Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,896
- 3,667
Ukipongeza wanajibu chap,Halaf kwenye page yao hawajibugi comments.
Ukipongeza wanajibu chap,Halaf kwenye page yao hawajibugi comments.
Hivi wadau inatumika criteria gani kwa upande wa MDA na LGA kwamba huyu aanze kupata placement kabla ya mwengine au itakuwa ni marks?Aisee mbona kama sielewi hivi mda and LGA majina yanatolewa mawili mawili kwenye kila PDF wazee..sio sawa hata kidogo kwa iyo inamaanisha tutasubili sana alooooooooooooooh
yah, ni marks ndio zinatumika. Placement yoyote ikitoka yule aliyejuu ndio aliyepata marks kubwa kushuka chiniHivi wadau inatumika criteria gani kwa upande wa MDA na LGA kwamba huyu aanze kupata placement kabla ya mwengine au itakuwa ni marks?
Psrs NI taasisi ya hovyo sanaTamisemi wakihitaji walimu 10000 wanaajiriwa kwa mkupuo, lkn huku psrs hizo lga na mda jumla ya candidate hawazidi 500 lkn wanaona nongwa kutoa kwa mkupuo wanachukua mmoja wamejitahidi 2.
Na mlisema tangu feb baada ya wiki tatu mnatoa majibu sahiz tupo wiki ya 7 bila na no any information Sekretarieti ya Ajira
Tunawaamini mnafanya kazi nyeti kwa uadilifu lkn anashindwa mambo madogo hivi.!???
Ndugu mungu hasimamii watu walioshindikanaHapa Mama(rais) anatakiwa Awemuangalifu na watendaji wake:
PSRS wamepewa mamlaka ya kusimamia kuwapata waajiriwa(Tamisemi) kwann wasitoe kama Tangazo linavyojieleza !!
Wanasema Tushukuru kwa kila Jambo
Pia tusichoke kuomba mbele za Mungu maana PSRS wanapoelekea Mungu awasimamie!!!Mnajenga maswali Mengi kwa watafuta asali?
Wako bestlooser
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hiyo inaitwa karibu mgeni wenyeji tupone.Aisee mbona kama sielewi hivi mda and LGA majina yanatolewa mawili mawili kwenye kila PDF wazee..sio sawa hata kidogo kwa iyo inamaanisha tutasubili sana alooooooooooooooh
Milioni 3, Posho ya Nyumba laki7, Posho ya Umeme/ maji laki4, Posho ya mavazi laki3,mwenye kujua salary scale ya chuo cha mwalimu julius nyerere university of agriculture and technology kwa level ya diploma.
NI Upendeleo, rushwa , bahati TUHivi wadau inatumika criteria gani kwa upande wa MDA na LGA kwamba huyu aanze kupata placement kabla ya mwengine au itakuwa ni marks?
Cha kuchekesha ni kwamba Kuna Jamaa alikuwa kundi la mwisho kuitwa Kutoka database akaitwa LATRA, wale wenzie wa Kwanza walienda halmashauriyah, ni marks ndio zinatumika. Placement yoyote ikitoka yule aliyejuu ndio aliyepata marks kubwa kushuka chini
Huyo ni diploma, je PhD itakuwa je🤣Milioni 3, Posho ya Nyumba laki7, Posho ya Umeme/ maji laki4, Posho ya mavazi laki3,
Jumla 4.4m
Sawa basi mi mtazamo wangu nilijua waliofaulu oral za MDA&LGA kuwa walishapangiwa waajiri, sababu wakati wanatangaza tangazo la kazi waliweka na idadi ya nafasi hivyo nilijua idadi imetokana na vibali vya maombi vya taasisi chini ya mwamvuli wa MDA&LGA hivyo nikajua kuanza kupata placement inategemea na kuanza kutoka kwa jina la mwajiri.yah, ni marks ndio zinatumika. Placement yoyote ikitoka yule aliyejuu ndio aliyepata marks kubwa kushuka chini
PhD mshahara ni 9mHuyo ni diploma, je PhD itakuwa je🤣
Hao walioenda halmashauri tunawapa pole sanaCha kuchekesha ni kwamba Kuna Jamaa alikuwa kundi la mwisho kuitwa Kutoka database akaitwa LATRA, wale wenzie wa Kwanza walienda halmashauri
Sasa BALENSIAGA unasubiri Nini ,PhD mshahara ni 9m
Ila Wana CPA zao, salary ya CPA halmashauri kwa sasa ni 1m, sio Kama wale Wenye degree za public administration et al hao wanaanza na Laki7Hao walioenda halmashauri tunawapa pole sana
Nisome PhD auSasa BALENSIAGA unasubiri Nini ,
Net salary Yao ni majanga Mzee, unaweza ukalia kabisaIla Wana CPA zao, salary ya CPA halmashauri kwa sasa ni 1m, sio Kama wale Wenye degree za public administration et al hao wanaanza na Laki7
Ka apply Kwa degree holderNisome PhD au
Ila kwa CPA ana afadhali kuliko afisa Utumishi Mwenye 700,000/-,Net salary Yao ni majanga Mzee, unaweza ukalia kabisa