HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ndio mkuu ipo chini ya MOF hio mkuu/mwanangu kanichana salary yake haifiki hata 1M ila ishu zingine hzo halali ndio zina mfanya avimbe ,kwa cc vijana below 30 naweza mterm kama don tayari aiseeh .

japo mm huku kitaa njaa inanichapa kweli kweli
Haki yake maana karibia hela zote za serikali ziko hazina na benki kuu, pale dodoma majengo yao yamepakana
 
Back
Top Bottom