HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ma ankoli Mumegoma kabisa kutaja psrs ni TGS ngapi [emoji23]
Angalia apo utaelewa why
IMG_20230223_224306.jpg
 
Ulipangiwa taasisi nyingine kabla hata placement ya taasisi ulifanyia interview kutoka.

Mzee unawaza placement ya TRA, psrs wanakuzoom tu[emoji28]
Za TRA nazo ziliandikwa kabla ya tarehe 11 Feb, ndio maana huyu akawa hajapata huko na kapangiwa kwingine. Nawaza hivi.

Sema za TRA zilitoka mapema baada ya kusemwa na Mkuu wa Nchi, wasingesemwa huenda zingetoka mwezi 1 mbele baada ya barua kuandikwa.
 
Ukishakuwa na basic ya laki 7 na take home ya laki 4.6 hapa huna option zaidi ya kuwa bahili na kuokoka wenzako wakikuita kwenye vikao huendi. Akili ya maisha lazima ije tu
Wewe jamaa upo kukatisha watu tamaa,wewe unataka kila mtu afanye kazi TRA,watu wangapi wanafanya kazi halmashauri na wana maisha mazuri tu,unaweza kupewa mshahara mkubwa na ukazidiwa na mwenye mshahara mdogo.kama wewe umekaa miaka tisa umeshindwa kupiga hatua na ni mfanyakazi wa serikali wa TGS ni wewe lakini sio kukombine kuwa mshahara hautoshi ilihali mjini huku wa wahindi watu na degree zao wanalipwa laki tatu na maisha yanasonga na hawana assurance ya kazi zao.
 
Back
Top Bottom