Manucho90
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 559
- 1,719
Yeah hili muhimuMuhimu huku unaendelea kuapply unaendelea na kazi zako zingine za kijamii na kiuchumi siku moja utumishi watakuona tu.
Yeah hili muhimuMuhimu huku unaendelea kuapply unaendelea na kazi zako zingine za kijamii na kiuchumi siku moja utumishi watakuona tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah sawa sawaHyo avatar mkuu em fanya namna,ushakua mtumishi sasa[emoji23]
Kila aliefanya oral anaamini yuko database. Mungu atusaidie tuwe tunafanya saili vizuri tunaitwa first sitting na sio kutegemea database.
Kuna frustrations nyingi sana zinazokuja na kukosa kazi especially sisi tuliotoka kwenye familia zenye backgoround ya umaskini.
Tuendelee kujiandaa vizuri na hizi saili. Kama kuna maboresho PSRS wanabidi wayafanye, tuendelee kuwafikishia kuimprove mchakato wao. Ikumbukwe, PSRS, pamoja na madhaifu yao, wana degree kubwa ya fairness kuliko taasisi zikifanya zenyewe. Lengo liwe kuiboresha PSRS, sio kuidissolve
Tuna mifano mingi ya watu waliokandwa SANA. With time, wakalamba asali
Mungu hausiki apa Mzee, Kwan ye ye ndio anayetoa placement, kuweni wawazi acheni janjajanjaMkuu TUnique salaam.
Moja, sio kila anaefanya oral automatically anaingia database.
Pili, una ushahidi kuwa wana watu wao. Kama una ushahidi itakua ni starting point nzuri kuwablast hawa PSRS.
Kumbuka ndugu yangu, tuhuma bila ushahidi zinaitwa majungu.
Wapi evidence kaka? Watu wote waliopata kazi kupitia utumishi ni watu wa utumishi?. Mkuu Mwifwa ameakandwa sana tu, lakini alirudi nyuma, akatathmini, akajiandaa, na wakati wake ulikua umefika, Mungu akaruhusu apate kazi
Towen placement za watu , haiwezekan mtu afanye interview zaidi ya 3 no placement, alafu unamwabia aendelee kujitahidi na kuomba mungu zaidi.Kila aliefanya oral anaamini yuko database. Mungu atusaidie tuwe tunafanya saili vizuri tunaitwa first sitting na sio kutegemea database.
Kuna frustrations nyingi sana zinazokuja na kukosa kazi especially sisi tuliotoka kwenye familia zenye backgoround ya umaskini.
Tuendelee kujiandaa vizuri na hizi saili. Kama kuna maboresho PSRS wanabidi wayafanye, tuendelee kuwafikishia kuimprove mchakato wao. Ikumbukwe, PSRS, pamoja na madhaifu yao, wana degree kubwa ya fairness kuliko taasisi zikifanya zenyewe. Lengo liwe kuiboresha PSRS, sio kuidissolve
Tuna mifano mingi ya watu waliokandwa SANA. With time, wakalamba asali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanaamini wako database sasa database si itakuwa imelemewa!
PSRS kazi walio pewa na Serikali imewashinda , wanakuja huku JF na propaganda za kijingaYeah its true,nmeona tu tangazo but placement hakuna kabisa[emoji22][emoji22]so sad aisee miez 10 duh.
Mtu alie experience hiyo utamwambia nn about PSRS akuelewe[emoji2356]
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Account assistant II (nafasi 1) wamekosa kweli mtu database[emoji119]
Labda Wameish mkuu 🤭Account assistant II (nafasi 1) wamekosa kweli mtu database[emoji119]
Unao uthubutu lakini?Kwa hiyo Kwa nini mochuari??! kuna dili na mm nihamishie majeshi huko[emoji2]
Sekretarieti ya AjiraWengi hamjui kuwa Kutangazwa nafasi za kazi na hayo mambo ya database ni POLITICAL GAIN kwa watu wengine, Msiwaamini wanasiasa fanyeni kazi kama umeplay part yako kwenye usaili endelea na maisha mengine kama placement itakuja itakukuta njiani usikae nyumbani kusubiri placement
Hii post naona imetangzwa na taasis kadhaa huenda wameisha mkuu au kuna uhitaji mkubwaAccount assistant II (nafasi 1) wamekosa kweli mtu database[emoji119]