Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Hapo ndo penye asali mkuu hiyo hatua ndio maana inafichwa fichwa figisu mingi wenye kutempa hapo penyewe kwa hiyo lazima mambo yawe mengiiPsrs wanaweza kusahihisha paper 3000 kwa siku moja, placement mpaka mvutane mashati au hawatoi kabisa wakiamua!!