HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
WALIOLAMBA ASALI WENGI WAMEKIMBIA, WALIOBAKI WAMEUNGA MKONO JUHUDI. INATAKIWA MTU AKILAMBA ASALI ARUDI KUTOA SHUHUDA NA KUSHEHEREKEA THEN AKIMBIE MAZIMA MAANA JOBLESS NA WALAMBA ASALI HAWAONGEI LUGHA MOJA. NB: HII NI KWA KILA JOBLESS
Ukifuatilia huu uzi kila mlamba asali, kabla ya kulifikia buyu, alikua na namna anavochangia na kuwasilisha hoja katika uzi huu, kulingana na hitaji lake wakati huo, hii pia ipo kwa kila jobless, kuna namna anachangia. Ajabu imekua kwa baadhi ya walamba asali wamekua wakikosoa namna jobless wanavyochangia humu kwa wakati huu, wanawakosoa na kuwaona hawapaswi kuchangia na kuwasilisha hoja kwa namna wanavyofanya. Tatizo lipo hapo.
 
Mnatakiwa mjue TU kwamba humu kwenye huu uzi PSRS wapo wengi tena with multiple id,
WApo humu kitetea Psrs kwa Hali na Mali, na kuzima vuguvugu lolote lile

Kuna wengine atajifanya msaka mrija wa asali, placement ikitoka TU, eti nae kalamba asali , na hapohapo anaipongeza Psrs inafanya Kaz nzuri sana.

Nikama maigizo yanayofanywa na viongozi wa makanisa ya Uongo hapa dar.

Matatizo ya psrs yanajulikanwa , na yanatakiwa yatatuliwe haraka sana, na sio kuleta Ushuhuda ,maigizo ya zumaradi humu JF,
Hahaaaa , wasanii au sio ,
 
Hapana, taasisi inasema inataka idadi ya watu kadhaa wenye sifa kadhaa kwa psrs,
jukumu la psrs ni kupeleka watu kwa mwajiri. Mwajiri hawezi kukataa watu kwa sababu ni wa kanzi data wakati wana vigezo vyote walivyovitaka wakati wa kutoa tangazo.
Inaelekea ww ni mgen psrs
 
Kila aliefanya oral anaamini yuko database. Mungu atusaidie tuwe tunafanya saili vizuri tunaitwa first sitting na sio kutegemea database.

Kuna frustrations nyingi sana zinazokuja na kukosa kazi especially sisi tuliotoka kwenye familia zenye backgoround ya umaskini.

Tuendelee kujiandaa vizuri na hizi saili. Kama kuna maboresho PSRS wanabidi wayafanye, tuendelee kuwafikishia kuimprove mchakato wao. Ikumbukwe, PSRS, pamoja na madhaifu yao, wana degree kubwa ya fairness kuliko taasisi zikifanya zenyewe. Lengo liwe kuiboresha PSRS, sio kuidissolve

Tuna mifano mingi ya watu waliokandwa SANA. With time, wakalamba asali
 
Ukifuatilia huu uzi kila mlamba asali, kabla ya kulifikia buyu, alikua na namna anavochangia na kuwasilisha hoja katika uzi huu, kulingana na hitaji lake wakati huo, hii pia ipo kwa kila jobless, kuna namna anachangia. Ajabu imekua kwa baadhi ya walamba asali wamekua wakikosoa namna jobless wanavyochangia humu kwa wakati huu, wanawakosoa na kuwaona hawapaswi kuchangia na kuwasilisha hoja kwa namna wanavyofanya. Tatizo lipo hapo.
Na shida imeenda mbali zaidi kwa wanaolamba asali kuona tunaokosa hizo nafasi as if hatujitumi,hatusomi,tuna iq ndogo na thinking capacity yetu ya kujibu maswali ni ndogo.
Wanatakiwa wajue kukosa au kupata anapanga Mungu ila sisi tunachopigania ni mchakato kufanyika kwa uwazi na uendane na muda.
Mfano LATRA watu wamefanya oral mwezi wa 12 mpaka leo bado hawajaitwa afu anaibuka mtu anasema taasisi haijawa na uhitaji ndio inachelewesha mchakato ilihali ukienda pale wamejaa watu wa intern na mikataba tu.

Narudia kuna shida sehemu Mama aliposema utumishi wanachelewesha michakato alimaanisha sana.

Mwenye muda apitie placement za kabla ya 2022 aone watu walikuwa wanaitwa muda gani baada ya interview.
 
Kila aliefanya oral anaamini yuko database. Mungu atusaidie tuwe tunafanya saili vizuri tunaitwa first sitting na sio kutegemea database.

Kuna frustrations nyingi sana zinazokuja na kukosa kazi especially sisi tuliotoka kwenye familia zenye backgoround ya umaskini.

Tuendelee kujiandaa vizuri na hizi saili. Kama kuna maboresho PSRS wanabidi wayafanye, tuendelee kuwafikishia kuimprove mchakato wao. Ikumbukwe, PSRS, pamoja na madhaifu yao, wana degree kubwa ya fairness kuliko taasisi zikifanya zenyewe. Lengo liwe kuiboresha PSRS, sio kuidissolve

Tuna mifano mingi ya watu waliokandwa SANA. With time, wakalamba asali
Kwa sababu nilienda oral nipo database bora nijipe tu matumaini Hamna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila aliefanya oral anaamini yuko database. Mungu atusaidie tuwe tunafanya saili vizuri tunaitwa first sitting na sio kutegemea database.

Kuna frustrations nyingi sana zinazokuja na kukosa kazi especially sisi tuliotoka kwenye familia zenye backgoround ya umaskini.

Tuendelee kujiandaa vizuri na hizi saili. Kama kuna maboresho PSRS wanabidi wayafanye, tuendelee kuwafikishia kuimprove mchakato wao. Ikumbukwe, PSRS, pamoja na madhaifu yao, wana degree kubwa ya fairness kuliko taasisi zikifanya zenyewe. Lengo liwe kuiboresha PSRS, sio kuidissolve

Tuna mifano mingi ya watu waliokandwa SANA. With time, wakalamba asali
mku hapo utumishi hakuna fairness. unakuta kada moja imefanya usaili 2022 zaidi ya taasisi tatu. kwahiyo unataka kusema kulikosekana hata wa database/waliofaulu hizo saili za nyuma hadi utumishi itangaze nafasi mpya kwa kada hiyo ?

hiyo kitu haipo. hao wanawatu wao wanataka kuwaingiza tu.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Ma-HR wa mchongo na msio wa mchongo kwenye hiyo fani... Msaidieni huyo unemployed 😂
20230324_153235.jpg
 
mku hapo utumishi hakuna fairness. unakuta kada moja imefanya usaili 2022 zaidi ya taasisi tatu. kwahiyo unataka kusema kulikosekana hata wa database/waliofaulu hizo saili za nyuma hadi utumishi itangaze nafasi mpya kwa kada hiyo ?

hiyo kitu haipo. hao wanawatu wao wanataka kuwaingiza tu.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app

Mkuu TUnique salaam.

Moja, sio kila anaefanya oral automatically anaingia database.

Pili, una ushahidi kuwa wana watu wao. Kama una ushahidi itakua ni starting point nzuri kuwablast hawa PSRS.

Kumbuka ndugu yangu, tuhuma bila ushahidi zinaitwa majungu.

Wapi evidence kaka? Watu wote waliopata kazi kupitia utumishi ni watu wa utumishi?. Mkuu Mwifwa ameakandwa sana tu, lakini alirudi nyuma, akatathmini, akajiandaa, na wakati wake ulikua umefika, Mungu akaruhusu apate kazi
 
Tukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.

Kuna comment kule juu nimesema nimeamua kukaa kimya bila kuchangia ovyo ovyo maana ndio mshanipachika hilo jina la WAKALA WA PSRS/MTETEZI WA PSRS.

Sasa inabidi niwe nasoma tu kimya kimya, sitaki kuwavuruga,nitachangia tu pale itakaponibidi.

Kila wakati huwa na mambo yake, mwaka jana hadi January uzi haukuwa wa namna hii ulivyo sasa, ila kwa kuwa tupo wakati mwingine si ajabu uzi kuwa na sura ya namna hii. Nina imani siku za usoni uzi utakuwa na sura tofauti na hii.

Nawaombea mpate nafasi kwa njia zozote mnazozitaka ninyi iwe kupitia PSRS au kwenye taasisi walipo watu wa kuwaconnect kwani hali ya mtaani naielewa jinsi ilivyo na jua lake lilivyo kali hasa kwa Jobless.
Pole sana brother japo mi pia jobless msaka mrija ila huu uzi ulikopitia mi sioni cha kuchangia napitiaga maoni tu nakusepa vijana wapo kwenye maandamano nyuma ya keyboard

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom