Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,839
- 10,954
Hao wadogo wameletwa juzi ,hawajui HAta mifumo inavyo fanya kazi, wanatia aibu TUHivi simlisema ZRA ipo chini ya TRA mbona wametangaza nafasi za kazi kivyao
Hao wadogo wameletwa juzi ,hawajui HAta mifumo inavyo fanya kazi, wanatia aibu TUHivi simlisema ZRA ipo chini ya TRA mbona wametangaza nafasi za kazi kivyao
Hawataki kuachia taasisi na mashirika wafanye saili,kwani kanuni za psrs zinasemaje basi ni bora waziachie taasisi ziendeshe usaili zenyewe..
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Hawatutaki second selection
Kwa aliefanya research normally how long does it take kuitwa written? Ukiachana na ile special case ya MDA ambayo it took us 8 mon
Hakunaga mda specific, inaweza kua two weeks baada ya deadline ya tangazo usika, mwez au miezi. Yan kwa kifupi hawapo specificKwa aliefanya research normally how long does it take kuitwa written? Ukiachana na ile special case ya MDA ambayo it took us 8 months.
Duh uzinzi mtupuHawataki kuachia taasisi na mashirika wafanye saili,
Fanyamasilia na 100k per day+mbususu
Hakuna formula na ndo kitu tunacholalamika (michakato kuchelewa)...post za RUWASA zilitangazwa mwezi wa 6, written/oral tukaitwa Mwezi wa 11...Placement mpaka leo hazijatokaKwa aliefanya research normally how long does it take kuitwa written? Ukiachana na ile special case ya MDA ambayo it took us 8 months.
kazi ni za wazinzbari pekee soma tangazo vizuriHivi simlisema ZRA ipo chini ya TRA mbona wametangaza nafasi za kazi kivyao
Hakuna formula na ndo kitu tunacholalamika (michakato kuchelewa)...post za RUWASA zilitangazwa mwezi wa 6, written/oral tukaitwa Mwezi wa 11...Placement mpaka leo hazijatoka
Miaka ya nyuma (2021 kurud nyuma) walikua wanajitahid sana kukamilisha mchakato wa ajira mapema, kwa sasa sijui nini kimewakumba. Yan hata post za UN huwa hazichukui mda mrefu hivyo watu kupata kaziHakuna formula na ndo kitu tunacholalamika (michakato kuchelewa)...post za RUWASA zilitangazwa mwezi wa 6, written/oral tukaitwa Mwezi wa 11...Placement mpaka leo hazijatoka
Laiti wangetoa mkeka Mapema kama waziri alivoadi Leo haya matatizo yangepungua sana ,jamani kwema. naomba kuuliza inakuaje utumishi wanatangaza nafasi mpya za kazi wakati kuna hao wataalam wa hizo kada walizotangaza wapo database!
je ni taasisi ndo inaamua wasipewe wataalam kutoka database ?
mfano tangazo la tanzania railway cooperation liliotolewa inaamanisha hakuna wataalam wa zile kada ambao wapo database.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Wa Zanzibar hawataki ukiritimba wenukazi ni za wazinzbari pekee soma tangazo vizuri
Watu wanatoka database kwenda hazina....Laiti wangetoa mkeka Mapema kama waziri alivoadi Leo haya matatizo yangepungua sana ,
Sasa database inaanza kuonekana ni second selection ya DARASA LA 7
TATIZO Wana tamaa sana, mpaka post za halmashauri Zina postiwa psrs alafu position ni 1,M
Miaka ya nyuma (2021 kurud nyuma) walikua wanajitahid sana kukamilisha mchakato wa ajira mapema, kwa sasa sijui nini kimewakumba. Yan hata post za UN huwa hazichukui mda mrefu hivyo watu kupata kazi
Kuuliza sio ujingaKwa aliefanya research normally how long does it take kuitwa written? Ukiachana na ile special case ya MDA ambayo it took us 8 months.
Ministries, Departments and AuthoritiesKuuliza sio ujinga
MDA kirefu chake ni Nini!?
Hawa jamaa ni kama hawapo vile miaka karibia 5 sijaona watu wakiitwa, sijui watu wanaingia kimya kimya au ni niaje.. natamani ningepata majibu pia kuhusu hili shirika letu..Sorry naomba niulize swali! Hivi mbona now days hakuna matangazo yoyote ya kazi kutoka shirika letu la umeme Tanesco! Nakumbuka post zao za mwisho waliajiriwa na utumishi kwa mkataba tena wa mwaka mmoja! Ama ndo wameshakuwa confirmed kazini kwa ajira ya moja kwa moja??
TATIZO ni majibu ya oral interview hayako wazi, na ndio maana unaona taasisi wanaikacha databaseEGA hawataki watu kutoka database.
TATIZO ni majibu ya oral interview hayako wazi, na ndio maana unaona taasisi wanaikacha databaseEGA hawataki watu kutoka database.
Ni balaaa balaaaHio taasisi ndio unafanya kazi au ndio unaiota.
Maana unaikubali sana mzee Kila siku unaizungumzia[emoji1]
Au kwakua asali yake yake ni nyuki wa ulaya sio wa sikonge tabora.
Bila shaka ndio unaizengea sana ukiacha asali zingine zikupite[emoji1]
Pata asali kwanza halafu ndio upambane kupata asali pure zaidi[emoji1]
Sisi wengine tuko asalini ila tunatafuta upenyo tukapate kwenye buyu tamu zaidi la asali.
Bora asali hata ya bagamoyo kuliko ujobless usijue utatoboa lini[emoji1787]
Tanzania [emoji1241], nchi yangu nakupendaM
Miaka ya nyuma (2021 kurud nyuma) walikua wanajitahid sana kukamilisha mchakato wa ajira mapema, kwa sasa sijui nini kimewakumba. Yan hata post za UN huwa hazichukui mda mrefu hivyo watu kupata kazi
Hao ni watu wenu wa bahasha,Watu wanatoka database kwenda hazina....