Nafikili database ipo, ni swala la muda tu. Mdogo mdogo watu watachomoka. Ila kuna cozi naziona kuwa na uwanja mpana wa kupata kupitia DATABASE. Mfano
ICT
KILIMO
ACCOUNTANTS hapa nawaona internal auditors n.k
TUTOR ASS
GAME WARDEN. kama kuna wengine nimewasahau tuongezee.
Lakin na sisi wengine tusikate tamaa inaweza kutokea bahati na tukapata nafasi. Let us discuss on this 1.