HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu Unajua Tamisemi(MDAs&LGAs) ilikuwa inaendesha michakato ya Ajira yenyewe baadae Mh Bashungwa akaona yanayoendelea kule sio akaomba kibali utumishi isimamie usail.....
Mama(rais)angeimega hiyo Wizara ingekuwa inauwajibikaji mzuri sana
Masta, Lin hiyo??? Psrs ipo tangu enzi za JK, TAMISEMI wanahusika na tawala za mikoa na serikali za mikoa na wala sio utumishi wa umma, wao wanaajiri waalim na watumishi wa afya kwa hospital za kwanzia ngazi za mikoa kushuka chini. Waswahili wanasema jitahid watu wasijue kama hauna akili kitu ambacho umefeli
 
Sasa MDAs inaingiaje Tamisemi kamanda, au haujui maana ya MDAs
 
Mkuu Unajua Tamisemi(MDAs&LGAs) ilikuwa inaendesha michakato ya Ajira yenyewe baadae Mh Bashungwa akaona yanayoendelea kule sio akaomba kibali utumishi isimamie usail.....
Mama(rais)angeimega hiyo Wizara ingekuwa inauwajibikaji mzuri sana
Tamisemi then kwenye mabano MDAs na LGAs, tuna haki ya kuendelea kukandwa na psrs, kama mambo madogo hivi hatuelewi
 
LGA wapo chini ya nani....
M-inistries; Afya, Elimu, Nishati etc
D-epartments; MSD, MNH, NIMR, etc
A-gency, TARI, eGA,Tanroad etc
Ukiachana na M
hao wengine wanaita utumishi usail!!!
Ukiangalia wengi humu wanapangwa halmashauri ipo chini ya nani?
 
Masta, Lin hiyo??? Psrs ipo tangu enzi za JK, TAMISEMI wanahusika na tawala za mikoa na serikali za mikoa na wala sio utumishi wa umma, wao wanaajiri waalim na watumishi wa afya kwa hospital za kwanzia ngazi za mikoa kushuka chini. Waswahili wanasema jitahid watu wasijue kama hauna akili kitu ambacho umefeli
Sio kila jambo mtu anajua, umefanya vema kumuelewesha ila ulipomalizia kwamba sijui hana akili na ajitahidi watu wasijue, hapo umekosea.
 
LGA wapo chini ya nani....
M-inistries; Afya, Elimu, Nishati etc
D-epartments; MSD, MNH, NIMR, etc
A-gency, TARI, eGA,Tanroad etc
Ukiachana na M
hao wengine wanaita utumishi usail!!!
Ukiangalia wengi humu wanapangwa halmashauri ipo chini ya nani?
Tamisemi wanahusika na LGAs tu
 
LGA wapo chini ya nani....
M-inistries; Afya, Elimu, Nishati etc
D-epartments; MSD, MNH, NIMR, etc
A-gency, TARI, eGA,Tanroad etc
Ukiachana na M
hao wengine wanaita utumishi usail!!!
Ukiangalia wengi humu wanapangwa halmashauri ipo chini ya nani?
Tamisemi wanahusika na tawala za mikoa na serikali za mitaa tu, na sio majukum ya psrs, majukum ya psrs yapo chin ya wizara ya utumishi na utawala bora, hata hao watu wa halmashauri vibali vya ajira vinatoka wizara ya utumishi na utawala bora na sio utumishi, so bashungwa hakua na effect yeyote kwenye ishu za utumishi
 
Back
Top Bottom