HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu TUnique salaam.

Moja, sio kila anaefanya oral automatically anaingia database.

Pili, una ushahidi kuwa wana watu wao. Kama una ushahidi itakua ni starting point nzuri kuwablast hawa PSRS.

Kumbuka ndugu yangu, tuhuma bila ushahidi zinaitwa majungu.

Wapi evidence kaka? Watu wote waliopata kazi kupitia utumishi ni watu wa utumishi?. Mkuu Mwifwa ameakandwa sana tu, lakini alirudi nyuma, akatathmini, akajiandaa, na wakati wake ulikua umefika, Mungu akaruhusu apate kazi
mku nlishatoa mfano huko ju. sina haja kutoa mifano tena.

pili, unadhani ata aliepata kazi kwa connection utumishi atasema kuwa alipewa?

hoja yangu nikwamba kada moja imefanya saili mwaka jana zaidi ya taasis tatu, wapo waliopata placement pia wapo waliofaulu na kuwekwa kanzi data. haiwezekani wote kwenye taasis zote hizo zaidi ya tatu wafeli wakosekane ata wachache ambao walitoboa kuwepo kanzidata. ila cha ajabu utumishi wanatangaza nafasi kwa kada hiyo bado ! lazma hapo kuwepo na mashaka.


Mwisho kwenye ushahidi acha ninyamaze.


Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Since then zimetoka kazi nyingi sana hapa za kada yetu, kanzidata ingeweza kutuhusu ila ndiyo hivyo....give up isn't an option
Mkuu mm naona ungekuwa unaapply hizo zinazoendelea kutoka tu, kuliko kukataa tamaa sababu ya hio moja ambayo hujaoa placement yake.

Heri kuendelea kujaribu kuliko kutokujaribu kabisaaaaaaaa.
 
Mchakato wote wa ajira huwa unahusisha PSRS na mwajiri, mwajiri ndio anasema anachokitaka halafu PSRS inamfanyia.

Sasa kama mwajiri hataki watu wa database hapo lazima nafasi itangazwe.
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom