Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,773
- 126,712
Hongera sana mkuu, umepata PSRS?Nashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
Kila la kheri!
Hongera sana mkuu, umepata PSRS?Nashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
Asante sana kaka, mmekuwa nasi pamoja sana, ndio mkuuHongera sana mkuu, umepata PSRS?
Kila la kheri!
hongera sana mtaalam wa computerNashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
Wewe unazijua ngapi? nitajie moja wapo inayoangukia UTUMISHI.unafahamu aina za oral interview?????
Asante sana chiefhongera sana mtaalam wa computer
Hongera sana,ukawe mtumishi mwema.Mungu ni mwema sanaAsante sana sote tutapata, tuwe na subira muda unakuja
Mkuu wewe so umesoma Kilimo, umepata placement gani .? Maana naona wamejaa ma-ICT tuShukurani sana kaka
Hongera sanaNashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
Hongera sana kiongozi.Yeah,nashukuru sana mkuu,
Huyu jamaa si alikuwa anasema kasoma kilimo ? Hata mimi nashangaa , au labda ni agronomist wameplace Kwa position ya economistMkuu wewe so umesoma Kilimo, umepata placement gani .? Maana naona wamejaa ma-ICT tu
Mkuu unajua maana ya Agronomist au Agronomy..? Hii na uchumi wapi na wapi..!!😃😃 Hao ni watu wa kukesha Shambani tu kwa establishement and management za crops na mambo ya Udongo(Soil) huko kwa uchumi anaingiaje..!!Huyu jamaa si alikuwa anasema kasoma kilimo ? Hata mimi nashangaa , au labda ni agronomist wameplace Kwa position ya economist
Si kuna wanaoitwa Agro-Economy??Mkuu unajua maana ya Agronomist au Agronomy..? Hii na uchumi wapi na wapi..!![emoji2][emoji2] Hao ni watu wa kukesha Shambani tu kwa establishement and management za crops na mambo ya Udongo(Soil) huko kwa uchumi anaingiaje..!!
Mwaka wa fedha 2023/24 Tuombe Mungu atujalie Uzima na afya.Watabiri wa PDF la MDAs na LGAs mkuje huku....
nimekuuliza unazijua aina za oral interview?Wewe unazijua ngapi? nitajie moja wapo inayoangukia UTUMISHI.
Mkuu unajua maana ya Agronomist au Agronomy..? Hii na uchumi wapi na wapi..!!😃😃 Hao ni watu wa kukesha Shambani tu kwa establishement and management za crops na mambo ya Udongo(Soil) huko kwa uchumi anaingiaje..!!
Agro economist Ndio ninayemaanishaMkuu unajua maana ya Agronomist au Agronomy..? Hii na uchumi wapi na wapi..!!😃😃 Hao ni watu wa kukesha Shambani tu kwa establishement and management za crops na mambo ya Udongo(Soil) huko kwa uchumi anaingiaje..!!
Ukawe mkandaji mwema.Asante sana kaka, mmekuwa nasi pamoja sana, ndio mkuu