Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,954
Mungu hatoi database wewe kijana, database inatolewa na wahuni 👉psrsMm nawashauri tusikate Tamara tuzid kumuomba Mungu
Mungu hatoi database wewe kijana, database inatolewa na wahuni 👉psrsMm nawashauri tusikate Tamara tuzid kumuomba Mungu
Ahahaha Bado aseeMkuu nikajua ushaotea cha database hahah
Kitenge unaona vijana ulio waokota jalalani, wanavyo kuebishaSpecial mamayo to you, ngeke wewe
Kua na wewe mhuni ili utoe database kama rahisMungu hatoi database wewe kijana, database inatolewa na wahuni 👉psrs
Kwahiyo kazi mliooewa na Serikali imewashinda nyie wahuniKua na wewe mhuni ili utoe database kama rahis
Mmmh ilo si la chuo mzeeKuna pdf la placement huko sijui ndio database
Walete huku, wakusifia wasifie,na wenye kuhoji tuendelee kuhojiKuna pdf la placement huko sijui ndio database
unapakua unakuta majina mawili ndani, pdf ka mchongo kweliiKuna pdf la placement huko sijui ndio database
Mungu anawatumia watu broo...Mungu hatoi database wewe kijana, database inatolewa na wahuni [emoji117]psrs
Mwamba umetoka kwenye stage ya ujob les umeingia kwenye kundi la vijana wenye afya ya akiliWalete huku, wakusifia wasifie,na wenye kuhoji tuendelee kuhoji
IT anaonekana ni mtu wa fujo sanaaa....Ka PDF kakutafutia Overtime kwa IT wa psrs
Wap nmesema Mungu anatoa databaseMungu hatoi database wewe kijana, database inatolewa na wahuni 👉psrs
Nashukuru sana Kaka Naandaa shukrani ya kipekee kabisaHongera sana mkuu,
Kumbuka kutoa Shukrani kwa neema hyo uliyoipata, kwani haikuwa jambo rahisi.
Pia, nakutakia kazi njema ktk majukumu yako mapya.
Sasa onaPDF nyingne tayari huko, leo zimetoka pdf mbili nenden mkacheck ya pili imejaaa kidogo
Moja imeandaliwa na chuo, psrs wamepost tu...nyingine ndo ya kwaoSasa ona
Yaaan hata masaaa kadhaa hayakupita ikaja PDF ingine
Sasa kwann hawa nao wasingewaunganisha na ile ya mwanzo??
Organization na management ya mambo sijui ipoje