Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,810
- 6,408
Mbona Wanauliza hata whats your experience, sehemu ulizowai fanya kazi or intern huku wana confirm kutoka kwenye cv pale. 😔Lini uliulizwa swali kutoka ktk CV yako??? nijibu hili swali.
Mbona Wanauliza hata whats your experience, sehemu ulizowai fanya kazi or intern huku wana confirm kutoka kwenye cv pale. 😔Lini uliulizwa swali kutoka ktk CV yako??? nijibu hili swali.
Mnh watu 300 written kila mtu uulize swali lake?Ushawahi ingia sahili za International Org? au taasisi za sekta binafsi wanaojielewa? Lazima wapite na CV ndio maswali yao yanapigika humo sio kuwa na maswali ambayo yapo formulated.
huwezi kuta unamaliza usahili au unataka uingie ktk sahili alafu unyang'anywe simu sijui mtengwe (ili msipeane majibu) hakuna huo upuuzi hata mtu akitoka hawana muda na ww. maana wanajua maswali yapo tofaut kwa kila msahili.
Hahahaaa.Kukosa kazi (kwa muda mrefu) kuna sababisha mtu kua mkali. Angalia hali ilivyo humu
Anachaguliwa vizuri tuWakuu Kuna mshkaj anataka kujua. Je anaweza kupata nafasi ya tutorial assistant ikiwa amepitia diploma maana alipata division 4 akajiunga chuo had diploma akapata GPA ya 3.8 na degree 4.2. hivyo akifanya usahili wanaweza kumchagua
Aah sawa ngoja nimwambie apply maana anaogopa matokeo yake ya form 4
Nadhani hakuna anayesema interview ni nyepesi swala ni it is practised in way that haileti uhalisia wa ORAL interview.Mkuu, with all due respect. Interviews za UTUMISHI inabidi zipewe heshima yake....Unaweza ona mtu amekariri tu lakini katika manotes yote na mambo yote, kile kitendo cha kuyajua majibu sahihi tu tayari ni ushindi.
Jambo lingine, MDA & LGA ndio ilikuwa Oral yangu ya kwanza (Naamini nitafaulu kwa uwezo wa Mungu), nimeshafanya Interviews za Oral 3 katika maisha yangu yote...Mbili za private sector na hii moja ya PSRS...
Sikufichi, hakuna interview ngumu kwangu kuwahi kutokea kama hii ya PSRS kwa sababu pale maswali ni Objective sio subjective.....Unakuwa huelewi anauliza wapi au atatoa wapi.
Ila leta interview ya NGO hata ukiniambia kesho naenda kufanya na sitakuwa na hofu yoyote ile maana maswali yao mengi ni common na yanakuwa general. Kikubwa ni reasoning, confidence na flow.
Ila huku PSRS tunaipuuza tu lakini inabidi iheshimiwe.
NdioNadhani hakuna anayesema interview ni nyepesi swala ni it is practised in way that haileti uhalisia wa ORAL interview.
Ni sawa tu na elimu ya yetu unasoma masomo tisa yote theory based wenzetu wako practice based curriculums.
Ndio maana Ukienda kufanya interview kenya au Uganda utapigwa nje kama utaenda na approach ya PSRS ya kutafuta madaftari kabla ya Interview.
Hao wazee wanaolalamika wamepelekewa vilaza wanamaanisha vijana ukiwatoa nje ya theory/ class hakuna wanachoweza kufanya.
Mkuu elimu yetu bado ipo nyuma huo ndio ukweli, Dunia ilipofikia sasa kwenye swala elimu na sisi tulipo kuna gap kubwa sana.Kwanza me siamini elimu yetu ndogo ila tu sisi wenyewe ndio atupendi kujifunza kwa vitendo wapo watu wazuri sana kivitendo wanajua kazi sana
Hakuna mtu anayeenda na approach ya usaili ya psrs kukabiliana na panel la usail private sector.Nadhani hakuna anayesema interview ni nyepesi swala ni it is practised in way that haileti uhalisia wa ORAL interview.
Ni sawa tu na elimu ya yetu unasoma masomo tisa yote theory based wenzetu wako practice based curriculums.
Ndio maana Ukienda kufanya interview kenya au Uganda utapigwa nje kama utaenda na approach ya PSRS ya kutafuta madaftari kabla ya Interview.
Hao wazee wanaolalamika wamepelekewa vilaza wanamaanisha vijana ukiwatoa nje ya theory/ class hakuna wanachoweza kufanya.
Sina hakika sanaaa lakini nadhani huwa wanaenda deep inside kufuatilia hadi matokeo yako ya olevel. Nahisi hivyo ila sina hakika. Inaweza ikawa ni siri yao pia wasikuambie lakini kwenye vetting ikatumika.Wakuu Kuna mshkaj anataka kujua. Je anaweza kupata nafasi ya tutorial assistant ikiwa amepitia diploma maana alipata division 4 akajiunga chuo had diploma akapata GPA ya 3.8 na degree 4.2. hivyo akifanya usahili wanaweza kumchagua
Kwahiyo kwenye maelezo yote umetoa sentence ndogo ndio ukai-nagate any way lengo si kubishana lengo ni kufahamishana kama Unakubali kuwa UTUMISHI WANAFANYA SAILI ZAO kwa standards za ORAL fine. Binafsi naamini hizo za UTIMSHI sio saltandards za ORAL interview, wewe baki na imani yako mimi nibakinna yanguHakuna mtu anayeenda na approach ya usaili ya psrs kukabiliana na panel la usail private sector.
Mkuu unataka kurusha konde [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ko mnataka kusema mna akili sana kuliko wanaofeli?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nime-base base hapo kwa sababu mfano wako ulilala hapo, yaani mtu aende fanya usail Kenya au Uganda, akomae na approach ya utumishi?Kwahiyo kwenye maelezo yote umetoa sentence ndogo ndio ukai-nagate any way lengo si kubishana lengo ni kufahamishana kama Unakubali kuwa UTUMISHI WANAFANYA SAILI ZAO kwa standards za ORAL fine. Binafsi naamini hizo za UTIMSHI sio saltandards za ORAL interview, wewe baki na imani yako mimi nibakinna yangu
Nakuelewa sana poti, hili zoezi la usahili wangefanya ma hr sio mtu katoka huko hajui hata psychology ya candidate naye ni interviewer hii si sawa ukisha muuliza mtu written professional questions kilichobakia ni kuwa na series ya questions ambazo ni more brainstorming kumjua mtu kiundani, lakini mention this and that hapana aisee [emoji28]If you understand this, You understand the meaning of interview.View attachment 2539668