HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ila
Tushukuru kwa hicho kidogo kuliko miaka 5 nyuma, kulikuwa hakuna kabisa
Ila hali haikutakiwa kabisa kuwa hivi ,Dah ! Mungu amlaani milele aliyesababisha hii hali na iwe funzo ,mtu mmoja kwa maamuzi yake ya kukurupuka anaweza sababisha matatizo ambayo yanadumu vizazi na vizazi ,ndio kama hili suala , vijana wanalipia kwa ugumu wa ajira
 
MUNGU amlaani yupi huyo ??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ahsante sana mkuu, nilikuwa busy kidogo kufuatilia mjengoni nione kama wataanza kuzungumzia kazi yetu, nikasahau kama leo ndio tarehe inayofanana na ile niliyoletwa huku kwenye hii Sayari.

Kwa mbali Kitila katia neno.

Bila shaka ahadi ya Mhagama nayo inaweza kufikiwa!
Happy Birthday Brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawaza hivi inawezekana utumishi walitangaza kazi za MDAs na LGAs wakati nafasi za kazi hazikuepo kwa taasisi husika?? Kama ni ndiyo kwanini walitangaza na idadi ya nafasi zilizowazi kwa kila kada, kama hapana inakuaje watoe PDF kwa kudonoa maana kwa position kama Internal Auditor II, usahili ulifanyika tarehe 23/11/2022, nafasi zilikua 80 lakin walioitwa kazini hadi sasa hawafiki 15.
 
Ila
Ila hali haikutakiwa kabisa kuwa hivi ,Dah ! Mungu amlaani milele aliyesababisha hii hali na iwe funzo ,mtu mmoja kwa maamuzi yake ya kukurupuka anaweza sababisha matatizo ambayo yanadumu vizazi na vizazi ,ndio kama hili suala , vijana wanalipia kwa ugumu wa ajira
Maneno yako yanavuka mipaka unatoa laana kama njugu hauna factor ya msingi ya kutoa laana. Laana ikitoka hairudi ikienda kwa uliyemlaani kama hastahiki inakurudia. Angalia usije jilaani mwenyewe na kizazi chako ndugu. Kuwa makini na ujiepushe na tabia ya kulaanilaani ovyo hizi tabia wanasifika nazo wanawake pia wanasisitizwa waache. So achana na hii tabia.
Jenga hoja za msingi serikali au wahusika wakiona waichukue na waifanyie kazi.
Pia ujue hata ajira zitolewe vipi majobless hawawezi isha, competetion imekuwa kubwa sana. Hili tatizo lipo dunia nzimaa usidanganyike na unavyoviona kwenye maTV.

PSRS TOENI PDF TUJUE MBICHI NA MBIVU ILI TUENDELEE KUJENGA TAIFA KWA NAMNA MBALIMBALI. Hatuwezi pata kazi watu wote lkn msitufanye tuwe na matumaini ya muda mrefu kwenye hamna mtuharibie future zetu halafu tuanze kulalamikia serikali yetu.

Muda wa mchakato sio rafiki UNABOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA SANAAAAAAAAAAA.
 
Mchakato unakaribia kufikia mwaka sasa, sio fair kabisa
 
Hivi Kwa nyakati tulizonazo kuna kazi(serikalini) huwa zinatangazwa kupitia magazeti kama ilivyokuwa zamani ??????
yaah ,hasa za vyombo vya ulinzi mfano wizara ya mambo ya ndani kama vile Migration,polisi,magereza nk

pili hizi za managerial level pia hutangazwa kwenye magazeti ya umma (TSN)
 
Back
Top Bottom