HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ki-PDF kina majina ya watu wawili
Sasa walishindwa nini kuya-include kwenye tangazo lililopita
Mambo mengine buana yaaan unaweza dhani hizi ajira ziko controlled na mamlaka ya kitofauti....haina utaratib unaoeleweka
Kuna watu wanasema tumuombe mungu, Kuna vitu Mungu anaombwa ila sio Hawa watu wa hovyo 👉 psrs kabisa.

Psrs SS tutadili nao parallel
 
Aisee mbona kama sielewi hivi mda and LGA majina yanatolewa mawili mawili kwenye kila PDF wazee..sio sawa hata kidogo kwa iyo inamaanisha tutasubili sana alooooooooooooooh
 
Hapa Mama(rais) anatakiwa Awemuangalifu na watendaji wake:
PSRS wamepewa mamlaka ya kusimamia kuwapata waajiriwa(Tamisemi) kwann wasitoe kama Tangazo linavyojieleza !!
Wanasema Tushukuru kwa kila Jambo
Pia tusichoke kuomba mbele za Mungu maana PSRS wanapoelekea Mungu awasimamie!!!Mnajenga maswali Mengi kwa watafuta asali?
Wako bestlooser

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Aisee mbona kama sielewi hivi mda and LGA majina yanatolewa mawili mawili kwenye kila PDF wazee..sio sawa hata kidogo kwa iyo inamaanisha tutasubili sana alooooooooooooooh
Tamisemi wakihitaji walimu 10000 wanaajiriwa kwa mkupuo, lkn huku psrs hizo lga na mda jumla ya candidate hawazidi 500 lkn wanaona nongwa kutoa kwa mkupuo wanachukua mmoja wamejitahidi 2.
Na mlisema tangu feb baada ya wiki tatu mnatoa majibu sahiz tupo wiki ya 7 bila na no any information Sekretarieti ya Ajira

Tunawaamini mnafanya kazi nyeti kwa uadilifu lkn anashindwa mambo madogo hivi.!???
 
Halaf kwenye page yao hawajibugi comments.
 
Back
Top Bottom