Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Mkuu lakn unajua kwmba mpka ss karbu nafasi 200 na zaidi zishatolewa kutoka database?kusurbia mkeka wenye watu 1700 kutoka databse naona ni kujichosha mim naamini watu wataendlea kuvutwa kutoka database mdgo mdgo kama choo cha mbuzi kinavyotokaWatatoa kiongozi.....Humu walipiga kelele kuhusu wanamuangusha Mama(rais) afanye change akafanya....
Na kuna mtu alisema aliongea na PSRS wakamwambia hawajapokea agizo sasa kawasili N/w tuwe wapole uku tukichochea moto kwa speed kubwa...Sema kitendawili kipo haki itakuwepo kwa hilo Pdf...
Turudi mbele zake Bwana tuzidi kusali na kuongeza received utumishi maana Bwana hatatuacha kamwe....!