HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
tumekaa kusubiria mpaka sasa tumesimama kuulizia
Haya mambo wandugu yanahitaji subira sana na kuwa na imani binafsi nimemaliza chuo mwaka 2016 mpaka leo bado nipo benchi na nimefanya sajili kadhaa sehemu mbalimbali ikiwemo na utumishi lkn mambo bilabila mwanzoni nilikuwa na masononeko sana, ila nilijifunza kwa shemeji yangu yeye alichezea msoto mkubwa baada ya kumaliza chuo mwaka 2013 akiwa ameachiwa familia tegemezi yaani mama yake na wadogo zke wa3 kozi baba yke alifariki tangu. 2010 kuna muda jamaa alikuwa ana eti ili kupata pesa ya kulisha Ngugu zake. Ktk hali kama hiyo na huna kazi so painful jamaa kila akiomba kazi hapati kuna wakati jamaa alikuwa anawakanda kwenye oral mpaka watu wa panel wanakubali na kumhakikishia kazi lakini bado mwish wa cku alikosa.
Huwezi amini jamaa alikuja kupata kazi 2020 kwa hindi kama internal auditor.
Kwanamna yoyote ile tusikate tamaa wadau fungu letu lipo hakuna wakijizuia na tusiache kuomba sugu zangu.
 
noted champ,tutafanikiwa
 
Mwanzoni ilikua asali kwa ujumla, sasa hivi kuna asali ya nyuki wadogo na asali ya nyuki wakubwa.[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu kuna wengine wanasepa na Mzinga wa nyuki wakubwa kabisa.

Juzi hapa watu wamesepa na Mzinga kimasikhara yaanii[emoji3]
 
Huwezi kuitwa hata ikitokea umeitwa kimakosa huwezi kuingia kwenye chumba cha interview huwa wanakagua GPA mlangoni
Sorry et kwa izo izo nafasi za T.A, kigezo kam wamesema degree ya accounting mi ninayo ya accounting and finance kuna shida?
 
Back
Top Bottom