HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ukwel ni kwamba Taasisi nying kubwa kubwa kama TRA,EWURA,BOT,TANAPA,TCRA mishahara yao haitegemei hazina daah kwa huu mfumo hizo taasisi zikipewa ruhusa kuajiri zenyew nepotism itarud itakuw ngm sana kupata asali maeneo hayo bila connection
Kama haitegemei hazini kulikuwa kunasababu gani kumtoa mkuu wa hazina kumuweka mwingine....
 
Hapo Utumishi ndo wanapokosea....ndo maana taasisi zinataka zijiendeshe zenyewe maana wanaweka usili ambao taasisi wanahisi
1.Ni pesa inatembea kupata kazi
2.wanaona asali wanailamba vitengo vya utumishi kwa kupitia interview
3.Kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira kwa mda mrefu alafu hakuna sababu yoyote


Yani mkuu unalazimisha taasisi ichukue hata kama mtu hajakidhi viwango?? Unajua maana ya readvertisement???

Katika watu wote walioingia oral/practical, wao wameona 39 pekee ndio wamekidhi vigezo. Hizo zilizobaki watatangaza tena au watatumia utaratibu mwingine kuwapata.
 
Oral mmeenda 48 wanaohitajika 50,hapa mlitakiwa mchukuliwe wote ukichukulia kua practical wamefaulu, nawaonea huruma sana waliokosa nafasi. Hii inauma kuliko zote ninazozijua kwenye usaili

Mkuu.

Mtu amefeli oral exam unataka achukuliwe hivyo hivyo?? Sasa interview ni ya nini kama watu wanafeli na wanachukuliwa??

Mkuu, mahitaji ya mwajiri yanazingatiwa na hii sio shida ya PSRS
 
Hapo Utumishi ndo wanapokosea....ndo maana taasisi zinataka zijiendeshe zenyewe maana wanaweka usili ambao taasisi wanahisi
1.Ni pesa inatembea kupata kazi
2.wanaona asali wanailamba vitengo vya utumishi kwa kupitia interview
3.Kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira kwa mda mrefu alafu hakuna sababu yoyote

Utumishi ni jipu. Pesa nyingi zinapotea kwenye usaili.
 
Yani mkuu unalazimisha taasisi ichukue hata kama mtu hajakidhi viwango?? Unajua maana ya readvertisement???

Katika watu wote walioingia oral/practical, wao wameona 39 pekee ndio wamekidhi vigezo. Hizo zilizobaki watatangaza tena au watatumia utaratibu mwingine kuwapata.
Ngoja zirudi kule kwenye taasisi zao waajiri ndo utaona hayo unayozungumza ipi inafaida...
 
Mkuu.

Mtu amefeli oral exam unataka achukuliwe hivyo hivyo?? Sasa interview ni ya nini kama watu wanafeli na wanachukuliwa??

Mkuu, mahitaji ya mwajiri yanazingatiwa na hii sio shida ya PSRS
Ulishawai kupewa matokeo yako ya oral toka unafanya Utumishi!!!Unaposema amefeli unauwakika gan hujampa majibu....!!!Na kauli ya mh;mhagama ilikuwa inamantiki sana kuliko hizi ajira zipelekwa huko kwenye taasisi
 
Hawa developer ni watu wa practical siyo maneno maneno, wangefeli practical kweli....I feel for them

Kati yako wewe na anaeassign kazi, nani anajua vizuri mahitaji yake??

Mwajiri anataka mtu aliye vizuri kwenye practice na at the same time aliye vizuri administratively, anaejua kujieleza, anaijua taasisi, ana leadership skills na hii ni muhimu hata kwenye talent acquisition na succession plan.

Wewe ndugu yangu unataka mtu anaejua programming ila hajui kujieleza na kingereza kibovu aajiriwe?

Nimekaa pale.
 
Yani mkuu unalazimisha taasisi ichukue hata kama mtu hajakidhi viwango?? Unajua maana ya readvertisement???

Katika watu wote walioingia oral/practical, wao wameona 39 pekee ndio wamekidhi vigezo. Hizo zilizobaki watatangaza tena au watatumia utaratibu mwingine kuwapata.
Mkuu;Ulishawai kufanyaga interview za Tanroad!....
 
Samahani lakini, ningependa kujua zaidi hivi Kuna uhusiano gani deadpoll kusajiliwa wizara ya ardhi na isiwe labda RITA ambapo tumezoe wanatoa hati za vizazi na Vifo.
Nmescroll hadi chini nkijua ntakuta kuna mtu kakujibu, wizara ya ardhi ndo kuna ofisi ya msajili wa nyaraka, deed poll ni lazima isajiliwe watu wawe aware kuwa umebadilisha jina na taifa kwa ujumla.
 
Kule anayepata kazi hafanyi mtihani kakaa nyumbani...ila wengine mnaotafuta kazi mnafanya mtihani..mwisho wa siku aliyekaa nyumban kapata kazi...ipi bora!
We jamaa, per dm zimekunigea sana, Acha kuwa potezea Muda wasaka mirija ya asali
 
Back
Top Bottom