HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi mawaziri wateule wanaapishwa sangapi?
Saizi
Screenshot_20230402-104330.jpg
 
Uzuri Simbachawene ni mfuatiliaji kupita kiasi linapokuja suala linalogusa watu wa chini moja kwa moja,,,kwa hiyo tuone uwajibikaji wake utakuaje
Halafu na yeye anakijana Jobless tulikuwa tunapambana naye kwenye sahili mwaka jana ,sijui alishafanikiwa kutoboa yule dogo ? , Labda anaweza Chawene kufanya mabadiliko ya muhimu kwenye sekretarieti maana anajua uchungu wa kuwa na kijana Jobless
 
Back
Top Bottom