P-Value
Senior Member
- Dec 24, 2022
- 114
- 428
Shukurani sana kakahongera afsa
Shukurani sana kakahongera afsa
nime kupm inbox afsaShukurani sana kaka
Ndo mkeka huu wa sekretarieti wenyew?Nashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
Yeah,nashukuru sana mkuu, tuko pamoja sote tutapata humu ni wakati tuNdo mkeka huu wa sekretarieti wenyew?
Hongera sana kjana
Mrija wa asali hatimae umefunguka
Sawanime kupm inbox afsa
Hongera sana mwambaNashukuru nimepata placement hatimae balozi limited. Tusikate tamaa wadau.
Hongera sana kwa kuunganishq na mkondo wa Taifa wa asali pia kwa kujiunga na team ya wakandaji psrsShukurani sana kaka
Shukurani sana bloodHongera sana mwamba
Asante sana chief, kazi iendeleeHongera sana kwa kuunganishq na mkondo wa Taifa wa asali pia kwa kujiunga na team ya wakandaji psrs
Wajiandae waliofanya usail ndani 4/1/2023 to 5/2/2023 data base inakuja..Sijawahi kuona nafasi za PSRS zitangazwe, hawa watakuwa ni wa Database.
Mliopata leteni mrejesho hapa.
Kila la kheri kwa kuwa Wakandaji wapya, matumaini ya jobless yapo mikononi mwenu.
Hongera sana...ukawe mtumishi mwema sana ...Tupe mrejesho ni data base umetoka au umefanya usailiAsante sana chief, kazi iendelee
DatbzHongera sana...ukawe mtumishi mwema sana ...Tupe mrejesho ni data base umetoka au umefanya usaili
hzi za ndaani? ama ramli mkuu?Wajiandae waliofanya usail ndani 4/1/2023 to 5/2/2023 data base inakuja..
Hiz hbr za dtbse ss naona zimekua ramli tu dahhzi za ndaani? ama ramli mkuu?
inaumiza sana mkuu,Hiz hbr za dtbse ss naona zimekua ramli tu dah
Nchi yetu ngumu mkuu tuvumilie tuu hamna namnainaumiza sana mkuu,
Hongera sana Mkuu natumai tumepata mtu wa kutupa mrejesho kitu gani kinaendelea humo kwa placement kuchelewa ukatuwakilishe vyemaAsante sana chief, kazi iendelee
Nashikuru sana Mkuu, kazi iendelee mpk sote tufikeHongera sana Mkuu natumai tumepata mtu wa kutupa mrejesho kitu gani kinaendelea humo kwa placement kuchelewa ukatuwakilishe vyema
Ukishaingia huko huwezi tena kutoa siri za kambi...tena hapo ofisi ya raisi wamejaa vitengo tuHongera sana Mkuu natumai tumepata mtu wa kutupa mrejesho kitu gani kinaendelea humo kwa placement kuchelewa ukatuwakilishe vyema
anataka amkosti mshkaji,hiyo ofisi TISS kama woteUkishaingia huko huwezi tena kutoa siri za kambi...tena hapo ofisi ya raisi wamejaa vitengo tu