HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mhagama alikuwa anasoma huu uzi mchana akasoma comment yangu niliyosema naenda kuwapiga kipapai kwa babu Pangani , sasa wameanza kuachia ngazi mmoja baada ya mwingine , toeni pdf ,ntawapiga vipapai hata wakihama wizara ,ahadi ni deni
Kitenge upo humu ,wewe na wasaidizi wako ni viburi naanza kuwanyoosha ninyi , toeni pdf haraka
 
Yaaan hata kabla ya aliyoyaahidi Mhagama kutimia ashatolewa
Mhhhh sasa huyu waliyemleta mhhhhhhhhh
Ngoja nikae kmya
Tunavyozidi kuchochea mtafanya katibu mkuu nae abadirishiwe kitengo...
Kuna jobless alisema amempigia mh.Mhagama simu hapokei Mama(rais)kaione hiyo msg
 
Ni mabadiliko ya kawaida katika utumishi wa umma,by the way asali ni ileile maana bado ni waziri
Na huenda alikopelekwa ni sehem nyeti sana

Maana akiwa bungeni kama waziri mkuu hayupo yeye ndo anakuwa kama mwakilishi wake
Hata kwny vikao vikubwa kubwa vya nchi (kama sasa hv kuna masuala ya maridhiano na katiba mpya) yeye ndo anakuwa anawawakilisha mawaziri wengine
Zile kelele za database na kilio cha ajira kwa vijana ndo ameviepuka namna hyo
 
Mhagama alikuwa anasoma huu uzi mchana akasoma comment yangu niliyosema naenda kuwapiga kipapai kwa babu Pangani , sasa wameanza kuachia ngazi mmoja baada ya mwingine , toeni pdf ,ntawapiga vipapai hata wakihama wizara ,ahadi ni deni
Punguza nguvu ya hyo kitu coz badala kuwafanya watoe PDF wewe unawafanya wakimbie sasa ndo kuharbu hukoo
 
Na huenda alikopelekwa ni sehem nyeti sana

Maana akiwa bungeni kama waziri mkuu hayupo yeye ndo anakuwa kama mwakilishi wake
Hata kwny vikao vikubwa kubwa vya nchi (kama sasa hv kuna masuala ya maridhiano na katiba mpya) yeye ndo anakuwa anawawakilisha mawaziri wengine
Zile kelele za database na kilio cha ajira kwa vijana ndo ameviepuka namna hyo
Mama ana bahati hii wizara ni kama karejeshwa aliwahi kuongoza huko nyuma,ofisi ya waziri mkuu na utumishi amekaa sana hizi wizara huyu mama,naona anaki smart
 
Amekuwa Naibu Waziri wa Ardhi
Akawa Waziri wa Madini
Akawa Waziri wa TAMISEMI
Akawa Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais
Akawa Waziri wa Katiba na Sheria
Akawa Waziri wa Mambo ya Ndani
Akawa Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu

Sasa Amekuwa Waziri Ofisi ya Rais Utumishi. George Simbachawene!!
 
Wanashindwa tu kusema pumzika wanamtafutia wapi ana fit
 
Back
Top Bottom