HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Halafu na yeye anakijana Jobless tulikuwa tunapambana naye kwenye sahili mwaka jana ,sijui alishafanikiwa kutoboa yule dogo ? , Labda anaweza Chawene kufanya mabadiliko ya muhimu kwenye sekretarieti maana anajua uchungu wa kuwa na kijana Jobless
Si yule dogo aliye gonga magari ya watu alafu aka watukana matrafic
 
Halafu na yeye anakijana Jobless tulikuwa tunapambana naye kwenye sahili mwaka jana ,sijui alishafanikiwa kutoboa yule dogo ? , Labda anaweza Chawene kufanya mabadiliko ya muhimu kwenye sekretarieti maana anajua uchungu wa kuwa na kijana Jobless
Kuna mwanangu anaongeaa nae kama wasela vile pia mshikaji mtu wawatu sana yani hana mambo mengi
 
Wadau nachukua furusa hii kumshukuru mungu na pia ninyi Kwa kunpa ushirikiano was kutosha hatimaye kupata Kaz kupitia mkeka was tar 24 wizara ya elimu
hongera sana, Kaka ulifanya interview ya mwez wa ngap, na uliofanya nao interview tangu wameitwa imepita muda gan paka wewe kuitwa Kaka....
 
Halafu na yeye anakijana Jobless tulikuwa tunapambana naye kwenye sahili mwaka jana ,sijui alishafanikiwa kutoboa yule dogo ? , Labda anaweza Chawene kufanya mabadiliko ya muhimu kwenye sekretarieti maana anajua uchungu wa kuwa na kijana Jobless
Kwamba hataki ampe kijana wake asali og. Naamini hapa Tz hakuna kiongozi wa hivyo ile zuga tu.
 
Watu wanajifariji kwa mambo madogo sana, kwamba mtoto wa waziri aje mfanye nae interview mcompete wote wakati baba ake yupo kwenye system for more than 20 years.Tena position yenyewe ni entry level
 
Back
Top Bottom