mungu awasimamie kwenye majukumu yenu....
Kitaa ni shida kwa bestlooser Mama(rais)
aka best loser'sWale wa database aka not selected amkeni!
Maisha ni kujipa moyo.
Kuna kitu kimeachiliwa nn mkuu?Wakuu msaada kidogo. Salary scale ya PTSS 7 ni kiasi gani?
Mbona wee kitenge kutwa unakesha humu kujibizana, Kwan huko PSRS huna Kaz y Kufanya?Na saa 24 upo hapa uta purchase na maneno? Hii violence yako ni ghadhabu ya kutokuwa mkekani sasa unahitaji sana counselling ndipo uanze ku purchase.
Samba Mapangala katika kibao chake cha Dunia tunapia aliweka huu mstari " waongea kujenga ghorofa na HUNA KITU WEE, ACHA KIBURI NA MARINGO....".
Usiku mwema.
Mh.Waziri na N/w + Mh.Katabu (Psrs) kuweni kitu kimoja Kumpa Mama(rais) matumain anayoyataka kwa vijana wake kupata ajira!!!
Mngebonyeza buttorn la PDF data base(Mhagama alilotaka kuleta matumain kwa vijana kupata ajira) ata iwe tunaingia job mwenzi wa saba sawa ila tuishi kwa matumain kama tunaviongozi wenye hofu ya Mungu....
Eehhh Mungu awasimamie kwenye majukumu yenu....
Kitaa ni shida kwa bestlooser Mama(rais)
Watanzania ni wavumilivu sana,basi tu ni vile tumerithishwa Amani na upendo.ila wanasiasa sijui wanatuona vipi maana hawana useroius hadi kwenye vitu nyeti..hii agenda naomba kama tunaweza tudeal na wawakikishi wetu ndani ya Bunge hasa kuelekea usomwaji wa bajeti wa wizara husika tarehe 19 ili wawabane wahusika tofauti na hivyo itakuja kauli nyingine mpya.Tuone leo kama kutakua na pdf ndefuu ,second selection tulambe asali hata kavu
Ah ah mbona mm nmla asali mkubwa kitambo ,sio kama nyie wazee wa TGS dWewe upo upande gani bro😃 au ndo psrs wamekukanda intensively na red cad juu.
Yaan hausubir database wala placement yeyote. 😂😂😂.
Shida Iko PSRS ambako Kuna bureaucracy kuanzia usaili, kuchakata watainiwa, kuwa pangia watu vituo vya kazi, kuweka watainiwa kwenye database ku (mysqli_fetch) watu kwenye database.Mh.Waziri na N/w + Mh.Katabu (Psrs) kuweni kitu kimoja Kumpa Mama(rais) matumain anayoyataka kwa vijana wake kupata ajira!!!
Mngebonyeza buttorn la PDF data base(Mhagama alilotaka kuleta matumain kwa vijana kupata ajira) ata iwe tunaingia job mwenzi wa saba sawa ila tuishi kwa matumain kama tunaviongozi wenye hofu ya Mungu....
Eehhh Mungu awasimamie kwenye majukumu yenu....
Kitaa ni shida kwa bestlooser Mama(rais)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwifwa happy birthday brother. What a good way to celebrate your first birthday kwenye pipa la asali.
All good things your way, chief.
Tushukuru kwa hicho kidogo kuliko miaka 5 nyuma, kulikuwa hakuna kabisaHamna kitu kinakera kama hizi ajira na vipdf uchwara vya mafungu mafungu , ni upuuz . Dah , graduates waliohitimu enzi za Kikwete wana bahati sana
aliyakuwa vijana huku kitaa wanalia
HBD champ, kitila kagusia nini??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahsante sana mkuu, nilikuwa busy kidogo kufuatilia mjengoni nione kama wataanza kuzungumzia kazi yetu, nikasahau kama leo ndio tarehe inayofanana na ile niliyoletwa huku kwenye hii Sayari.
Kwa mbali Kitila katia neno.
Bila shaka ahadi ya Mhagama nayo inaweza kufikiwa!
KiKwete alikuwa MTU bwana, alikuwa anajali maslahi ya wa tz sana, sijui tulikosea wapi yarab, !!!Hamna kitu kinakera kama hizi ajira na vipdf uchwara vya mafungu mafungu , ni upuuz . Dah , graduates waliohitimu enzi za Kikwete wana bahati sana