Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mishara mingi ya watumishi ni kidogo ukilinganisha na status Yao Katika jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mishara mingi ya watumishi ni kidogo ukilinganisha na status Yao Katika jamii
Something suitable is coming in our nation.Hizo ni mamlaka mbili tofauti kwasasa iliyokua chini ya Tra ni ZRB ambayo imekua ZRA kwa ninavyojua
What do u mean
Hii tume ya madini TMA, Magufuli kama nilisikia aliivunja watumishi wake wakarudishwa Wizarani. Walipofika wizarani junior officer wa TMA akawa na mshahara mkubwa kuliko mkuu wa idara wakaanza kiburi wengine wanamzidi hadi katibu mkuu wa wizara.Na mimi nimeingia chamani, wakati wa Mungu ni sahihi sana! Nilienda oral kimazabe zabe maana written sikujipa hata chance ya kutoboa! Niliunga unga usafiri kurudi Dom maana nilisharudi Dsm kuendelea na udalali tu!Naliona jina langu kwenye Tume ya madini siamini amini! Miujiza ipo
Mwisho wa muda wa kazi ni hiyo saa tisa na nusu mchana.Nauliza ile masijala ya wazi inafungwa saa ngapi?? Au ni 9:30 Alhasri??
Hapana. Watumishi walitoka time ya ukaguzi wa madini tmaa kwenda time ya madini wakiwa na mishahara mikubwa ya tmaa, magufuli akasema wapunguziwe mishahara asiyetaka aache!Hii tume ya madini TMA, Magufuli kama nilisikia aliivunja watumishi wake wakarudishwa Wizarani. Walipofika wizarani junior officer wa TMA akawa na mshahara mkubwa kuliko mkuu wa idara wakaanza kiburi wengine wanamzidi hadi katibu mkuu wa wizara.
Duuuu!!!!Hapana. Watumishi walitoka time ya ukaguzi wa madini tmaa kwenda time ya madini wakiwa na mishahara mikubwa ya tmaa, magufuli akasema wapunguziwe mishahara asiyetaka aache!
We umejuaje watu wako kwenye Database?jamani kwema. naomba kuuliza inakuaje utumishi wanatangaza nafasi mpya za kazi wakati kuna hao wataalam wa hizo kada walizotangaza wapo database!
je ni taasisi ndo inaamua wasipewe wataalam kutoka database ?
mfano tangazo la tanzania railway cooperation liliotolewa inaamanisha hakuna wataalam wa zile kada ambao wapo database.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
waliofanya usaili nakufaulu ila wakakosa placement awali kutokana na ushindani wapo kwenye database ya waliofaulu usaili kulingana na kanuni za psrs.We umejuaje watu wako kwenye Databas?
Unaweza kukuta ni lile kundi letu la bestlooser la databaseAna mental problems.
Kukosa kazi kumemfanya kichwa chake kishindwe kufanya kazi.
EGA hawataki watu kutoka database.jamani kwema. naomba kuuliza inakuaje utumishi wanatangaza nafasi mpya za kazi wakati kuna hao wataalam wa hizo kada walizotangaza wapo database!
je ni taasisi ndo inaamua wasipewe wataalam kutoka database ?
mfano tangazo la tanzania railway cooperation liliotolewa inaamanisha hakuna wataalam wa zile kada ambao wapo database.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
EGA hawataki watu kutoka databas
Hata ofisi ya bunge nao hawataki watu toka databaseEGA hawataki watu kutoka database.
Hawatutaki second selection 🤣Hata ofisi ya bunge nao hawataki watu toka database
kumbe kuna taasisi hazitaki watu kutoka database. naomba nieleweshe vzur EGA ni niniEGA hawataki watu kutoka database.
Ega ni mamlaka ya Serikali mtandaokumbe kuna taasisi hazitaki watu kutoka database. naomba nieleweshe vzur EGA ni nini
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
kwani kanuni za psrs zinasemaje basi ni bora waziachie taasisi ziendeshe usaili zenyewe..EGA hawataki watu kutoka database.