Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,552
- 5,676
Ijumaa
unakuta wengine wamefanya mwaka jana TRA oral....Hii ya kutoka kwenye database nmeanza kuamin kwel wanachukua nmeangalia majina ya technician II kwenye tangazo la calling for interview TRA yapo hongeren Sanaa mliobahatika
Malalamiko ya psrs tutaanza kumpa yeye, pia atajua masuala yote ya connectionHuyo ni mchumi.
Wale technician nafasi zao zilitimia so huenda watu walifaulu ila nafsi TRA zilijaa lkn wale maprogrammer mmh wale walifeli...hao walioitwa watkua kutoka ega au saili za nyumba zilizofnyikaHii ya kutoka kwenye database nmeanza kuamin kwel wanachukua nmeangalia majina ya technician II kwenye tangazo la calling for interview TRA yapo hongeren Sanaa mliobahatika
kufeli kwa oral unajuaje....maana kama wameweka fumbo kwao ambalo ni gumu kulielewa mtahiniwaWale technician nafasi zao zilitimia so huenda watu walifaulu ila nafsi TRA zilijaa lkn wale maprogrammer mmh wale walifeli...hao walioitwa watkua kutoka ega au saili za nyumba zilizofnyika
hahaa mkuu tuingie mpaka mahakamaniPDF la database tuwadai tusikubali kudanganywa hivi
Utumishi imeajiri sasa
Mmh sio kwel maprogrammer hawajafeli wote kama Mimi nikitoka written Hadi kupata kaziWale technician nafasi zao zilitimia so huenda watu walifaulu ila nafsi TRA zilijaa lkn wale maprogrammer mmh wale walifeli...hao walioitwa watkua kutoka ega au saili za nyumba zilizofnyika
Database inatoka kidogo kidogo kama choo kikubwa Cha mbuzi, mnastuka paa imeishahahaa mkuu tuingie mpaka mahakamani
Aisee sio poa matumaini ni madogoDatabase inatoka kidogo kidogo kama choo kikubwa Cha mbuzi, mnastuka paa imeisha
Hahaha nchi ngumu sana hii tuendlee kula mtori nyama tutzikuta chini mkuudatabase inakua na tu KB ,yani ilipaswa navoipakua pdf itumie dakika 5-10
tena ngumu balaaHahaha nchi ngumu sana hii tuendlee kula mtori nyama tutzikuta chini mkuu
kunatangazo la kazi waliliweka wakaliondoa chaap, sijui huenda wanalirekebisha ama wanachukua database