HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kina @mwifa baada ya kulamba asaili wamekuwa vibarua wa psrs.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Tukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.

Kuna comment kule juu nimesema nimeamua kukaa kimya bila kuchangia ovyo ovyo maana ndio mshanipachika hilo jina la WAKALA WA PSRS/MTETEZI WA PSRS.

Sasa inabidi niwe nasoma tu kimya kimya, sitaki kuwavuruga,nitachangia tu pale itakaponibidi.

Kila wakati huwa na mambo yake, mwaka jana hadi January uzi haukuwa wa namna hii ulivyo sasa, ila kwa kuwa tupo wakati mwingine si ajabu uzi kuwa na sura ya namna hii. Nina imani siku za usoni uzi utakuwa na sura tofauti na hii.

Nawaombea mpate nafasi kwa njia zozote mnazozitaka ninyi iwe kupitia PSRS au kwenye taasisi walipo watu wa kuwaconnect kwani hali ya mtaani naielewa jinsi ilivyo na jua lake lilivyo kali hasa kwa Jobless.
 
Inshallah
 
Sawa hebu nitumie buku mbili kwanza ya vocha nilisherekea na ww sana
 
Nilitakiwa kua nimelamba asali kabla hata ya huu uzi, lakini psrs haijatoa placement miezi kumi imepita, ukiwatafuta wanasema endelea kufuatilia eneo la placement!! Mwingine anasema tujiandae sana kwa interview!!
Miezi kumi???[emoji15][emoji15][emoji15]woow thats shocking.
Post gani,taasisi gani?
 
Tukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.

Kuna comment kule juu nimesema nimeamua kukaa kimya bila kuchangia ovyo ovyo maana ndio mshanipachika hilo jina la WAKALA WA PSRS/MTETEZI WA PSRS.

Sasa inabidi niwe nasoma tu kimya kimya, sitaki kuwavuruga,nitachangia tu pale itakaponibidi.

Kila wakati huwa na mambo yake, mwaka jana hadi January uzi haukuwa wa namna hii ulivyo sasa, ila kwa kuwa tupo wakati mwingine si ajabu uzi kuwa na sura ya namna hii. Nina imani siku za usoni uzi utakuwa na sura tofauti na hii.

Nawaombea mpate nafasi kwa njia zozote mnazozitaka ninyi iwe kupitia PSRS au kwenye taasisi walipo watu wa kuwaconnect kwani hali ya mtaani naielewa jinsi ilivyo na jua lake lilivyo kali hasa kwa Jobless.
Ndugu Mwifwa, umeandika kwa hisia kuu. Ila nakusihi upunguze munkari na kutambua kuwa sote humu tunategemeana kwa michango yetu na uzoefu wetu.
Niwaombe pia wasaka asali wenzangu tutumie lugha za staha tunapowasilisha jumbe zetu.
Mungu atubariki na atutimizie mahitaji yetu.
 
Tukiondoka na kuwaacha ninyi ambao bado hamjapata nafasi, inakuwa pia nongwa, tukiendelea kuwepo na kutoa maoni yetu inakuwa nongwa pia.

Kuna comment kule juu nimesema nimeamua kukaa kimya bila kuchangia ovyo ovyo maana ndio mshanipachika hilo jina la WAKALA WA PSRS/MTETEZI WA PSRS.

Sasa inabidi niwe nasoma tu kimya kimya, sitaki kuwavuruga,nitachangia tu pale itakaponibidi.

Kila wakati huwa na mambo yake, mwaka jana hadi January uzi haukuwa wa namna hii ulivyo sasa, ila kwa kuwa tupo wakati mwingine si ajabu uzi kuwa na sura ya namna hii. Nina imani siku za usoni uzi utakuwa na sura tofauti na hii.

Nawaombea mpate nafasi kwa njia zozote mnazozitaka ninyi iwe kupitia PSRS au kwenye taasisi walipo watu wa kuwaconnect kwani hali ya mtaani naielewa jinsi ilivyo na jua lake lilivyo kali hasa kwa Jobless.
Mkuu binadamu hatuna jemaa
 
Sema tu ni vile divide and Rule ndio wanayoitumia,mtu akilamba asali anaona wanaopiga kelele ni wazembe hawakujituma kwenye saili na ni watu flan wa kulalamika...anshindwa kujua sisi wote tupo ndani ya changamoto ilipaswa kuungana kusaidia watakaokuja baadae huko maana tukifumbia macho ipo siku mchakato utachukua zaidi ya miaka miwili then reference itakuwa mbona zamani walivumilia.
Kinachofanywa na taasisi hii nyeti kwa Taifa sio kizuri maana hata wanaochukua barua wanakuta barua imetoka miezi miwili nyuma,na tunaopiga kelele sio tuna njaa au vipi,ni tumetoka maisha ya vijijini huko na tukasimama na watu wasiotujua na huenda asali tuliyonayo ni nzuri.
sasa kama mtu ana hoja ya kwa nn mchakato umekuwa mchakato then mtu anakuja anasema uvumilivu na kusoma sana ndio ushindi as if yy amesoma sanaa kuliko waliokosa hiyo nafasi au yy ana akili sanaaa.
Hebu tuwaze kama taifa kuangalia tukifumbia hii itakuwaje maana ilianza ni miezi miwili inachelewa nw miezi 5 ,6 imekuwa kawaida.
asali isiwalevye ndugu zangu kama kazi imekuwa ngumu kwao waadress..nilisema juzi kitendo cha mkuu wa nchi kusema hadharani wanachelewesha mchakato basi ujue kuna shida sehemu sio bure.
Umeongea kwa kina sana mkuu, umejaribu kugusia hoja muhimu. Ni kweli, mchakato kuwa mrefu inaleta maswali mengi sana kwa watu wanaosubiria majibu ya kile walichokifanya hilo la kwanza la pili mimi naona ingependeza zaidi psrs wakawa wanatoa hali ya ufaulu kwa usaili wa oral kwa maana ya kwamba aliyefikisha 50%+ wampe notification na aliyepata chini ya 50% pia apewe notification. Hii itaondoa minong'ono ya kwanini hakuna kinachoendelea kwani kila mtu atapata kujua kwanza anatakiwa kusubiri au anatakiwa aendelee kupambana kufanya saili nyingine.
Lakini pia mimi bado napata mashaka sanaaa, kwanini kwa posts ambazo zilitangazwa na TRA tena nyingi kiasi kile ziliweza kuchakwata haraka sana mpaka ikafikia hatua muda mfupi tuu tangu Mh. Rais awaseme wakatoa majina, je kuna nini huwa kinaendelea huko nyuma? Ingawaje kuna nafasi chache sana hutangazwa mfn. Nafasi 2,3,5 hata 10 zinachukua miezi mpaka 6, je ni kitu gani huwa kinaendelea huko nyuma ya pazia? Ninachoamini serikali imewapangia Sekretarieti ya Ajira majukumu ya kusimamia zoezi la kuajiri watumishi wake ili mambo yawe marahisi. Hivyo hili swala la uchelewashwaji sidhani kama lina sababu kubwa na ya msingi. Hizi kelele za vijana hawa wa kitanzania zina mashiko sanaa.
Nawatakia majukumu mema wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la database ni jambo pana sana, nimeona pia nafasi za kazi MOI na NAOT ambapo kwa baadhi ya kada nahisi haziwez kosa watu kutoka database
 
Sema tu ni vile divide and Rule ndio wanayoitumia,mtu akilamba asali anaona wanaopiga kelele ni wazembe hawakujituma kwenye saili na ni watu flan wa kulalamika...anshindwa kujua sisi wote tupo ndani ya changamoto ilipaswa kuungana kusaidia watakaokuja baadae huko maana tukifumbia macho ipo siku mchakato utachukua zaidi ya miaka miwili then reference itakuwa mbona zamani walivumilia.
Kinachofanywa na taasisi hii nyeti kwa Taifa sio kizuri maana hata wanaochukua barua wanakuta barua imetoka miezi miwili nyuma,na tunaopiga kelele sio tuna njaa au vipi,ni tumetoka maisha ya vijijini huko na tukasimama na watu wasiotujua na huenda asali tuliyonayo ni nzuri.
sasa kama mtu ana hoja ya kwa nn mchakato umekuwa mchakato then mtu anakuja anasema uvumilivu na kusoma sana ndio ushindi as if yy amesoma sanaa kuliko waliokosa hiyo nafasi au yy ana akili sanaaa.
Hebu tuwaze kama taifa kuangalia tukifumbia hii itakuwaje maana ilianza ni miezi miwili inachelewa nw miezi 5 ,6 imekuwa kawaida.
asali isiwalevye ndugu zangu kama kazi imekuwa ngumu kwao waadress..nilisema juzi kitendo cha mkuu wa nchi kusema hadharani wanachelewesha mchakato basi ujue kuna shida sehemu sio bure.
Maneno ya busara👏👏👏👏👏
 
Nilitakiwa kua nimelamba asali kabla hata ya huu uzi, lakini psrs haijatoa placement miezi kumi imepita, ukiwatafuta wanasema endelea kufuatilia eneo la placement!! Mwingine anasema tujiandae sana kwa interview!!
pole sana kaka.
 
Umeongea kwa kina sana mkuu, umejaribu kugusia hoja muhimu. Ni kweli, mchakato kuwa mrefu inaleta maswali mengi sana kwa watu wanaosubiria majibu ya kile walichokifanya hilo la kwanza la pili mimi naona ingependeza zaidi psrs wakawa wanatoa hali ya ufaulu kwa usaili wa oral kwa maana ya kwamba aliyefikisha 50%+ wampe notification na aliyepata chini ya 50% pia apewe notification. Hii itaondoa minong'ono ya kwanini hakuna kinachoendelea kwani kila mtu atapata kujua kwanza anatakiwa kusubiri au anatakiwa aendelee kupambana kufanya saili nyingine.
Lakini pia mimi bado napata mashaka sanaaa, kwanini kwa posts ambazo zilitangazwa na TRA tena nyingi kiasi kile ziliweza kuchakwata haraka sana mpaka ikafikia hatua muda mfupi tuu tangu Mh. Rais awaseme wakatoa majina, je kuna nini huwa kinaendelea huko nyuma? Ingawaje kuna nafasi chache sana hutangazwa mfn. Nafasi 2,3,5 hata 10 zinachukua miezi mpaka 6, je ni kitu gani huwa kinaendelea huko nyuma ya pazia? Ninachoamini serikali imewapangia Sekretarieti ya Ajira majukumu ya kusimamia zoezi la kuajiri watumishi wake ili mambo yawe marahisi. Hivyo hili swala la uchelewashwaji sidhani kama lina sababu kubwa na ya msingi. Hizi kelele za vijana hawa wa kitanzania zina mashiko sanaa.
Nawatakia majukumu mema wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
👏👏👏👏👏
 
Mnatakiwa mjue TU kwamba humu kwenye huu uzi PSRS wapo wengi tena with multiple id,
WApo humu kitetea Psrs kwa Hali na Mali, na kuzima vuguvugu lolote lile

Kuna wengine atajifanya msaka mrija wa asali, placement ikitoka TU, eti nae kalamba asali , na hapohapo anaipongeza Psrs inafanya Kaz nzuri sana.

Nikama maigizo yanayofanywa na viongozi wa makanisa ya Uongo hapa dar.

Matatizo ya psrs yanajulikanwa , na yanatakiwa yatatuliwe haraka sana, na sio kuleta Ushuhuda ,maigizo ya zumaradi humu JF,
 
Naanza kupata picha
 
Umeongea kwa kina sana mkuu, umejaribu kugusia hoja muhimu. Ni kweli, mchakato kuwa mrefu inaleta maswali mengi sana kwa watu wanaosubiria majibu ya kile walichokifanya hilo la kwanza la pili mimi naona ingependeza zaidi psrs wakawa wanatoa hali ya ufaulu kwa usaili wa oral kwa maana ya kwamba aliyefikisha 50%+ wampe notification na aliyepata chini ya 50% pia apewe notification. Hii itaondoa minong'ono ya kwanini hakuna kinachoendelea kwani kila mtu atapata kujua kwanza anatakiwa kusubiri au anatakiwa aendelee kupambana kufanya saili nyingine.
Lakini pia mimi bado napata mashaka sanaaa, kwanini kwa posts ambazo zilitangazwa na TRA tena nyingi kiasi kile ziliweza kuchakwata haraka sana mpaka ikafikia hatua muda mfupi tuu tangu Mh. Rais awaseme wakatoa majina, je kuna nini huwa kinaendelea huko nyuma? Ingawaje kuna nafasi chache sana hutangazwa mfn. Nafasi 2,3,5 hata 10 zinachukua miezi mpaka 6, je ni kitu gani huwa kinaendelea huko nyuma ya pazia? Ninachoamini serikali imewapangia Sekretarieti ya Ajira majukumu ya kusimamia zoezi la kuajiri watumishi wake ili mambo yawe marahisi. Hivyo hili swala la uchelewashwaji sidhani kama lina sababu kubwa na ya msingi. Hizi kelele za vijana hawa wa kitanzania zina mashiko sanaa.
Nawatakia majukumu mema wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumesha waambia wanasema eti majibu ni Siri,
Kumbuka Oral ndio njia ya mwisho kuikaribia asali na hapo ndipo maradona anafanya kazi yake.

Psrs inawabidi mfanye kazi kwa ukweli 💯 na uwazi
 
Back
Top Bottom