HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni sawa lakini all in all wamo waliofaulu na ndio maana tunaona mikeka ya krbuni imetoka na watu wa database shuhuda zipo
Sijakataa uwepo wa database, wasiwasi wangu ni uwepo wa watu 1700+ kwenye database
 
Kwan hapo miaka m5 nyuma walikuwa wakiwapelekea nyie ,si baada jpm ku force Kila kazi zitumwe psrs Ili kuminya mirija ya asali ,
Hapo ndipo TATIZO lilipoanzia Yan
Kwa hiyo unaona kipindi walipokuwa hawapeleki matangazo PSRS ndio fair ilikuwa inafanyika? Yaani kitu kitangazwe kwa wachche halafu useme kuna fair?

PSRS wana mapungufu yao ila sio kama hivi mnavyofikiria
 
Sio kweli mkuu watu wapo waliofaulu...waziri hawezi sema urongo...ni suala la muda tu na labda urasimu
Oral interview majibu yangetolewa mapema na kuwekwa kwenye accounts za wasaka mirija, na kuwaonyesha kama wako database au la hasha,

Wala HAta u UZi leo usingekuwepo kabisa.

Sema wanaficha kwa sababu wanajua ndio njia ya mwisho kuikaribia asali, Ili waweke watu wao pale inapohitajika
 
Hatari sana mkuu
 
Oral interview majibu yangetolewa mapema na kuwekwa kwenye accounts za wasaka mirija, na kuwaonyesha kama wako database au la hasha,

Wala HAta u UZi leo usingekuwepo kabisa.

Sema wanaficha kwa sababu wanajua ndio njia ya mwisho kuikaribia asali, Ili waweke watu wao pale inapohita

Hatari sana mkuu
Mchakato unachukua mda mrefu kuliko hata post za mashirika ya Umoja wa Mataifa.
 
Kwa hiyo kwa mtazamo wako unaona ni sahihi nafasi 1 ya dereva wa Halmashauri(nimetolea mfano ila anaweza kuwa hata wa Shirika la Umma) kutangazwa public/nchi nzima ila si kwa Mtendaji wa Mtaa/Kijiji?
Hizi nafasi 1,1 zilizoko huko munispal hakuna haja kupost psrs , ni u bureaucracy wenye kuleta matatizo makubwa sana
 
Nilipiga Oral, sikupata nafasi ya kuchaguliwa. Hii status inamaanisha nini?

74cb55a1-e9da-4ee4-9e1c-27ae2196311d.jpg
 
Psrs hawataki labda uwaue, wanasema hiyo ni Siri, wakati written interview results waliyatoa mbona haukuwa ni siri,

Psrs ni majizi haya 👈

Raisi Samia angalia hii taasisi itakufelisha vibaya sana kuelekea uchaguzi ujao
Twitter ndo mtandao unapendwa na Wengi, yan huu Uzi ungekua umepelekwa kule na wachangiaji wakawa Wengi hivi, lazima kuna kitu utumishi wangekua wamefanya kuliko hali ilivyo kwa sasa
 
lengo la kuficha matokeo ya oral ni ili waweke watu wao. ila unakuta mtu kafaulu vzuri ananyimwa placement.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Vijana wangelamba asali mapema sana, wangekuwa wanaweka miguu juu, wanasubiria placement TU,

Sasa check vijana hawaelewi wako state Gani, psrs mnachofanya sio poa kabisa
 
wakiweka status hivo inaamanisha ulifaulu na ulifikisha passmark.

halaf wanasema database haina watu...

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Hiyo status huwa inabadilika baada ya majibu ya written interview kutoka na kua mtu amepass kuingia oral interview na sio kwamba inamaanisha amepass oral interview. Miaka ya nyuma nilishawah Fanya written na kubahatika kuchaguliwa oral, oral sikwenda but had Leo status ipo hivyohivyo selected for oral interview
 
kwenye app ?

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom